Sina cha kuongeza ni ugonjwa huu omba usikukute unakataa dawa nyingi tu, wakati mwingine hupati dawa kabisa
Mbu we acha tu, saa nyingine akipiga namsikiliza namjibu tu ndio ndio mradi tu aridhike kwani sitaki kuanzisha uadui sasa binti yangu ameshakua mkubwa inaweza kumuathiri, na akiamua kumchukua sina pa kwenda kupinga kwani umri unaruhusu basi ndio hapo anapopatia kwa sababu anajua nampenda sana mtoto wangu and she is the only one i have sina mtoto mwingine masikini mie ndio ukimjibu hovyo tu anaanza naenda kumchukua nikae nae mwenyewe so inabidi nakua tu mpole, na hivi hayumo moyoni mwangu basi akishamaliza maongezi yake na mimi namsahau hapo hapo,
Halafu cha ajabu mtoto anakaa boarding ila huku mkoani ninakoishi sasa kila baada ya siku tatu simu ushaenda kumuona mtoto? jamani huyo mtoto anaonwa kila siku? Kaazi kweli kweli wandugu ila ukishakua mtu mzima kidogo ina unafuu
Mbu hapo anakuwa kashakujua na you know anakujua udhaifu wako na wewe ulivyo so anatake advantage ya wewe kuwa vile ili azidi kukutumia na with time na unavyozidi kukasirika anajua tuu hutoacha kupokea simu zake wala sms zake hutoacha kuzijibu
LOL, Mr Rocky you must have been there,...inputs zako zinaelezea hali halisi. Halafu kitu kibaya ni kwamba, jinsi anavyokuudhi nawe kuzidi kumchukia, ndivyo anavyoanza kukuganda tena kichwani....Pheewwww, what a miserable life!
Tulizo Mkuu kama kweli you dont know Mapenzi ni nini ni kwamba aidha you are in deep expected trouble OR ndio moja ya wale exceptions walojaliwa (thou rare) never to fall in love .
AshaDii.. I have no idea kwanini niko sceptical na hii issue nzima ya mapenzi ambayo inasumbua vichwa wa watu. Na sielewi kwanini despite the fact that sifanyi vile wengi wanafanya ku-prove wanajua kupendana mimi, mwenza na familia yangu tunaaminiana kiasi cha kutosha kusolve bump ndogo ndogo na ku-excel smoothly na life..labda hii ndiyo inanipa kichwa kuwa hakuna mapenzi ila kuna maisha.. Ni vile wewe unaamua kuishi na ku-balance equation yako na mwenza + family. Na ukiweza hili uta-feel uchungu wa wenzako kama wa kwako..
Anyway..back to the sired.. Naamini issue na impact za msukule wa mapenzi zote ziko ndani ya uwezo wetu hadi pale tunapoziachia na kuwa juu ya uwezo wetu..ikifika wakati huu..yaani ni vigumu kuzi-control..hasa zikihusu wale malaika yaani watoto..au wazazi..
Friends with reason and hidden agenda always. Be careful sana mkuu maana we have friends but hatujui ndani ya mind zao wanawaza nini kwa ajili yetu au wanatuwazia nini kama ni mema au mabaya hatujui. Always hizo agenda zao za siri huwa wanazificha hawazionyeshi hata ukikutana nae umuulize what is in your mind hawezi kukupa jibu la nini anachokuwazia ila ndani mwake ana dirty mind. So be careful mkuu.
AshaDii.. I have no idea kwanini niko sceptical na hii issue nzima ya mapenzi ambayo inasumbua vichwa wa watu. Na sielewi kwanini despite the fact that sifanyi vile wengi wanafanya ku-prove wanajua kupendana mimi, mwenza na familia yangu tunaaminiana kiasi cha kutosha kusolve bump ndogo ndogo na ku-excel smoothly na life..labda hii ndiyo inanipa kichwa kuwa hakuna mapenzi ila kuna maisha.. Ni vile wewe unaamua kuishi na ku-balance equation yako na mwenza + family. Na ukiweza hili uta-feel uchungu wa wenzako kama wa kwako..
.
