Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,387
- 10,965
Chifu, ni ukweli mchungu kwetu kwamba kama tunategemea nchi za Kaskazini/Magharibi zitusaidie katika kukabiliana na wakoloni weusi, imekula kwetu. Nakubaliana nawe kwamba, hii ngoma ni yetu yenyewe, wala tusitarajie kusaidiwa na 'wazungu'.Lini walishawahi kufanya hivyo?? Hata burundi bado wanapeleka pesa