Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Umepata safari ya dharura usiku wa manane,ngeleja kaficha umeme wake,huna kifaa chochote chenye kutoa mwanga.Katika droo kuna pair tatu za soksi nyeupe na pair tatu za soksi nyeusi.Unataka kuweka kwenye briefcase angalau pair moja ya soksi nyeusi au pair moja ya soksi nyeupe.Utaweka at least soksi ngapi katika briefcase ili kupata pair moja iliyo sahihi?