Wewe umevuka hizo levelDad?π
Mbona kama unatoa tahadhari mkuuπMtu unamuamini vizuri tuu, mnakutana, mnaendeleza urafiki, badae anakuuza humu JF. π
Unaogopa kuuzwa?Mtu unamuamini vizuri tuu, mnakutana, mnaendeleza urafiki, badae anakuuza humu JF. π
Hata wewe umeonaMbona kama unatoa tahadhari mkuuπ
Basi tutaliunga hukohuko sio mbaya sanaπ.... Au basi na utu uzima huu nikiitwa shilawadu haifaiπ. . Ila kusema atamalizaπ Sijui...ππΏππΏ
Kwahyo we uke wako kuanikwa humu freshy tu sio?π«’Unaogopa kuuzwa?
Mimi sijaona kitu mtu atafanya humu nikawa shock labda aanike nyapu live na hiyo itanisumbua for one day
Then life lazima lisongeπ₯±
Kama upo hivyo vizuri, usije ukamuuza afisa masoko wa TBL.Maybe,ila nafikiri Iβm more consistent than you think mkuu..
Hakuna shida hata upo kwenye hali nzuriπββοΈπββοΈπββοΈπKwahyo we uke wako kuanikwa humu freshy tu sio?π«’
Mbona kama unatoa tahadhari mkuuπ
Muda wote huo nije kumuuza leo lol! Acha uoga mkuu jitungue usiogope mambo ya mauzoπKama upo hivyo vizuri, usije ukamuuza afisa masoko wa TBL.
Wa nani uko kwenye hali mbayaπHakuna shida hata upo kwenye hali nzuriπββοΈπββοΈπββοΈπ
Unaogopa kuuzwa?
Mimi sijaona kitu mtu atafanya humu nikawa shock labda aanike nyapu live na hiyo itanisumbua for one day
Then life lazima lisongeπ₯±
Hahah kama yeye alivyokuamini basi nawewe muamini tu mkuu!Sio tahadhali, kuna mtu nataka kumwamini, simtaji lakinj nahofia atakuja kuniuza na siri zangu azianike hapa JF. π
Umdhania ndie kumbe sie kaa chonjoπSio tahadhali, kuna mtu nataka kumwamini, simtaji lakinj nahofia atakuja kuniuza na siri zangu azianike hapa JF. π
Watu washakuwa na roho kubwa aisee!Kwa iyo akitokea mtu ulimwamini sana, akaja akaweka file lako humu JF, utaona poa tuu? π
Kwahyo we uke wako kuanikwa humu freshy tu sio?π«’
Unadhani utafanyaje na tayali umeanikwa uchukue kitanzi au?Kwa iyo akitokea mtu ulimwamini sana, akaja akaweka file lako humu JF, utaona poa tuu? π