Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,433
😂😂😂😂Hawa wasiokuwa na lolote wamejaa kiburi ndio sembuse hao wenye vijisenti uwapange wanne?
😂😂😂😂Hawa wasiokuwa na lolote wamejaa kiburi ndio sembuse hao wenye vijisenti uwapange wanne?
Hii ni kweli kabsYeah ofcourse ukiwa unakula mbususu frequently matatizo ya kumwaga dakk 2 utayasikia kwa jirani tu. Ila mbunye ya kupimiwa kila baada ya week2 ndio yale kidebe kimejaa ukichopeka tu wazungu ndani😅
Yeah ofcourse ukiwa unakula mbususu frequently matatizo ya kumwaga dakk 2 utayasikia kwa jirani tu. Ila mbunye ya kupimiwa kila baada ya week2 ndio yale kidebe kimejaa ukichopeka tu wazungu ndani[emoji28]
😅😅😅😅😅 we unaona raha kunyimwa?Umeongea kwa uchungu sana[emoji23]
Hao hugongi wako busy na kazi tu mda woteUwe na wake wanne mmoja CEO, mwingine Katibu Mkuu wa Wizara, mmoja ni officer wa UN na wamwisho anafanya kazi TRA baada ya CPA
Kwani unaowa vyeo/nafasi/wadhifa au Mke?Uwe na wake wanne mmoja CEO, mwingine Katibu Mkuu wa Wizara, mmoja ni officer wa UN na wamwisho anafanya kazi TRA baada ya CPA
Wanapatikana wapi hao?Uwe na wake wanne mmoja CEO, mwingine Katibu Mkuu wa Wizara, mmoja ni officer wa UN na wamwisho anafanya kazi TRA baada ya CPA
Mimi sikubaliani na kuoa mke mmoja. Kwa nini tunamdanganya Mungu, kumbe tunadanganya nafsi zetu na imani zetu. Hii ya mke mmoja ni utamaduni tu wa wazungu. Lakini hata Biblia hakuna mahali imesema oeni mke mmoja. Na kwenye Biblia wengi wa Manabii walikuwa na wake wengi. Suleiman akabarikiwa hadi kuwa na wake mia saba.Kusema ukweli kabisa kuwa na mke mmoja kwa wanaume wengi ni suala la kimaisha tu yaani pesa ni tatizo pia dini ila kwa hulka wengi tunapenda wanawake wengi.
Na hata marole model wetu kina solomoni,isaka,yakobo nk wanathibitisha hili
Ingekuwa hivyo Mungu asingeruhusu wake wengi. Enzi hizo soma maandiko matakatifu, manabii na watu wengi wa Mungu walikuwa na wake zaidi ya mmoja. Hadi ilifikia mmoja wa manabii ambako uzao wa Yesu ulitokea alioa ndugu wawili, yaani dada na mdogo wake. Ibrahimu alie barikiwa uzao wake soma habari zake. Soma juu ya Suleiman. Kisha nambie ni wapi katika Biblia kunakataza kuoa wake wengi.OGOPA SANA KITU KINACHOTAFUTILWA UHALALI WAKE KUPITIA DINI.
ASILI YA MWANAUME NI KUMILIKI MWANAMKE 1, HATUWEZI PENDA WAKE AWILI KWA MOYO MMOJA.NDIO MAANA MUNGU ALIUMBA ADAMU NA HAWA.
NA KWA UWEZO WA MUNGU, ANGEWEZA UMBA MWANAUME MMOJA KWA WANAWAKE 5, LAKINI ALIFANYA MOJA KWA MMOJA.
ZAMA ZETU HIZI UPOTOFU NI MWINGI,
Mimi sikubaliani na kuoa mke mmoja. Kwa nini tunamdanganya Mungu, kumbe tunadanganya nafsi zetu na imani zetu. Hii ya mke mmoja ni utamaduni tu wa wazungu. Lakini hata Biblia hakuna mahali imesema oeni mke mmoja. Na kwenye Biblia wengi wa Manabii walikuwa na wake wengi. Suleiman akabarikiwa hadi kuwa na wake mia saba.
Nimegoma kuoa kwa kupingana na hilo la mke mmoja, make sintoridhika na mmoja. Nataka wengi.
Anataka kusema wote tuna matatizo kama yeye [emoji1787][emoji23]Mtoa mada,
Sema "Mimi Sina nguvu za kiume"
Usiseme "sisi hatuna nguvu za kiume"