Msimu ujao TFF idhibiti vikali mechi za mipango katika ligi yetu

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,289
Reaction score
5,741
Malalamiko ya mashabiki wa yanga ni mengi sana kwa sababu mipango yao ya kuwa mabingwa wanaona inakuwa migumu licha ya kuwekeza sana kwenye timu pinzani na kufikia kutengeneza baadhi ya timu za kuipa pointi kama ilivyo kwa Singida big stars.

Malalamiko yamekuwa dhidi ya waamuzi hususan wanaochezesha mechi za Simba.
Ukweli waamuzi hawa hawa wamekuww na mchango sawa kuifanya yanga iwe hapo na ndio maana sio ajabu kuona hawafanyi vizuri kimataifa licha ya kuwa mabingwa wa kihistoria.

Nashauri msimu ujao TFF na bodi ya ligi waache kuzichekea timu hizi kwa namna zinavyotengeneza ushindi nje ya uwanja.Mfano mmiliki wa timu kudhamini vilabu Vingi halafu anakuwa na kauli mbiu kama vile yanga bingwa,huku tukiona wazi jinsi vitimu kama Dodoma jiji vikimuachia ajipigie atakavyo.

Timu inarubuni wachezaji wa timu pinzani wakati mwingine wazi wazi huku wakitangaza kuwasajili msimu ukiisha huku wakiwa bado na mikataba ni uhuni usiostahili kufumbiwa macho.
Timu zinaendesha propaganda kupitia kwa waandishi wasiojitambua kuchafua taswira ya ligi yetu na bado zinachekewa tu.

Viongozi wa TFF hawapaswi kuwaogopa wanasiasa waliojiingiza kwenye soka na kuanza kuharibu soka letu kwa kuleta misimamo ya kisiasa ndani ya soka.

Timu kama imesajiliwa kucheza soka inapaswa kucheza soka sio kucheza sheria.Ni upumbavu kwa timu kujibadili na kuwa kama kampuni la wanasheria uchwara kuomba pointi za mezani pasipo msingi wowote wa kisheria badala ya kupekeka timu uwanjani.

TFF iwapo mtaendekeza uhuni basi mjue mtakuja kuiua ligi yetu.
 
Ndugu mbumbumbu Tff na GSM waliingia mkataba wenye thamani ya bil 2 kama ilivyo NBC ili kuzipunguzia gharama za uendeshaji vilabu vinavyo shiriki NBC premier league.

Mkataba ulihusisha Jezi na vifaa vya michezo, GSM walianza utekelezaji kwa kugawa jezi na vifaa vya michezo kwa timu zote za ligi kuu akiwa kama mdhamini mwenza wa NBC.

Simba kupitia Barbara na Azam waka gomea udhamini wa GSM wakidai wakati wa uingiaji wa mkataba hawakushirikishwa, ila ukweli ata mkataba wa NBC na Tff hauku washirikisha vilabu mkataba ulikua baina ya Tff na NBC vilabu vilielezwa tu.

Kikubwa ni Simba na Azam waliona GSM ni mshindani wa kibiashara wa mabosi wa timu zao kwenye baadhi ya bidhaa kwaiyo hawakutaka apate kiki kupitia timu zao.

Simba kwakua TFF wanaiweza waka anzisha mgomo wa kitocheza mechi iwapo uwanja utakua na Mabango ya GSM.

Tff ikabidi wawaombe msamaha GSM na kuwataka waelewane kuivunja mkataba walio ingia kabla Ligi haija anza.
Kumbuka GSM walisha anza kutekeleza mkataba kwa kugawa vifaa kwa timu zote 16 kupitia Tff na fedha za nauli.

Baada ya mgogoro uo kua mkubwa na kutishia Ligi kuanza na kelele kutoka kwa Simba ilibidi timu zielezwe mkataba wa GSM umevunjika na timu zijitafutie wadhamini wake.

Timu nyingi za Daraja la kati ukiacha Simba na Azam zilipatwa na taharuki maana sehemu ya udhamini waliyo itegemea kutoka GSM ili peperuka.

Baadhi ya timu ilibidi zi mtafute GSM na kuomba kuingia mikataba kama ule walio ingia na Tff ili waendelee kupata udhamini kwakua ilikua ghafla kwa wao kupata mdhamini ili kufidia sehemu ya yeye GSM alipo jitoa.

Icho ndio chanzo cha baadhi ya vilabu kuwa na udhamini wa GSM na hakuna ukiukaji wala uvunjaji wa sheria au kanuni yoyote ya FIFA katika uendeshaji wa mpira wa miguu.

GSM hana timu yoyote anayo miliki kama ilivyo kwa Azam, yeye anabaki kuwa mdhamini kwa timu zilizo muomba udhamini na TFF hawakuona shida yoyote katika ilo.

Propaganda zinazo fanywa na Simba baada ya kuona Yanga inafanya vizuri na kutafuta kichaka kwa kudai timu zinazo dhaminiwa na GSM zinapanga Matokeo.
Ukweli Yanga Wana timu bora na ndio maana Simba iliyo kataa udhamini wa GSM imefungwa mara 4 na Yanga naupo uwezekano wa kufungwa mara 5 mpaka 6 kwa hali inavyo elekea msimu hu.

