Juliana Shonza
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,009
- 1,607
- Thread starter
- #81
Nalitegemea hilo..Makamanda wa JF sasa hivi Mbowe anawacharge, kesho watajaa humu kumpongeza na kushangilia.
Nalitegemea hilo..Makamanda wa JF sasa hivi Mbowe anawacharge, kesho watajaa humu kumpongeza na kushangilia.
Sijui Betry Low ni nani..??? Anayesema MBOWE amefanikiwa ama anaesema amebugi na wanachama watamdharau, kumbe sio dharau pekee, people are quiting..!!
Kama kipimo chako cha ubora ni Mdee na Bulaya, naomba nisifananishwe na vitu vya kijinga..!!Mi nakwambia wewe betry low huamini unakop post ya mtu anakwambia anaacha kushabikia siasa kisa ukuta haupo ina maana anashabikia siasa kwa ajili ya migogoro hadi nakuonea huruma kwa upeo wako kuzifikia level za kina mdee na bulaya itakuchukua nusu karne.
Hiyo ilikuwa zamani kabla hawajamsaliti MUNGU kwa vipande thelathini vya pesa..!!Nauliza tu.....hivi bado wanasema wanaanza na Mungu na kumaliza na Mungu.
Naona Mwenyezi ameshakereka na hawa jamaa....!!!!!
Kama kipimo chako cha ubora ni Mdee na Bulaya, naomba nisifananishwe na vitu vya kijinga..!!
Sasa mkuu kama hakuna anayeshabikia chadema hii pressure yote inatoka wapi?Hivi kuna anayeshabikia CHADEMA kwa sasa? Hakika hiki chama kimegeuka kuwa The Comedy ama Futuhi
Tafadhali naomba tuheshimiane, wakikusikia wenyewe umewaita wanawake wenzangu kitakachokupata usije kunisimulia, watu wameshachagua njia ya maisha yao, sikuwahi kufanana nao, sifanani nao na kamwe sintofanana nao.Hao ni wanawake wenzio huwezi kuwakuta wapo mitandaoni kushabikia migogoro na kupost upuuzi wanajijenga kiakili zaidi wamekuacha kilomita 100000 wewe upo kilomita 1 utafika?
Tafadhali naomba tuheshimiane, wakikusikia wenyewe umewaita wanawake wenzangu kitakachokupata usije kunisimulia, watu wameshachagua njia ya maisha yao, sikuwahi kufanana nao, sifanani nao na kamwe sintofanana nao.
Wao wako katika bonde wamezama na wanaogelea, mimi niko mlimani na sijaguswa na toni la maji yao...sijui umenielewa.?
Nyie ndo wa kukamatwa na polisi kwa uchochezi. Unataka nini hasaLeo nitaanza bila salamu,
Ndugu wanajamvi, kwa siku za nyuma kidogo, takribani mwaka mmoja uliopita niliwahi kuandika hapa kuwa CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi na nikasema katika maneno ya hitimisho la andiko langu hilo kuwa;
Nakumbuka vizuri, niliambulia matusi mengi kama ninavyotaraji hata leo pia. Kama nilivyosema wakati huo nitasema tena leo kuwa WATANZANIA wameshapoteza IMANI na chadema na uongozi wake. Wasomi, wanataaluma, na makundi mengine yenye influence kwenye jamii hawaiungi tena mkono chadema, nimeshangazwa hata bodaboda na machinga nao wanajitenga mbali na chadema.
Waandishi makini wameacha kabisa kuwaunga mkono chadema, hata wale ambao waliwaandika vizuri kwenye social media akina Mwanakijiji, Chahali na hata Pasco wamekuwa wakiwashushua kila uchao juu ya maamuzi yao na uelekeo wao.
Kwa mara nyingine tena, LEO umefanyika uamuzi mwingine wa kuchekesha na wenye kuudhi. Uamuzi unaoendelea kuthibitisha kuwa Uongozi wa CHADEMA umekosa dira, maono na hawana tafakuri sahihi juu ya mabadiliko ya wakati na namna bora ya kuendesha siasa za sasa. Walipodhani kuwa FEDHA zinaweza kuwa THINK TANK ya chama na kusahau BRAINS matokeo yake ndio haya, mnakosa strategic plan na mnaishia kughairisha mikakati bila sababu za msingi zenye kueleweka kwa watu na kupoteza influnce zaidi, actually hata wanachama wanawadharau kwa mwendo huu.
