Nakataa siyo mimi na id natelekezaHata kama hana siri? Usije ukajikuta katupia Selfika!π
Passion yako ya kuanzisha nyuzi hakuna wa kukukamataππππ kule lawama huku sifaπͺπΏView attachment 3579466
Ni mimi mwenyewe na Mungu wangu!Namalizia mwezi wangu ndani ya chitchat nisepe zangu kulekule..!
Kila mtu kila mahali ana MSIRI wake kwenye kila Jambo.
Je wewe MSIRI wako ni nani JF?
Una hakika hata akilewa hawezi kufunguka?
Niko na mdogo wangu, nishamwambia kila kituπ€£Uko wapi nije.. Usije na mdogo wakoπ nina nataka tutete
Yaani nakutetea halafu unaharibu tenaπββοΈπββοΈπββοΈAsante kwa kunibeba angalau leoπ π ila mimi na Grahams ni wazee sasa!!
Sema kaka Mshana anastahili tuzo ya Nobel, sio kwa kuichangamsha jf, daily asee!!
Tutakupeleka sumbawanga, wateja wengiπ€£Sasa ndio umefanya nini sheeπ₯ΊNikiachwa utajua pa kuniwekaπ
Halafu kuna ID nimeiona inakumendea sana, sislewi!!Yaani nakutetea halafu unaharibu tenaπββοΈπββοΈπββοΈ
Ukikuta nimekutetea tena niko paleee.....
Mbona Mshana Jr, kuna uzi humu unahoji kama Ulozi upo au ni myths tu kwa nini huwasaidii vijana kuelewa! Nimeshangaa mpaka Msukuma mmoja naye anasema ni mambo ya kufikrika!Nimestaafu ulozi nikichoka kucheza na wajukuu (sio hawa wenu humuπ) naingia JF