Msomi wa Chuo Kikuu Mmoja = Watanzania 3000 (Kijiji kimoja)

Hii ni kweli kabisa, wasomi ndio wanatakiwa wawe chachu ya mabadiliko, na kwa njia yao watu wengi wa vijijini watabadilika..
 
Strategy ya CDM nzuri sana......!

BWT; Nimekupa thanks kwa kuirudisha hiyo AVATAR yako al-maarufu!
 
Wandugu lakini pia hapo mimi nina jambo, tukiachana na suala la hao wasomi na ratio hiyo 1/3000 pia wasomi wetu hawana mchango sana kwa nchi yetu. just imagine
  • Dowans, Ricmond,EPA, KAGODA, - Lawyers walishindwa kuwajibika
  • Katiba - Mwanasheria kashindwa kazi yake (kuongea pumba in public!)
  • Wabunge (except Slaa, Zitto, Mwakyembe,) hawakua na jipya. Tukumbuke wabunge wengi ni wasomi wa ngazi ya shahada
  • Halmashauri zinafuja fedha - wasomi kibao
  • JK - ni msomi wa shahada - hajui analolifanya
  • Mungai - amesoma lakini alifanya uppuzi wa karne
  • Prof. Maghembe - Pumba tupu wizara ya Elimu (alisema ataondoa mitihani )
Hivyo wana JF mi nindhani si suala la degree ngapi kwa uwiano upi, je wasomi wetu pia wana tija? Hata tukisema primary schools zote ziwe vyuo vikuu tutaishia kuwa na uwiano wa degree kwa wananchi bila tija yoyote.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom