Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,272
- 64,400
Pole Sana mkuu ngoja niite jopo langu.Kutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe.
Sasa najihisi kama niko kifungoni, sifurahii maisha kabisa; nakunywa juisi, soda, maji n.k nyama zote nakula, natembea kutoka pointi moja hadi nyingine, totozi hakuna shida.
Pamoja na yote hayo, naona sifurahii maisha kabisa kwa sababu ya kutokunywa pombe, najiona napwaya kabisa.
Kama ni viwanja, wale wakaribu yangu watakunywa pombe ila mimi napiga tu maji na juisi tu.
Wakuu, msiokunywa pombe, mnafurahiaje maisha?
mie binafsi najifungia ndani na hizi hapa, sitoki nje kama mwali, majirani wanahisi nimesafiriakuu, msiokunywa pombe, mnafurahiaje maisha?
Ndio nini mkuuMbss
Kutokunywa pombe ndiyo starehe yenyewe.Kutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe.
Sasa najihisi kama niko kifungoni, sifurahii maisha kabisa; nakunywa juisi, soda, maji n.k nyama zote nakula, natembea kutoka pointi moja hadi nyingine, totozi hakuna shida.
Pamoja na yote hayo, naona sifurahii maisha kabisa kwa sababu ya kutokunywa pombe, najiona napwaya kabisa.
Kama ni viwanja, wale wakaribu yangu watakunywa pombe ila mimi napiga tu maji na juisi tu.
Wakuu, msiokunywa pombe, mnafurahiaje maisha?
Najaribu kutafuta mbadalaKunywa pombe tu mkuu, usiwaze sana we kunywa tu
Najiona mnyonge sanaKutokunywa pombe ndiyo starehe yenyewe.
Asante mkuu, nawasubiri kwa ushauri wao.Pole Sana mkuu ngoja niite jopo langu.
Cc. min -me , secretarybird , Monetary doctor , Harmful , Castle_Lite
E.t.c
Unahuzunika kutokula kitu kinachokidhuru? Kama umeacha pombe,juisi pia sio option nzuri kwako mkuuKutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe.
Sasa najihisi kama niko kifungoni, sifurahii maisha kabisa; nakunywa juisi, soda, maji n.k nyama zote nakula, natembea kutoka pointi moja hadi nyingine, totozi hakuna shida.
Pamoja na yote hayo, naona sifurahii maisha kabisa kwa sababu ya kutokunywa pombe, najiona napwaya kabisa.
Kama ni viwanja, wale wakaribu yangu watakunywa pombe ila mimi napiga tu maji na juisi tu.
Wakuu, msiokunywa pombe, mnafurahiaje maisha?
Na hayo maisha unayafurahia?mie binafsi najifungia ndani na hizi hapa, sitoki nje kama mwali, majirani wanahisi nimesafiri
View attachment 3394967
Nikihisi nyege, nyeto inahusika
nikitaka kisinia sitoki, ni kuagizia toka mbali
Najaribu kutafuta, sioni mbadalaUna uhakika Pombe ndo starehe pekee ulimwenguni?
Hakuna Kama ipo itajeeUna uhakika Pombe ndo starehe pekee ulimwenguni?
Nikamuimbie nani, na itanisaidiaje kupata furaha ya nafsi?kwaya
Tukiwaona nyie mnavoyumbayumba bila sababu😂😂sisi kwetu raaaaaahaaaKutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe.
Sasa najihisi kama niko kifungoni, sifurahii maisha kabisa; nakunywa juisi, soda, maji n.k nyama zote nakula, natembea kutoka pointi moja hadi nyingine, totozi hakuna shida.
Pamoja na yote hayo, naona sifurahii maisha kabisa kwa sababu ya kutokunywa pombe, najiona napwaya kabisa.
Kama ni viwanja, wale wakaribu yangu watakunywa pombe ila mimi napiga tu maji na juisi tu.
Wakuu, msiokunywa pombe, mnafurahiaje maisha?
Kifupi mkuu hakunaaNajaribu kutafuta, sioni mbadala