Labda ilikuwa utani, lakini UONGOZI wa chadema wanapaswa kufahamu kuwa Naibu Katibu Mkuu wao na wanachama wao 27 wako korokoroni hivi sasa kwa sababu ya mpango wao wa hovyo. Watu hawa tumaini lao ilikuwa ni kuungwa mkono lakini uongozi wao umewasaliti, umewatanguliza kama CHAMBO then mpango umeahirishwa. Lakini kuna vijana chungu mzima, ambao walikuwa driven na UKUTA wakajikuta wanamtukana Mkuu wa Nchi na Serikali yake nao wananyea debe wakati uongozi wao unaghairisha kiutani utani, opresheni iliowafikisha jela.
Hivi visingizio kuwa familia ya Nyerere imekutana na Lowassa na kumuomba, naomba nisitolee maelezo ila nitampigia simu personally msemaji wa familia hiyo Ndugu Makongoro ili ikiwezekana kesho ama keshokutwa afanye press, au aende Clouds au Efm kuthibitisha kuwa walikutana na Lowassa na kumuomba a-abort mpango mzima.
UKUTA chali, kama nilivyotegemea.
Jioni Njema...!!
CCM mnatutia aibu sana. Huyu nae ni Mbunge etii.. Ha ha haChief, hawa hawafanani hata na Ze Comedy, hawa kiboko kabisa..hawa wanafanana na Manyaunyau.
Hii pia ni kwa mtu pekee mwenye low betry kichwani ndo anayeweza kushabikia Siasa za majitaka za Chadema,mimi naziita siasa uchwara,unapomtuhumu huyu dada kumbuka pia viongozi wenu wanavyoropoka kumtukana kiongozi wa nchi na ndo tabia yenu mmezoea toka enzi za kikwete kumuita goigoi, leo mmemuita Mugufuli Dikteta uchwara,,kinakuuma nn Juliana kutoa maoni yake ya moyoni, kauli ngapi zenye ukakasi zilizotolewa na viongozi uchwara wako hao, ? Na unapiga vigelegele? Amka ww...Kwa mtu ambae kichwani ni betry low anaweza kuandika hayo ila nakuambia ukuta umefanikiwa sana jeshi linafagia wamefagilishwa bila kupenda polisi wanafanya mazoezi ya kukata vitambi kisa ukuta sasa nguvu kubwa ya nini wakat CHADEMA hawana hata upanga wala sindano wakiulizwa ukuta viongozi wa CCM ukuta shonza umekimbilia kupost ukuta huoni kama imefanya kazi?
Kirefu cha ukuta kishasambaa jamii imejua maaana ya ukuta halafu unaandika watanzania unajumuisha wote hadi wale milion 6 zile takwimu za asilimia 65 ya wanaomaliza udsm ni ****** zipo sahihi na nyie ndo zao lao mnajidhihirisha hapa mana unataka wapigane raia wa kitanzania ili iweje? Unataka kuwa Kiongoz unaehamasisha migogoro!!!!! halafu pia post yako ni ya kichochezi.
Tafadhali naomba tuheshimiane, wakikusikia wenyewe umewaita wanawake wenzangu kitakachokupata usije kunisimulia, watu wameshachagua njia ya maisha yao, sikuwahi kufanana nao, sifanani nao na kamwe sintofanana nao.
Wao wako katika bonde wamezama na wanaogelea, mimi niko mlimani na sijaguswa na toni la maji yao...sijui umenielewa.?
Hii pia ni kwa mtu pekee mwenye low betry kichwani ndo anayeweza kushabikia Siasa za majitaka za Chadema,mimi naziita siasa uchwara,unapomtuhumu huyu dada kumbuka pia viongozi wenu wanavyoropoka kumtukana kiongozi wa nchi na ndo tabia yenu mmezoea toka enzi za kikwete kumuita goigoi, leo mmemuita Mugufuli Dikteta uchwara,,kinakuuma nn Juliana kutoa maoni yake ya moyoni, kauli ngapi zenye ukakasi zilizotolewa na viongozi uchwara wako hao, ? Na unapiga vigelegele? Amka ww...