Ndugu yangu. Kwa sasa Tanzania HATUNA UBAVU wa kuwaambia WATIMKE, kama tulivyofanya mwaka 1965. HATUNA!Wazungu wazungu wazungu!
Si wapendi, si wafagiliii!!!
Kama vp watimke tu!!!
mkuu kuna jipu gani katika hizo sehemu mbili?
Hahaha!!! Maendeleo! Yapi hayo?Hakuna haja kuendeleza majadiliako kwa watu waliosusa majadiliano kwani pesa zitaendelea kutumika tu,uchaguzi umeisha la msingi tupige hatua mbele za kimaendeleo. Matamko ya kichochezi kila siku tumeyachoka wakayatoe kwa Trump
Mbona wamesema mkuu,wanataka wakae meza moja ya mazungumzo wafanye maridhiano.Tangazo halina mashiko... liko vague na halisemi kinagaubaga wanataka next steps zipi
Chifu, yaani unafananisha Zanzibar na Scotland?! Muungano wa UK na Muungano wa Tanzania?Hata Waingereza wanafahamu, sio yote yanayoendelea ndani ya Scotland unaweza kumlaumu Waziri Mkuu wa Uingereza kwa sababu Scotland ndani ya UK kwa kiwango kikubwa ni sawa na Zanzibar ndani ya Tanzania.
Ndugu, HUWEZI kukaa katika meza ya mazungumzo na Mtu ULIYEMJERUHI. Ni sawasawa na Kibaka aje akuibie nyumbani kwako. Kesho yake aje akiri kuwa: "Nilikuibia a, b, c,,d,nk". "Naomba tuzungumze namna NITAKAVYOKURUDISHIA baadhi ya vitu vyako. Tupange pia TUTAKAVYOGAWANA mali yako iliyobaki." Kutakuwa na MWAFAKA hapo?Mbona wamesema mkuu,wanataka wakae meza moja ya mazungumzo wafanye maridhiano.
Too lateA very genuine and bold Position.
ok,asanteMakoloni
asante kwa hizi nondo,mkuuChifu, yaani unafananisha Zanzibar na Scotland?! Muungano wa UK na Muungano wa Tanzania?
Hata kama ni unazi, hii imepitiliza kiwango cha kuelekea insanity.
Katika muungano wa UK, nchi wanachama zinajulikana na zina 100% sovereignity. Zina siti na nafasi za uwakilishi Umoja wa Mataifa na zina mabalozi katika nchi za nje n.k. Sasa utalinganishaje muungano huo na muungano wa Tanzania? Zanzibar nje ya mipaka ya Tazania, inachukuliwa kama Tanzania. Hivi kuna mabalozi wa Zanzibar nchi za nje? Na katika muungano wa Tanzania, nani wa wanachama wanaounda muungano? Je, wanachama hao wana 100% sovereignity? Wana nafasi katika Umoja wa Mataifa? Wana mabalozi? N.k.
Ukumbuke kila mtanzania anadaiwa laki 9 na hao wazungu....Wazungu wazungu wazungu!
Si wapendi, si wafagiliii!!!
Kama vp watimke tu!!!
Uwezo wako wa kujibu hoja ndio umeishia hapo, pengine ndio maana mnawaunga mkono wazungu hata wanapoongea upuuzi na kudhani wapo sahihi kuliko katiba ya nchi yenu. Utumwa haujawaisha vichwani mwenu.Wewe ni Jecha mwenyewe au ni mke wake?