Anyway..back to the sired.. Naamini issue na impact za msukule wa mapenzi zote ziko ndani ya uwezo wetu hadi pale tunapoziachia na kuwa juu ya uwezo wetu..ikifika wakati huu..yaani ni vigumu kuzi-control..hasa zikihusu wale malaika yaani watoto..au wazazi..
Ni kweli mkuu you never know with people..., lakini kuliko kuishi maisha ya kuogopa the inevitable rafiki atabaki kuwa rafiki yangu mpaka pale atakaponipa sababu ya mimi kufikiria vinginevyo... Mkuu kuna msemo mmoja ambao huwa ninakaa nao sana na kwa kuutegemea huu hujikuta kwamba ninaishi maisha ya amani na bila kulaumu...
"Tenda wema uende zako na usingoje kurudishiwa"..., kwahiyo chochote ninachofanya hakiji na Price Tag na kama nitalipwa wema kwa wema hio ni Bonus lakini sio kwamba nilitegemea wema..., kwahiyo kama huyo Ex atataka msaada tampa popote pale lakini within reason na hata siku akiniambia nikashindwa itabidi akubali kwamba nimeshindwa (na urafiki wetu utaendelea pale tu ambapo hata-abuse urafiki wetu).., na urafiki wetu utaendelea au kufa kutokana na actions zake (kama urafiki wetu utazidi mpaka kurudiana itakuwa kwamba sio sababu yeye ametaka bali na mimi nimependa....) "It Takes Two to Tango" na kama sitaki anavyofanya na yeye akaendelea huyo sasa atakuwa stalker...
Asante MBU kwa mada nzuri...
Bahati nzuri ama mbaya mimi sijawahi kugeuzwa "MSUKULE" wa mapenzi kwa hiyo siwezi kuungana na walioguswa kusema ni kwa kiasi gani inaboa.
Nnachoweza kuwaambia ni kwamba wale ambao bado wamekamatwa amueni kwamba hamtaki kuendeshwa tena and take charge of your own life.Fikiria huyo mwenzako anapokupaisha roho kiasi hicho we unapata nini?!Surely hamna faida yoyote wa upande wako...na ukifanya mchezo hata mahusiano yako mapya (kama unayo) yanaweza kuyumbishwa au hata kuvunjika kwaajili ya mtu ambae huna deni lolote kwake.
Ukweli ni kwamba mpaka mtu akupelekeshe na kukusumbua na simu za ajabu ajabu iwe usiku au mchana anakua ameshakusoma na kujua kwamba huna ujanja kwake. Anakuchukulia kwamba wewe ni DHAIFU mbele yake...sasa amua kwamba hutaki tena na ubadilishe mtazamo alio nao juu yako.
Kama hamna mtoto ni kiasi tu cha kumkatia mawasiliano once and for all...unamwambia kabisa akae mbali na wewe akiendelea kusumbua unaweza block namba yake...au akikupigia na nyingine unakata tu bila hata kumuuliza habari.Kama mnashea mtoto mnapanga namna ya yeye kumuona/wewe kwenda kumwangalia....na ratiba inafuatwa kuendana na makubaliano...zaidi ya hapo hata akija kwako kama sio muda/siku mlizokubaliana unamwambia una mambo mengine na kumuaga.
Yote haya unatakiwa useme ukimaanisha...USIMUOMBE bali MUAGIZE unachotaka afanye/asifanye kwasababu ni maisha yako na wewe ndio mwamuzi!
Sina cha kuongeza ni ugonjwa huu omba usikukute unakataa dawa nyingi tu, wakati mwingine hupati dawa kabisa
Dahhhh!!!!...Tulizo naomba somo juu ya hilo. Inaonyesha ni somo lenye akili sana. Mapenzi yana fit wapi kwenye Ndoa/Maisha? Kwa utambulisho huu nadhani nimegundua mtazamo pia wa maoni baina ya tuliokumbwa na broken hearts, na wale waliojaaliwa kuoana na childhood/sweetherts wao bila kupitia makasheshe ya 'kuzikwa kabla ya siku zako' kisha kuja kufanywa "Misukule!"
Lizzy...inakera kwa kweli, mtu anafanya jitihada zote ili mradi mwingine akose amani. anabadili no za cm kila akikucal, msg za ajabu ndio ucseme, unajaribu kila njia kumuonyesha kwamba "it was" but bado tu..mpaka nimefikia kufikiria nictumie tena mobile.

Hahahhaha...Nyamayao kuacha kutumia simu itakua unajikomoa wewe na wale walio karibu na wewe kuliko hata huyo MHUSIKA.Na mawazo kama hayo ndo yanaonyesha kwamba ni kwa kiasi gani yeye anakuamulia jinsi ya kuishi...mood gani uwe nayo...siku ipi iwe nzuri kwako na ipi iwe mbaya n.k.
Cha muhimu ni wewe kumnyang‘anya hiyo nguvu aliyonayo juu yako....yani inabidi umwonyeshe you mean business..usicheke na kima usije ukaishia kuvuna mabua mwaya!
Mkuu so long as unafanya hicho kitu kwa mapenzi yako who cares!!??, Kama unafurahia kutoa huo msaada kwa moyo mmoja inaeffect gani (tatizo ni kama unayemsaidia hajui umuhimu wa ule msaada au anakuletea wewe karaha kama ndio hivyo basi hii ni case nyingine). Mkuu huo wema au msaada unaufanya kama binadamu kwa mtu ambae ulishamjua before na kama huo wema hautapelekea ndoa yako kuvunjika who cares?Mkuu wanasema "never argue with a fool as u might turn out to be a fool than a fool himself". Ila wapi utakapojua kuwa unaargue na fools ni pale utakapojikuta ulishaingizwa kwenye mtego muda mrefu sana na umeshikwa bila mwenyewe kujua na ukashikika. Nakubali " tenda wema uende zako usingoje shukrani" but under what circumstance huo wema unaufanya na umetoka wapi mpaka uufanye huo wema. Maana unaweza jikuta kumbe ushaulipia sehem bila wewe kujijua.
Mkuu we cant stop making friends, being close na watu au kuwatendea watu wema sababu tunaogopa kwamba huenda wana lao jambo au watatuumiza baadae "Cherish the Moment" Rafiki yao leo sio lazima awe rafiki yako Kesho kutokana na circumstances..., kwahiyo cha maana ni kufanya lile jambo ambalo yako inakutuma kwamba ni kitu cha maana wala usifanye kitu kwa shinikizo..., sababu kama kweli huyo mtu ni rafiki yako hatakulazimisha ufanye jambo ambalo wewe hutaki kulifanya.Mkuu kumjua mtu undani wake ni issue sana na ni ngumu sana hasa kwa dunia ya leo maana hata wale expected friends wamegeuka kuwa balaa na wana miiba inayochoma kupita maelezo. Wana kila utu na ubinadamu na wana busara over mitume na manabii wa zamani ila ni wanafiki kuliko mbwa mwitu na sio rahisi kuona wala kutambua action zao. Wanajua kuact kuliko actor wa movie na wana kila sababu ya kuwa wasanii ila sio wasanii. Friends with reasons. So waliposema si kila king'aacho ni dhabahu hawakukosea na mkuu kujua kuwa someone anaabuse urafiki kati yako sometime ni ngumu sana na unaweza kujikuta umeingizwa kwenye mtego bila wewe mwenyewe kujua au ukiwa kabisa unajua.
Dahhh, Lizzy wewe ni kiboko. Sina hata la kusema, ahsante sana kwa mchango wako huu, naamini utawasaidia sana dada zako wengi humu ndani wanaougulia. Ila kuwkuwa experiences zinatofautiana kama Elia alivyosema hapa;
...kuna mijitu kwa makusudi kabisa inapindisha hizo sheria mlizokubaliana... Wewe hata uwe na msimamo kiasi gani, watavunja miiko tu.
... kwani unadhani tunapenda basi?...Mr Rocky anasema, jinsi unavyozidi kumchukia kwa kuvunja viapo vya makubaliano, Ex wako nae anautumia udhaifu wa kuchukizwa kwako kukuchokoza almuradi wewe kila siku/wiki/ mwezi una homework tu how to handle him/her... ndio ushafanywa msukule hivyo.
- chukulia 'kesi' ya Nyamayao na hizo unwanted Calls,
- chukulia 'kesi' ya Maty na hizo Routine Calls za mtoto,...
- chukulia 'kesi' ya Mbimbinho na 'the deal too tempting to refuse' la ex wake
Dahhhh!!!!...Tulizo naomba somo juu ya hilo. Inaonyesha ni somo lenye akili sana. Mapenzi yana fit wapi kwenye Ndoa/Maisha? Kwa utambulisho huu nadhani nimegundua mtazamo pia wa maoni baina ya tuliokumbwa na broken hearts, na wale waliojaaliwa kuoana na childhood/sweetherts wao bila kupitia makasheshe ya 'kuzikwa kabla ya siku zako' kisha kuja kufanywa "Misukule!"
Asante MBU kwa mada nzuri...
Bahati nzuri ama mbaya mimi sijawahi kugeuzwa "MSUKULE" wa mapenzi kwa hiyo siwezi kuungana na walioguswa kusema ni kwa kiasi gani inaboa.
Nnachoweza kuwaambia ni kwamba wale ambao bado wamekamatwa amueni kwamba hamtaki kuendeshwa tena and take charge of your own life.Fikiria huyo mwenzako anapokupaisha roho kiasi hicho we unapata nini?!Surely hamna faida yoyote wa upande wako...na ukifanya mchezo hata mahusiano yako mapya (kama unayo) yanaweza kuyumbishwa au hata kuvunjika kwaajili ya mtu ambae huna deni lolote kwake.
Ukweli ni kwamba mpaka mtu akupelekeshe na kukusumbua na simu za ajabu ajabu iwe usiku au mchana anakua ameshakusoma na kujua kwamba huna ujanja kwake. Anakuchukulia kwamba wewe ni DHAIFU mbele yake...sasa amua kwamba hutaki tena na ubadilishe mtazamo alio nao juu yako.
Kama hamna mtoto ni kiasi tu cha kumkatia mawasiliano once and for all...unamwambia kabisa akae mbali na wewe akiendelea kusumbua unaweza block namba yake...au akikupigia na nyingine unakata tu bila hata kumuuliza habari.Kama mnashea mtoto mnapanga namna ya yeye kumuona/wewe kwenda kumwangalia....na ratiba inafuatwa kuendana na makubaliano...zaidi ya hapo hata akija kwako kama sio muda/siku mlizokubaliana unamwambia una mambo mengine na kumuaga.
Yote haya unatakiwa useme ukimaanisha...USIMUOMBE bali MUAGIZE unachotaka afanye/asifanye kwasababu ni maisha yako na wewe ndio mwamuzi!
Hahahhaha...Nyamayao kuacha kutumia simu itakua unajikomoa wewe na wale walio karibu na wewe kuliko hata huyo MHUSIKA.Na mawazo kama hayo ndo yanaonyesha kwamba ni kwa kiasi gani yeye anakuamulia jinsi ya kuishi...mood gani uwe nayo...siku ipi iwe nzuri kwako na ipi iwe mbaya n.k.
Cha muhimu ni wewe kumnyanganya hiyo nguvu aliyonayo juu yako....yani inabidi umwonyeshe you mean business..usicheke na kima usije ukaishia kuvuna mabua mwaya!
Mkuu so long as unafanya hicho kitu kwa mapenzi yako who cares!!??, Kama unafurahia kutoa huo msaada kwa moyo mmoja inaeffect gani (tatizo ni kama unayemsaidia hajui umuhimu wa ule msaada au anakuletea wewe karaha kama ndio hivyo basi hii ni case nyingine). Mkuu huo wema au msaada unaufanya kama binadamu kwa mtu ambae ulishamjua before na kama huo wema hautapelekea ndoa yako kuvunjika who cares?
Mkuu we cant stop making friends, being close na watu au kuwatendea watu wema sababu tunaogopa kwamba huenda wana lao jambo au watatuumiza baadae "Cherish the Moment" Rafiki yao leo sio lazima awe rafiki yako Kesho kutokana na circumstances..., kwahiyo cha maana ni kufanya lile jambo ambalo yako inakutuma kwamba ni kitu cha maana wala usifanye kitu kwa shinikizo..., sababu kama kweli huyo mtu ni rafiki yako hatakulazimisha ufanye jambo ambalo wewe hutaki kulifanya.
Hhahahha...waveja!!Unafaa sana wewe!