hibiscus interior
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,168
- 596
Pesa+ mapenz-uvumilivu-subra÷ tamaaa= single motherNi kweli hata mim nina mawazo sawa kama ww tafuta mtu mwenye cha zaidi kidogo ambaye mshahara wake ni mwingi kuliko wako hata kama nalipwa 920000 kwa mwezi siwez kutafuta bwana anayelipwa mshahara sawa na mm hata kidogo nitatafuta mwenye hata amenizid kwa laki moja lengo ni kuridhisha tu nafs yang kwamba huyu analipwa cha zaid
Coz mm nahisig tunaolipwa sawa km vile inajenga pcha flan hv ya,ajab
Hata ukiwa na shda hutoweza kumweleza sana maana utahis ni km ww tyu kwa malipo
So muombe mungu upate mwenye cha zaid
Chukua hatua atuwawowiiiiiiii