Amina.B blessed
Aisee! kweli kabisa ndugu
Nitafute pm nikupe no. za bilionea donald trump nasikia anatafuta mke. "horible" nyie ndo mnajigonga kwa matajiri alafu unaishia kuwa single mother na kuongeza idadi ya watoto wasiokuwa na baba
Et nawe unahtaji ushauri wakati taayari umejishauri!!
Huo umri mie nadhani mtoto wa kike unatakiwa uwe ushakua na mtu wa kueleweka, kufanya nae maisha ha ha ha mwenzangu bado upo unapiga ana ana doo shauri ako taa nyekundu zikiwaka utaanza lawamaJapo hata polisi coz rushwa nyingi so hizo pesa za ziada zitasaidia kufungua miradi.
Inayoooa ni dyu dyu na c salary #mchunaji #pesambele haya njoo nikuwowe Nina salary kubwaaaa afu dudu aifany kaz ( mfano)salama jamen?
Husika na kichwa cha barua hapo juu.Mimi ni Mwl wa shule msingi,tatizo linalokuja ni kwamba sitaki kabisa hata kusikia suala la kuolewa na mwl.
Eti nahisi hatuwez fikia mafanikio tukiwa na mshahara unaolingana kama mnavojua salary yetu jaman.Au am wrong?
Mashauri ya aina yote naruhusu wapendwa.samahan walimu.
hujafanya utafiti kama hujui mshahala ya mwl wa sec..hata hivyo sijui kamamsingi 360000sec kama sikosei 480000 ivi
watu hulipwa viwango tofauti, ndio sababu kuna TGTS A, B,C,D,E,F,G,H,I, na J. Pia tambua hakuna mshahara maalumu kwa shule za msingi wala sekondari.inategemea elimu na umri wako kazini.msingi 360000sec kama sikosei 480000 ivi