Msiri wako ni nani JF?

Seran au ametuhack huyu jamaa 😂 😂 anajuaje siri zetu?
 
Watu washakuwa na roho kubwa aisee!

Kuna members wengi sana humu, wamebadiri ID's kutokana na kuanikwa, au kukamiwa, kutukanwa sana na kusakamwa. JF ili uwe salama, lazima uweze ku maintain hali ya kutotambulika, ikitokea vinginevyo basi faragha yako, inaingiliwa, ndio maana ni mwiko "name calling" hapa JF.

Tunaweza kuwa tunahusiana au kufahamiana nje ya JF, lakini ukiniita kwa jina langu humu ni kosa, nikilalamika kwa mods, unaweza pewa ban, labda kama nimeamua kuwa verified. Hii yoye ni kulinda image na faragha ya watumiaji. Kama umeamua kutambulika humu, do it at your own risk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…