Msomi yoyote chawa alipoteza muda shuleni

Msomi yoyote chawa alipoteza muda shuleni

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,427
Usominwa kweli siyo vyeti wala shahada bali kujitambua na kuwatambua na kuwaelimisha wengine. Yeyote aitwaye msomi na akakubali uchawa si msomi wala mjinga bali mpumbavu na zwazwa wa kunuka. Tumzomee popote tumuonapo hata kumpiga mawe., Naanza na maprofedheha Paramagimbi Kabundi na Kitwila Mkuuuumbo. Nawe ongeza wako lau umma uwajue, uwachukie, uwadharau, na kuwazomea wajue tunajua uhovyo wao.
 
Back
Top Bottom