NapigaNgumi
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 529
- 209
kifo cha mawazo hakiwahusu?
Unajidanganya wewe huna hela, mwenzako mbowe ni bilionea yaani kwaukwaa ubilionea toka kwa mamvi. Hela ndiyo inayoamua chadema kwa sasa. Pole sana. Njoo CCM chama cha masikini.Kwa chadema asilia wote na wengine wapenda mabadiliko ya kweli !
Chadema asilia ina mpango wa kuushinikiza uongozi wa juu wote ujiuzuru na ufanyike uchaguzi mpya. Mbowe na group lake limetuingiza choo cha kike na hii hatuikubali. Shime tuunganishe nguvu tung'oe madhalimu haya, yenye kuendesha ukoloni mkongwe.
Be there
Unajidanganya wewe huna hela, mwenzako mbowe ni bilionea yaani kwaukwaa ubilionea toka kwa mamvi. Hela ndiyo inayoamua chadema kwa sasa. Pole sana. Njoo CCM chama cha masikini.
...hawa ni baadhi tu ya masikini wa ccm;
chenge,ngeleja,tibaijuka...
Acha ngonjera za shuleyamsingi ukiwa chuo kikuu, amka kijanaHivi CCM mngekua mmeshinda kihalali mngeaka hivi?
Panga litawapitia soon. Yaani mafisadi wote kuhamia chadema....hawa ni baadhi tu ya masikini wa ccm;
chenge,ngeleja,tibaijuka...
Kawaombe Magamba wenzako! Tumekupuuza kalale Lumumba huko.Kwa chadema asilia wote na wengine wapenda mabadiliko ya kweli !
Chadema asilia ina mpango wa kuushinikiza uongozi wa juu wote ujiuzuru na ufanyike uchaguzi mpya. Mbowe na group lake limetuingiza choo cha kike na hii hatuikubali. Shime tuunganishe nguvu tung'oe madhalimu haya, yenye kuendesha ukoloni mkongwe.
Be there
Unajidanganya wewe huna hela, mwenzako mbowe ni bilionea yaani kwaukwaa ubilionea toka kwa mamvi. Hela ndiyo inayoamua chadema kwa sasa. Pole sana. Njoo CCM chama cha masikini.
Kwa chadema asilia wote na wengine wapenda mabadiliko ya kweli !