Katika ligi inayo endelea hakuna ata timu Moja ambayo haijafungwa na Yanga , iwe na udhamini wa GSM au haina udhamini wa GSM.
Kwa ufupi timu ambazo hazina udhamini wa GSM ni nyingi na zote zimefungwa na Yanga.
 
Mleta mada kuna mahali kaandika " Kurubuni wachezaji wa timu pinzani kwa kuwaahidi kuwasajili " Hilo ulizingatie.

Yawezekana hizo timu uto kazifunga kwa kutumia hiyo mbinu. Maana kama ingekuwa ni uwezo wake halali hata huko kimataifa angefanya vizuri.

Sasa inakuwaje mashindano ya ndani timu inafanya vizuri halafu ikifika kimataifa timu inatolewa raundi za mwanzo tu tena na timu dhaifu?

Hapa kuna kitu , utopolo wachunguzwe wananunua wachezaji wa timu pinzani.
 
Hao wachezaji wanajirahisisha wenyewe kwa njaa zao. Mnataka tufanyeje? Na nyie nunueni sasa iwe ngoma draw nani kawakataza? Hizo teams zinazodhaminiwa na GSM yanga ni Mama yao Mlezi unataka waumize au kuchosha wachezaji wetu? Tumia akili dogo.
 
Mleta mada kuna mahali kaandika " Kurubuni wachezaji wa timu pinzani kwa kuwaahidi kuwasajili " Hilo ulizingatie.

Yawezekana hizo timu uto kazifunga kwa kutumia hiyo mbinu. Maana kama ingekuwa ni uwezo wake halali hata huko kimataifa angefanya vizuri.

Sasa inakuwaje mashindano ya ndani timu inafanya vizuri halafu ikifika kimataifa timu inatolewa raundi za mwanzo tu tena na timu dhaifu?

Hapa kuna kitu , utopolo wachunguzwe wananunua wachezaji wa timu pinzani.
Kama ishu ku rubuni , timu yoyote inaweza ku mrubuni mchezaji.

Kuna vitu unatakiwa utumie akili kidogo sana, Hakuna timu ita msajili mchezaji ambaye anaweza kurubuniwa kwakua ata akisajiliwa anaweza kurubuniwa akiwa kwenye timu yake mpya.

Simba ina butuliwa Kila msimu na Yanga Ina maana miaka yote iyo Yanga inawarubuni wachezaji wa Simba!!
Simba ndio timu iliyo butuliwa mara nyingi na Yanga kabla Nchi haijapata uhuru mpaka Sasa Ina maana Miaka yote iyo wachezaji wake walikua waki rubuniwa!!

Kuhusu Kimataifa, kwa timu za Tanzania hakuna chochote cha kujivunia.
Yanga imecheza robo na fainali ya CAF confederation cup miaka miwili iliyopita.
Simba imefika fainali mwaka huu, imekua ikicheza robo kwa miaka zaidi ya mitano haisogei.

Mafanikio ki mataifa ni kutwaa kikombe cha Afrika.
Hakuna hatua yoyote iliyofikiwa na Simba kwa miaka ya karibuni ambayo Yanga hajafika.

Kujivunia kufika fainali , robo au nusu ni mambo ya kipuuzi na akili mgando.

Timu kubwa zote zinajivunia mataji , ivi timu kama Al Ahly, El Merikh, Al Hilal, Vita club, Tp Mazembe , Mamelodi n.k mashabiki wa izo timu Wana weza kujivunia kucheza hatua za robo,nusu au fainali!!
Zimecheza mara nyingi, Kikubwa cha kujivunia ni Taji na si uo upuuzi wa Simba kujivunia robo fainali, ni U zuzu katika soka.
 
Ndugu mbumbumbu Tff na GSM waliingia mkataba wenye thamani ya bil 2 kama ilivyo NBC ili kuzipunguzia gharama za uendeshaji vilabu vinavyo shiriki NBC premier league.

Mkataba ulihusisha Jezi na vifaa vya michezo, GSM walianza utekelezaji kwa kugawa jezi na vifaa vya michezo kwa timu zote za ligi kuu akiwa kama mdhamini mwenza wa NBC.

Simba kupitia Barbara na Azam waka gomea udhamini wa GSM wakidai wakati wa uingiaji wa mkataba hawakushirikishwa, ila ukweli ata mkataba wa NBC na Tff hauku washirikisha vilabu mkataba ulikua baina ya Tff na NBC vilabu vilielezwa tu.

Kikubwa ni Simba na Azam waliona GSM ni mshindani wa kibiashara wa mabosi wa timu zao kwenye baadhi ya bidhaa kwaiyo hawakutaka apate kiki kupitia timu zao.

Simba kwakua TFF wanaiweza waka anzisha mgomo wa kitocheza mechi iwapo uwanja utakua na Mabango ya GSM.

Tff ikabidi wawaombe msamaha GSM na kuwataka waelewane kuivunja mkataba walio ingia kabla Ligi haija anza.
Kumbuka GSM walisha anza kutekeleza mkataba kwa kugawa vifaa kwa timu zote 16 kupitia Tff na fedha za nauli.

Baada ya mgogoro uo kua mkubwa na kutishia Ligi kuanza na kelele kutoka kwa Simba ilibidi timu zielezwe mkataba wa GSM umevunjika na timu zijitafutie wadhamini wake.

Timu nyingi za Daraja la kati ukiacha Simba na Azam zilipatwa na taharuki maana sehemu ya udhamini waliyo itegemea kutoka GSM ili peperuka.

Baadhi ya timu ilibidi zi mtafute GSM na kuomba kuingia mikataba kama ule walio ingia na Tff ili waendelee kupata udhamini kwakua ilikua ghafla kwa wao kupata mdhamini ili kufidia sehemu ya yeye GSM alipo jitoa.

Icho ndio chanzo cha baadhi ya vilabu kuwa na udhamini wa GSM na hakuna ukiukaji wala uvunjaji wa sheria au kanuni yoyote ya FIFA katika uendeshaji wa mpira wa miguu.

GSM hana timu yoyote anayo miliki kama ilivyo kwa Azam, yeye anabaki kuwa mdhamini kwa timu zilizo muomba udhamini na TFF hawakuona shida yoyote katika ilo.

Propaganda zinazo fanywa na Simba baada ya kuona Yanga inafanya vizuri na kutafuta kichaka kwa kudai timu zinazo dhaminiwa na GSM zinapanga Matokeo.
Ukweli Yanga Wana timu bora na ndio maana Simba iliyo kataa udhamini wa GSM imefungwa mara 4 na Yanga naupo uwezekano wa kufungwa mara 5 mpaka 6 kwa hali inavyo elekea msimu hu.

Katika ligi inayo endelea hakuna ata timu Moja ambayo haijafungwa na Yanga , iwe na udhamini wa GSM au haina udhamini wa GSM.
Kwa ufupi timu ambazo hazina udhamini wa GSM ni nyingi na zote zimefungwa na Yanga.
Timu Bora uomba kupangiwa kikosi dhaifu unapocheza nazo? Ref yanga vs singida big Star dar? Acha utetezi,simba na yanga wote Wana mbinu chafu nje ya utaratibu! GSM katuaribia ligi misimu mitatu simba nao wakaona isiwe tabu wakaja na ubaya ubwela baada ya kufanya utafiti
 
Simba Kashenyetwa mara 4 Mfulululizo je! Alikua akipanga kikosi dhaifu?
Yanga imezifunga timu zote kwenye Ligi ikiwemo Simba je! timu zote zilikua zikipanga kikosi dhaifu?
 
Kama ishu ku rubuni , timu yoyote inaweza ku mrubuni mchezaji.

Kuna vitu unatakiwa utumie akili kidogo sana, Hakuna timu ita msajili mchezaji ambaye anaweza kurubuniwa kwakua ata akisajiliwa anaweza kurubuniwa akiwa kwenye timu yake mpya.

Simba ina butuliwa Kila msimu na Yanga Ina maana miaka yote iyo Yanga inawarubuni wachezaji wa Simba!!
Simba ndio timu iliyo butuliwa mara nyingi na Yanga kabla Nchi haijapata uhuru mpaka Sasa Ina maana Miaka yote iyo wachezaji wake walikua waki rubuniwa!!

Kuhusu Kimataifa, kwa timu za Tanzania hakuna chochote cha kujivunia.
Yanga imecheza robo na fainali ya CAF confederation cup miaka miwili iliyopita.
Simba imefika fainali mwaka huu, imekua ikicheza robo kwa miaka zaidi ya mitano haisogei.

Mafanikio ki mataifa ni kutwaa kikombe cha Afrika.
Hakuna hatua yoyote iliyofikiwa na Simba kwa miaka ya karibuni ambayo Yanga hajafika.

Kujivunia kufika fainali , robo au nusu ni mambo ya kipuuzi na akili mgando.

Timu kubwa zote zinajivunia mataji , ivi timu kama Al Ahly, El Merikh, Al Hilal, Vita club, Tp Mazembe , Mamelodi n.k mashabiki wa izo timu Wana weza kujivunia kucheza hatua za robo,nusu au fainali!!
Zimecheza mara nyingi, Kikubwa cha kujivunia ni Taji na si uo upuuzi wa Simba kujivunia robo fainali, ni U zuzu katika soka.
Arsenal ni timu ndogo au huijui kabisa?
 
Huko simba ni wajinga sana ... Hiki ni kielelezo tosha.
1748673760758.jpg
 
Arsenal ni timu ndogo au huijui kabisa?
Arsenal ni timu maarufu ukizungumzia mashindano ya Ulaya.
Arsenal inakua kubwa pale England ila nje ya England ni timu maarufu ila kwenye wakubwa haimo.
 
Back
Top Bottom