Msiogope wauwao mwili peke yake bali mwogopeni Mungu auwaye mwili na roho ,Twendeni kwenye ibada pale pale ubungo maji injili lazima isonge mbele

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
12,210
Reaction score
23,255
Injili lazima ihubiliwe kwa viumbe wote!

Yesu alisema; Msiogope hawa wanaowatishia kuuwa mwili peke yake, Bali mwogopeni sana Mungu ambaye anauwa vyote yaani Mwili na roho na hao wanaowatisha!

Shetani kazi yake ni kutisha na kuuwa mwili peke yake! LAKINI mwenye mamlaka ya MWILI NA ROHO ni MUNGU MWENYEWE!

Hivyo msiogope hawa bali tumwogope mwenye mamlaka ya vyote ambae anauwezo hata usipokuja ibadani anauwezo wa kukunyakua ulipo huko!
Huyu ni Mungu anaejua hadi idadi ya NYWELE ZAKO huko uliko!

Ukimkana kisa kuogopa mabomu ya machozi na yeye kasema Atakukana MBINGUNI!

AMSHANENI TWENDENI KIFUA MBELE MAJESHI YA MALAIKA WALIOANDALIWA JUU YETU NI WENGI KULIKO WAO!
Shetani na vibaraka wake Apigweeeee....Tukutane Tumsifu bwana kwa nguvu zote!
 
Kama polisi ni dada zako nenda kwani lazima usalie hapo ?
Neno linasema KILA MKUSANYIKAPO KWA AJILI YANGU NIPO katikati yenu!
Njoo tumsifu Mungu tuzipinge Hila za shetani!
 
Vitisho ni sehemu ya safari ya Imani, Ukiona uko sehemu palipotulia Jitafakari sana jiulize mara mbilimbili
 
Mathayo 10 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²⁷ Niwaambialo ninyi katika giza, lisemeni katika nuru; na msikialo kwa siri, lihubirini juu ya nyumba.
²⁸ Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum.
 
Kama hukumsikia Muliro nenda....
Luka 12 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁴ Nami nawaambia ninyi rafiki zangu, msiwaogope hao wauuao mwili, kisha baada ya hayo hawana wawezalo kutenda zaidi.
⁵ Lakini nitawaonya mtakayemwogopa; mwogopeni yule ambaye akiisha kumwua mtu ana uweza wa kumtupa katika Jehanum; naam, nawaambia, Mwogopeni huyo.
 
Haleluyah
 
Nimekuta difenda kadhaa za miamba ya pale
 
Njoo mtu wa Mungu tumsifu bwana! Hakuna atakaye nyanyua upanga dhidi yetu akafanikiwa! USIOGOPE
Wale wasenge wameshaambiwa sasa hivi wawe wanawakata watu Vichwa sasa wewe kichwa chako nenda kakitoe sadaka
 
Wale wasenge wameshaambiwa sasa hivi wawe wanawakata watu Vichwa sasa wewe kichwa chako nenda kakitoe sadaka
VITISHO nisehemu ya imani ! Huwezi kuwa mfuasi wa kristu ukaogopa VITISHO vya kipuuzi kama hivyo!
 
VITISHO nisehemu ya imani ! Huwezi kuwa mfuasi wa kristu ukaogopa VITISHO vya kipuuzi kama hivyo!
Wameeambiwa kichwa chochote kitakachojipendekeza ni halali yao yaan kila kichwa watakachokikata watapatiwa thwawabu
 
Wameeambiwa kichwa chochote kitakachojipendekeza ni halali yao yaan kila kichwa watakachokikata watapatiwa thwawabu
Kama ni kwa mapenzi ya MUNGU wala hatutarudi nyuma. Lazima injili isonge mbele maandiko yanasema ATAYEMKANA KRISTU Naye atakanwa SIKU ILE!

HATUOGOPI NA WALA HATUTAMKANA KRISTU KWA HILA WALA KWA UPANGA WALA KWA MABOMU .....Haleluuyaah
 
Hivyo vi andiko vyako kaviongelee Pale si hapa..hzo dalili za uoga,unaogopa
 
Kama ni kwa mapenzi ya MUNGU wala hatutarudi nyuma. Lazima injili isonge mbele maandiko yanasema ATAYEMKANA KRISTU Naye atakanwa SIKU ILE!

HATUOGOPI NA WALA HATUTAMKANA KRISTU KWA HILA WALA KWA UPANGA WALA KWA MABOMU .....Haleluuyaah
Haya sasa nendeni wakawakate Vichwa maana walishasema lazima wawakate Vichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…