Msiri wako ni nani JF?

Hii ya Dad nilikua sijazaliwa ilikuaje 😁
 
mafile yangu nayatunza vizuri mnoooo ila ukiona umepata moja wapo ujue hiyo sio siri na hata nikisikia habari zake hazito niumiza

kwenye mambo yangu ya siri siachagi ushahidi😄😄😄 labda upasue moyo ndo utakutana nayo
Hahaha watu mna siri sana! Na huo moyo wa chuma kama wa depal, kajua kuwatolesha mapovu waja! mimi ndio jicho kwa jicho niumie nisiumie tutaenda sambamba😂
 
Mimi nimesema huko juu hakuna kitu mtu atasema kuhusu mimi nikapata shock hata nyapu ikianikwa live
Mtaongea siku mbili siku ya tatu life litasonga
sema 'wataongea" nyau wew😄😄😄

kwanza hizi habari za kuanza ooh flani ndo alisema moja mbili tatu mi huwa sizifuatilii hata kidogo ndo maan nikiskia story zangu sina mda wa kumprove mtu wrong kila mtu aelewe anavyo elewa
 
JF kubwa, kuna visa vikubwa sana vilishatokea hapa tukavishuhudia, kuna kila aina ya umafia humu.
 
Halafu wakishaongea ?
Wakimaliza wakalale eti
Win weee Anyway
Mimi mtu asije akanitisha et ana siri zangu ili nimnyenyekee
Aisee😏
 
Hahaha watu mna siri sana! Na huo moyo wa chuma kama wa depal, kajua kuwatolesha mapovu waja! mimi ndio jicho kwa jicho niumie nisiumie tutaenda sambamba😂
siri gani bwana😅😅 mfano hiyo issue ya D hatuwezi kuiita siri hata kidogo mtu kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja ni kawaida kabisa kwanza K ni yake anaitumia anavyotaka kikubwa hajabeba ya mtu wala kumwambia mtu amuinulie labia majora ila Penis ipite,,

mimi nguvu ya jicho kwa jicho sina kabisa labda nikuone unaninyang'anya tonge nililo lipambania kwa udi na uvumba😄😄😄 vingine naacha tu wabweke
 
JF kubwa, kuna visa vikubwa sana vilishatokea hapa tukavishuhudia, kuna kila aina ya umafia humu.
Kiukweli uchi unatisha ukiwa hautumiki kwa muda huo hii wala watu wasijipe moyo. 😹😹

Humu umafia upo sema malaya hawawezi kuelewa. Na ogopa sana watu ambao hawana cha kupoteza.. ni hatari kwa afya yako ya akili na mwili..!!
 
Mimi siku nikiwa na mpenzi atakua huyo huyo mmoja still najitunza MashaAllah
 
Halafu wakishaongea ?
Wakimaliza wakalale eti
Win weee Anyway
Mimi mtu asije akanitisha et ana siri zangu ili nimnyenyekee
Aisee😏
dj atulete na kale ka wimbo ka zuchu
🎶 alokwambia kahadithiwa, alohadithiwa kakosea kukwambia, na alie mwambia alihadithiwa na yeye akakosea kukwambia🎶🎶

nimnyenyekee mtu wakati sijaua?,, humu umbea mwingi ni mambo ya kudinyana na mambo ya financial situation,, wakija na suala la kuliwa niliipeleka mwenyewe sikulazimishwa why niumie? kama ni mambo ya kuishi maisha ya chini au kukoswa pesa kwani mimi ndo natoa ridhiki mpka tufanane kipato?,, hata nikilala kwenye mkeka wenyew wakiamua kuongea watanipunguzia nini😆😆
 
Mdogo wangu mzuriiii hebu tuliwe bhna ikibidi vitaoza hivi mie mwaka 2 tena huu sijagusa dah😭😭😭
 
Asilimia kubwa humu watu hawajuani ila mki tofautiana jukwaani anatunga uwongo ili udhalilike kwa kuwaaminisha watu uwongo.
 
Kwanza kwa nini Mwanamke utume picha ya utupu hiyo ni akili ya kikahaba yaani ya kutojali utu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…