Msingi wa Ikulu ya Dodoma, ulitumia nondo za Tsh. Bilioni 1

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
1,328
3,690
Kwa lugha rahisi ni milioni elfu moja.
Martin kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) anaandika

Hili ni tatizo la kununua bidhaa mtandaoni. Unakuta bidhaa ya elfu ishirini, mtandaoni wanasema ni laki moja. Serikali imenunua nondo mtandaoni, wamejenga msingi wa ghorofa moja tu kwa shilingi bilioni moja. Kwa lugha rahisi, milioni elfu moja. Hii nchi pesa ipo bablai.

1711476990791.png

=====

Ujenzi wa msingi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma ulitumia nondo zenye thamani ya shilingi Bilioni 1 kutokana na mahitaji ya ujenzi wa jengo imara ambalo litaduma karne na karne" - Meja Jenerali Mbugi
 
Msingi ndio bilioni au nondo tupu ndio bilioni?
Tueleweshwe hapa
Kama ni msingi nitakubari 7bu msingi wa ikulu sio kama unavyodhani ni msingi wa nyumba ya kawaida lazima kutakuwa chini kuna Underground za kiusalama na udambwidambwi wa kisecurity wa kuhakikisha usalama wa raisi
Ni pesa ya kawaida sana
Hicho kijumba cha kawaida tu cha vyumba vitatu na sebure na jiko hadi kuweka huo mkanda tu na hapo chini umefukia tofari hizo nondo umekuja kwenye mkanda tu si chini ya milioni 5 hapo ndo kibabe sasa sembuse jengo kam ikulu
 
Kwa lugha rahisi ni milioni elfu moja.
===
Martin kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) anaandika

Hili ni tatizo la kununua bidhaa mtandaoni. Unakuta bidhaa ya elfu ishirini, mtandaoni wanasema ni laki moja. Serikali imenunua nondo mtandaoni, wamejenga msingi wa ghorofa moja tu kwa shilingi bilioni moja. Kwa lugha rahisi, milioni elfu moja. Hii nchi pesa ipo bablai.

Chanzo: Maltin maranja masese
You are too shallow ikulu gani unaiongelea?tuna ikulu nyingi kubwa na ndogo so ni ipi?
 
Back
Top Bottom