TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,829
- 11,204
Tunaongelea mwana siasa anaekubalika ndani na nje ya chadema. Na hizo ndi sifa za Urais, kwani ukisha kuwa Rais, wewe sio tena kwa ajili ya chadema au CCM tu, ushindi au ushindwa wako utawagusa wote. Chukulia mfano wa Urais kwa mwana siasa ni kama kuingia timu ya Taifa. Usitake kunambia kwa kuwa mimi Simba basi goli likifungwa na mchezaji wa Yanga nisishangilie.
Uwepo wa Rais mzuri anaekubalika na wote utategemea kura za wengi wasio wa chama cha mgombea pekee, kuna wengi hawana vyama na hutazama mtu wanaemuona anawafaa, sio chama.
pOOR SYSTEM AT WORK
Just a thought