Go back to the post, you would have noticed 2 posts of yours. Read them
Marked red; Very healthy, it is called intuitive knowledge.
Hapo juu umesema akiachwa kwenye urais ataondoka, na atamwaga siri. Ila jua moja katika maisha kuna failures na winning yote ni sehemu ya maisha, sasa akimwaga hizo siri yaweza kuwa ni failures kama kweli hizo siri zipo.
Hapa soimkatai Zitto kuwa candidate ila njia yenu mnayotumia inaniboa, kwanini mje kwa vitisho? kwanini asisimame kwa merits? Hajiamini? Hakubaliki? mpaka atumie haya mautumbo?
I have read. You fail to make your case.
And no, to be challenged by any elementary level of complexity is not "very healthy". The appropriate word would be "retarded".
Du! Zomba nimemkubali yani toka asubuhi amejibu kila comment! Sijui hata kama leo kala chakula, ugamba mzigo jamani...
Du! Zomba nimemkubali yani toka asubuhi amejibu kila comment! Sijui hata kama leo kala chakula, ugamba mzigo jamani...
Halafu ameanzisha huu ujinga hapa ili kumchafua tu Zitto.Lakini namshauri wakati akikuwadia Magamba hapa awaambie pia tayari mikoa ya kusini imeshatekwa na CDM
You, Ad Litem? for whom? mine was a simple warning, was it an Action yours would have been "Affirmative defense".
Do not try to convince us your Kiswahili is that poor not to know what "msimjaribu" and "mtaumia" means to call it a "case".
Mimi sina hakika kuhusu ulewa wakowa mambo yanayohusu mitambo. Gharama tulizoingia na life time ya hiyo mitambo sidhani kama tumekula tutakuwa tumeliwa! Time will tell.Mbona mpaka leo hii inatumika? na kila mtu yuko kimya, fedha ambayo inabidi walipwe na mitambo ilikuwa imezimwa ni nyingi kuliko tungeinunua.
Totally out of whack.
Bottom line here is that a cult of personality cannot trump an examination of principles and policies.
If you concede on this, you will rearrange your propaganda towards espousing Zitto as an agent of these principles and policies, a torch bearer if you wish.
Not the "deus ex machina" caricature prone to be the butt of pantomime ridicules. In an attempt to elevate Zitto you are actually unfairly caricaturing him as some observers alluded to above.
Mimi sina hakika kuhusu ulewa wakowa mambo yanayohusu mitambo. Gharama tulizoingia na life time ya hiyo mitambo sidhani kama tumekula tutakuwa tumeliwa! Time will tell.
Reminder:
You love game of circles!
Zitto announcing his intention to run for Presidency is a violation of "first principle"? oops "first principles"
Tumeliwa, tungekula pale Zitto alipotushauri tuinunuwe tukampinga.
Talking about contradiction and circular diction? what a pity! as if this is not yours:
Wonder!
Zomba mkuu wangu mbona unajikanyaga. Wewe na CCM yenu ndio mliweka umri wa mgombea kuwa miaka 40, leo unadai Zitto for President 2015 na kusema Chadema wakimkwaza watakiona. Mbona huzungumzii kanuni hiyo na kuwaambia CCM maneno hayo hayo hapo tunatkuona kweli kipenzi cha Zitto.
Kifupi mnatumia nguvu nyingi sana kuichafua Chadema lakini hamuyaoni yenu maana wapo wanaomtaka Lowassa na wengine wanamtaka Sitta, Membe na hata Rostam, sii bora ungetazama kwanza kwako. The grass are always greener on the other side - lakini tukikupa mzigo wetu, utarudi utaomba bora CCM ubakie na CCM yako maana Zitto atakata mizizi yote inayowapa mishen town.