Msiri wako ni nani JF?

Wengine mbona tunalala nje afu freshy tu! Kosa kubwa ni kujichekesha na vibwana vyao! Wenyewe hawataki🤣
kibwana kimekuja chenyewe alf mimi nikikatae ilihali wote tuna hisia? yeye adili na kibwana chake hukoo akizuie kujichekelesha kwetu😂😂 kizuri kula na nduguyo sikuhizi hata makaburi yanabeba wawili wawili
 
Wanasema vibwana vya humu havikufai katafute bar huko🤣
Ndio uviepuke vikijelengesha vitakuanika humu! Ohoo..

Hebu kanibless moja kule nione brand ya leo..😁
 
walioko bar ndo hao hao tunao kutana nao JF tabia zile zile,, mimi nikielewana na mtu sipepesi macho mara mbili, nafanya jambo for my own willing

nitakuita saivi ngoj nimalizie kuanika wale dagaa wetu juu ya mawe
 
Binti hicho kiungo nenda nacho taratibu usikifuje😆
 
walioko bar ndo hao hao tunao kutana nao JF tabia zile zile,, mimi nikielewana na mtu sipepesi macho mara mbili, nafanya jambo for my own willing
Hupepesi macho sio! Subiri wakukaange hiyo siku sikutetei😂
Mimi nikajua wa jf wako mars, basi tuangalie wa madhabahuni😅
nitakuita saivi ngoj nimalizie kuanika wale dagaa wetu juu ya mawe
Unaremba dagaa wakati mawashio🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…