Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

Kule zenji akina mama wa bawacha wamempa mbowe notice ya masaa 24 ama sivyo...
 
Kwa chadema asilia wote na wengine wapenda mabadiliko ya kweli !
Chadema asilia ina mpango wa kuushinikiza uongozi wa juu wote ujiuzuru na ufanyike uchaguzi mpya. Mbowe na group lake limetuingiza choo cha kike na hii hatuikubali. Shime tuunganishe nguvu tung'oe madhalimu haya, yenye kuendesha ukoloni mkongwe.
Be there

Salaamu! naomba tuwe wakweli UKAWA tangu uanze mfumo wa vyama vingi safari wamepata mafanikio makubwa kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru wapinzani wanamiliki HALMASHAURI 20 ktk hizo Halimashauri majiji yote makubwa yapo ndani yake hivyo wanastahili pongezi ukizingatia uchaguzi haukuwa huru kwa asilimia mia figisufigisu zilikuwa nyingi sana nadhani hata wewe ni shahidi.
 
Juhudi za Chadema asili kama kina mawazo na sio makapi ya ccm
 
Nashangaa hakuna mwaka upinzani ulipata mafanikio makubwa kama mwaka huu. Sasa uongoz ujiuxulu kwa sababu gani. Kwa maslahi ya lumumba? Ccm wanahasira naye sana!
 
Inaelekea Chadema inawanyima usingizi sana. Poleni kura mmeiba watu wamekaa kimya bado mnazidi kutunga uongo kweli Elimu Elimu Elimu
 
Unajidanganya wewe huna hela, mwenzako mbowe ni bilionea yaani kwaukwaa ubilionea toka kwa mamvi. Hela ndiyo inayoamua chadema kwa sasa. Pole sana. Njoo CCM chama cha masikini.

Mkuu salaamu! Kabla ya kuanza kumkashi mtu fanya utafiti kwanza, Mbowe kazaliwa kwenye ukoo wa pesa baba yake walikuwa bega kwa bega na narehemu baba wa Taifa katika mipango ya kudai uhuru baba aliwaunnga mkono kwa kutoa sehemu ya pato kutoka kwenye familia yake ila mambo ya TANU yaende ndiyo maana CCM miaka yote wameshindwa kumnunua Mbowe hana njaa, kama ana mapungufu ni jambo la kawaida kwa binadamu kutokosa mapungufu hata wewe una mapungufu yako! Karibu sana na asante kwa maoni yako.
 
Kwa chadema asilia wote na wengine wapenda mabadiliko ya kweli !
Chadema asilia ina mpango wa kuushinikiza uongozi wa juu wote ujiuzuru na ufanyike uchaguzi mpya. Mbowe na group lake limetuingiza choo cha kike na hii hatuikubali. Shime tuunganishe nguvu tung'oe madhalimu haya, yenye kuendesha ukoloni mkongwe.
Be there
Kwahiyo mngeingizwa choo cha kiume mngekubali?
 
Salaamu! naomba tuwe wakweli UKAWA tangu uanze mfumo wa vyama vingi safari wamepata mafanikio makubwa kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru wapinzani wanamiliki HALMASHAURI 20 ktk hizo Halimashauri majiji yote makubwa yapo ndani yake hivyo wanastahili pongezi ukizingatia uchaguzi haukuwa huru kwa asilimia mia figisufigisu zilikuwa nyingi sana nadhani hata wewe ni shahidi.

Pamoja na hayo mkuu,lakini uchaguzi wa rais umewakost ukawa sababu wafuasi wa slaa na lipumba walimpigia magufuli,na kama hili lingeangaliwa mapema lisingewashangaza watu,kwn badala ya kuelimishwa watu walikuwa wakizimishwa chini kwa chini
 
Huyu mleta uzi kama sio chizi basi uwendawazimu unamfuatilia
 
Kwa chadema asilia wote na wengine wapenda mabadiliko ya kweli !
Chadema asilia ina mpango wa kuushinikiza uongozi wa juu wote ujiuzuru na ufanyike uchaguzi mpya. Mbowe na group lake limetuingiza choo cha kike na hii hatuikubali. Shime tuunganishe nguvu tung'oe madhalimu haya, yenye kuendesha ukoloni mkongwe.
Be there

leo mbowe hana maana baada ya kuitoa kwenye 16% chadema asilia ya urais mpaka 40% ya cdm model wenye akili tushaona na mtu kama wewe huna haki ya kuwa katika hii dunia
 
Pamoja na hayo mkuu,lakini uchaguzi wa rais umewakost ukawa sababu wafuasi wa slaa na lipumba walimpigia magufuli,na kama hili lingeangaliwa mapema lisingewashangaza watu,kwn badala ya kuelimishwa watu walikuwa wakizimishwa chini kwa chini

Siyo kweli Mkuu Lipumba hana wafuasi wengi labda Slaa lakini hata ukiwachanganya wote wawili kura zao haziwezi kufikia nusu ya kura za LOWASSA huo ndiyo ukweli UKAWA kwa upande wa uraisi wameshinda hilo halina ubishi ila kwa vile yenye mamlaka ya kutangaza mshindi ni Tume hakuna namna ya kufanya nadhani wewe ni shahidi kwa yanayotokea ZNZ kule nako UKAWA wameshinda kabla ya mechi kuisha refa kaweka mpira kwapani akahaisha mechi bila sababu za msingi na zisizo na mashiko ya kisheria, karibu sana na usiku mwema.
 
Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu chadema mpaka mkoloni mweusi ccm akimbie tanzania
 
Kwa chadema asilia wote na wengine wapenda mabadiliko ya kweli !
Chadema asilia ina mpango wa kuushinikiza uongozi wa juu wote ujiuzuru na ufanyike uchaguzi mpya. Mbowe na group lake limetuingiza choo cha kike na hii hatuikubali. Shime tuunganishe nguvu tung'oe madhalimu haya, yenye kuendesha ukoloni mkongwe.
Be there

Najuwa si mapenzi yako,ni ugumu wa maisha unaokusumbua kiasi cha kukufanya ujitowe ufahamu ili uambulie buku jero ya Lumumba.Utaendelea kujidharirisha hadi lini?Wenyewe unaowatumikia wanaujuwa muziki wa Mbowe,walishanyoosha mikono kwa KAMANDA Mbowe.Amka utakufa njaa mjini,Matokeo ya uchaguzi huu yameleta taharuki Lumumba,wanashikana uchawi kwa nini hawakumpa Komeo 80% ili watunishe fuko la ruzuku.
 
Back
Top Bottom