Msisahau

my dia huyu msichana nililetewa na dereva lory kwao anapajua kenda kuwaambia wamesema "haya asante atakuwa salama tu msijali"seems wazazi wanajua
pole sana mamy hayo huwakuta wengi, nina rafiki yangu yeye yalimtokea makubwa zaidi but silaha ni kuomba tu, huyo aliyesema ni shemeji sijui kaka ni mwizi waliepanga nae njama.....ila nikuulize mpendwa hujui kwao huyo binti?
 
Nimesikitishwa sana na mkasa uliokupata.
Mungu akutie nguvu na akulinde wewe na mali zako.
Nilitamani sana nikuone.
Wkend ntakutafuta.

Yote sawa isipokuwa hilo la kutafutana weekend! Kiongozi unajipigia pande au?
 
my dia wa kijijini nowdaiz hawaaminiki kabisa,agent at least nitakuwa na guarantee
Usichukue wasichana kwa agent!!! tafuta kutoka kijijini, hawa wanakuwa bora zaidi.
Sisi tuna msichana for 6 yrs sasa, na anasoma sasa hivi. Mpaka amekuwa kama ndugu yetu kabisa.
 
Thx sweety hut lotion,yule mtoto ulie changia jino namshukuru Mungu mzima maana na ile rangi!wangejua dili[QUOTE=Chrispin;848139]Dah! Pole sana darling. Nashukuru kale kabinti nilikochangia pua kako salama.
Ila inaelekea hujakoma, bado unawatafuta?
Nway, huna ujanja. Napiga magoti kwa ajili yako.[/QUOTE]
 
Thx uncle,thx hata for ze kols u did,yani Mungu ni mwema sana,kweli bana its been loong hatujaonana beta tuonane zis weeknd miss u big time uncle.
Nimesikitishwa sana na mkasa uliokupata.
Mungu akutie nguvu na akulinde wewe na mali zako.
Nilitamani sana nikuone.
Wkend ntakutafuta.
 
Nawashauri wote muwe na tabia ya kufunga mlango wa chumbani kwenu!!

Mi msichana haingii kabisa chumbani!! Hata usafi tunafanya wenyewe- hivyo hivyo mara moja kwa wiki!!

Ukipata mwingine fungua kabisa faili. Akifika unampiga picha kwa mbinu yeyote, si lazima passport size
 
thx,siku ya kufa nyani miti yote utekeza cjui nilisahau vipi zat dei kufunga mpz
Nawashauri wote muwe na tabia ya kufunga mlango wa chumbani kwenu!!

Mi msichana haingii kabisa chumbani!! Hata usafi tunafanya wenyewe- hivyo hivyo mara moja kwa wiki!!

Ukipata mwingine fungua kabisa faili. Akifika unampiga picha kwa mbinu yeyote, si lazima passport size
 
Kumbe huwa unafunga? Mh, inawezekana hata hukusahau! Alikutime na ufunguo mwingine?

Au alipogundua kuko wazi ndio akasuka dili la "shemeji anakuja"?
 
Pole dada kwa yaliyokukuta, hata sie nyumbani kwetu yaliwahi kutukuta pia, na usiombe yakukute.....
 
it can be true yani hata sielewi anywei usilo lijua maana kila nikiwaza nabaki tu maybe,maybe!
Kumbe huwa unafunga? Mh, inawezekana hata hukusahau! Alikutime na ufunguo mwingine?

Au alipogundua kuko wazi ndio akasuka dili la "shemeji anakuja"?
 
Wasichana wa kazi karibu wote ndivyo walivyo. Wanyalukolo tena ndio zaidi, akisema swela anakanyonga katoto kako na anajiondokea zake. Unasema ukachukue kwa ma-agent? Hapo ndipo tunapokosea, maana hao wapo kibiashara tu hujui wasichana hao wanawatoa wapi na historia zao zikoje. Wenzio wanakwenda kijijini moja kwa moja kuwaomba wazazi wao Mlimba huko, kando ya reli ya Tazara mkoa wote wa Morogoro shuka stesheni yoyote halafu zamia ndani ndani, utawapata tu, fikia kwa serikali za mitaa ongea nao vizuri watakwambia ni nyumba ipi hasa inakufaa. Ukingojea kupostiwa utaendelea kulizwa kwa awamu. Sio lazima uende mwenyewe kijijini, jamaa yako aliye karibu na huko anaweza kukusaidia, lakini sio kutumia agent.

Nimelizwa mara nyingi, wengine akifika leo anareck mtaa wako halafu anahamia kwa vijana wa mitaani wanaomgegedua kwa ahadi ya kumpa kila kitu akiacha watoto wanapiga miayo siku nzima mpaka unaporudi usiku au jioni. Watoto wa mjini nao akikaa siku mbili tatu anapendeza na unajikuta anakusaidia hata kazi zako za ndani za kimsingi kwa mzee. Yaani, weacha tu. Akifikia miaka 17 una bahati bora arudi nyumbani, maana miaka 15 tu akizoea nyumbani kwako ujue mko wanawake wawili.
 
thx bana wat ur saying is real true thx alot

Pole sana mtu wetu kwa yaliyokusibu, pole sana siku hizi wotu wenye uaminifu ni wachache sana.ila bora tu mtoto kwa vile yuko salama, vitu utapata tu tene japo ni hasara usijari sana.
 
thx cotan,naanza kuzoea sasa
Pole sana mtu wetu kwa yaliyokusibu, pole sana siku hizi wotu wenye uaminifu ni wachache sana.ila bora tu mtoto kwa vile yuko salama, vitu utapata tu tene japo ni hasara usijari sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom