Wandugu lakini pia hapo mimi nina jambo, tukiachana na suala la hao wasomi na ratio hiyo 1/3000 pia wasomi wetu hawana mchango sana kwa nchi yetu. just imagine
Katiba - Mwanasheria kashindwa kazi yake (kuongea pumba in public!)
Wabunge (except Slaa, Zitto, Mwakyembe,) hawakua na jipya. Tukumbuke wabunge wengi ni wasomi wa ngazi ya shahada
Halmashauri zinafuja fedha - wasomi kibao
JK - ni msomi wa shahada - hajui analolifanya
Mungai - amesoma lakini alifanya uppuzi wa karne
Prof. Maghembe - Pumba tupu wizara ya Elimu (alisema ataondoa mitihani )
Hivyo wana JF mi nindhani si suala la degree ngapi kwa uwiano upi, je wasomi wetu pia wana tija? Hata tukisema primary schools zote ziwe vyuo vikuu tutaishia kuwa na uwiano wa degree kwa wananchi bila tija yoyote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.