Msisahau

Pearl

JF-Expert Member
Nov 25, 2009
3,036
309
"Halooo nipigie mm............".kataja jina lake eeeh nakaa cnhang'ombe Tra,haya kwaiyo unakuja kesho?saw karibu"
"Dada kesho shemeji yangu anakuja kunitembelea"nikamjibu
"Mbona shemeji yako na si dada yako kama ulivyosema"mana si ulisema unampigia dada yako?"
"Dada kasema yuko busy"
haya hamna shida next time mwambie aje jpili mmm nakuwa nyumbani ili tufahamiane sawa?"
"Sawa"
hayo yalikuwa ni maongezi kati yangu na msichana anaenisaidia kazi nyumbani kwangu,asubuhi kesho yake nikaamka na kwenda kazini kama kawaida nikamwachia majukum ya kufanya on that dei,ilikuwa ijumaa nawahi kidogo kutoka kazini,mmmh kuna washkaji wameniita sehem ,but roo inaniambia nirudi hme,nikarudi kufika getini nakuta liko wazi halijafugwa,kuingia se second gate liko wazi,mmmmh nikastuka kufungua mlango wa kwanza umerudishiwa tu,kufika sitting pako wazi,nikaanza kuita kimnya hakuna anae jibu,nikastuka,kuingia chumbani kwa dada hakuna nguo zake!!!!!!!!!!nikashusha pumzi ndefu,kuingia chumbani kwangu!tobaaaaaaa,laptop hakuna,kulikuwa na simu za watu kama mbili nilileta waliniagiza hakuna,nguo za mtoto hakuna,Mungu wangu yani nimeibiwa!kwakweli nilichanganyikiwa sana,basi ndivyo nilivyoibiwa na msichana wa kazi,nikatoka hapo nikaenda xul kumcheki mtoto asije kuwa kabwebwa n Thank God alikuwa salama.Nikaenda kutoa taarifa police,mpaka sasa sijajua hata yuko wapi.
The next weeek(jana nakuja job kuwaelezea friends wamesikitika sana about it,but pia wao wakawa na matatizo,mmoja juzi wakati anaomba msichana akaoiga yote "naungua jamani"baada ya sala msichana akaanza kulia na kuomba ruhusa eti aende kwao,sijui ndo uchawi wenyewe huu,mwingine kaamka eti amekutwa amechanjwa kila ikifika saa ya kufanya maombi eti msichana wake yuko busy mara anaosha vyombo mara anadeki!yani ilimradi asisali tu.
jamani sijui kuelezea kwa kirefu but thats how it happend Mungu ni mwema vitu vinatafutwa mybe angefanya makubwa zaidi ya hayo,jamani mkiwa nyumbani msisahau silaa yenu kubwa ya maombi maana hayo ndio yaponyayo.Hayo ndiyo yalonikuta mwenzenu wknd hii kabla sijasafiri.
 
ooops shost kisa kimezua mkasa ..thanx god mtoto alikuwa salama ..imewahi kunitokea pia ...nilikuta room yangu mpaka dressing table imesafishwa ..Mtoto kasalimishwa kwenye usalama akiwa na 1year and 5 month
Tuwe makini na hawa mabinti zetu
 
thanks love yani nilichanganyikiwa but I think yule ni bwana eti?
 
Pearl,ni kweli yamekukuta hayo au umeplagiarism hii habari sehemu?
Ulishawahi kumuona P kwenye hili jukwaa, tena na habari ndefu kiivo?
Anyway, labda ni mm tu nimetokea kuamini hovyohovyo....japo sijawahi kuumizwa kwa kuamini kwangu.
 
mpz cna sababu ya kukudanganya it was zis friday jmosi nikaenda dom,now cna msichana wa kazi n nataka kupiga sm kwenye agent nichukue msichana mwingine
Pearl,ni kweli yamekukuta hayo au umeplagiarism hii habari sehemu?
 
thanks love yani nilichanganyikiwa but I think yule ni bwana eti?

pole sana mamy hayo huwakuta wengi, nina rafiki yangu yeye yalimtokea makubwa zaidi but silaha ni kuomba tu, huyo aliyesema ni shemeji sijui kaka ni mwizi waliepanga nae njama.....ila nikuulize mpendwa hujui kwao huyo binti?
 
thanks love jamani msiache kuomba maana maisha nowdeiz yameharibika nadhani alitaka afike mjini kwanza zen aendelee na misele yake
Usichukue wasichana kwa agent!!! tafuta kutoka kijijini, hawa wanakuwa bora zaidi.
Sisi tuna msichana for 6 yrs sasa, na anasoma sasa hivi. Mpaka amekuwa kama ndugu yetu kabisa.
 
mpz cna sababu ya kukudanganya it was zis friday jmosi nikaenda dom,now cna msichana wa kazi n nataka kupiga sm kwenye agent nichukue msichana mwingine
Pole sana.safari hii mwambie Bigirita akuombee ili uongozwe na roho wa Bwana upate msichana mzuri au hausiboi pia anaweza kufaa zaidi.
 
Usichukue wasichana kwa agent!!! tafuta kutoka kijijini, hawa wanakuwa bora zaidi.
Sisi tuna msichana for 6 yrs sasa, na anasoma sasa hivi. Mpaka amekuwa kama ndugu yetu kabisa.
Tatizo ni kwamba akiingia mjini anakutana na wajanja na anabadilika.Mie naona ukichukua kwa agent au yale makampuni ya usafi unakuwa na sucurity zaidi kwani likitokea lolote mwajiri wake anawajibika.
 
mmh hous boy may dia nina mtoto wa kike?naogopa kwakweli
Pole sana.safari hii mwambie Bigirita akuombee ili uongozwe na roho wa Bwana upate msichana mzuri au hausiboi pia anaweza kufaa zaidi.
 
mpz cna sababu ya kukudanganya it was zis friday jmosi nikaenda dom,now cna msichana wa kazi n nataka kupiga sm kwenye agent nichukue msichana mwingine

Dah! Pole sana darling. Nashukuru kale kabinti nilikochangia pua kako salama.
Ila inaelekea hujakoma, bado unawatafuta?
Nway, huna ujanja. Napiga magoti kwa ajili yako.
 
Nimesikitishwa sana na mkasa uliokupata.
Mungu akutie nguvu na akulinde wewe na mali zako.
Nilitamani sana nikuone.
Wkend ntakutafuta.
 
Pole sana dada, haya yalinikuta by january.
Nilikuwa na wasichana wa kazi wawili maana tuna twins, tulikuta wote wametoweka, mungu mwema twins tulitoka nao siku hiyo sisi wenyewe.
Inasikitisha sana lakini hatuna budi kumshukuru mungu kwa kila jambo.
Maombi muhimu sana
barikiwa na amini kuwa Mungu atakupa vingine tu.
Mdogo mdogo tutafika tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom