Msiri wako ni nani JF?

Umdhania ndie kumbe sie kaa chonjo😎
Hivi kuna faida gani katika kuanikana?
For me hiyo hiawezi tokea kamwe

Kuanikana JF kupo hivi, file lako linahama, labda chukulia mfano file lako lipo kwa Binti wa zamani , linahama linakuja kwa Seran , na yeye analihamisha analileta kwa jamaa yake min -me , kwa iyo unakuta file lako tayari watu kibao wanalo hapa jamvini. 😁
 
Namalizia mwezi wangu ndani ya chitchat nisepe zangu kulekule..!

Kila mtu kila mahali ana MSIRI wake kwenye kila Jambo.

Je wewe MSIRI wako ni nani JF?

Una hakika hata akilewa hawezi kufunguka?
Jf msiri wangu ni mimi mwenyewe na roho yangu ,kwenye maisha ni kosa kubwa sana mwamini binadamu yoyote ,labda wazazi wako tu
 
Sasa si linahama kisirisiri halianikwi humu ndaniπŸ₯²
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…