The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,681
- 18,345
Hii ingetokea wakati wa JK ingekuwa poa sana. Maana JK asingeweza kukubali kuweka safari zake at stake kwa ajili ya Shein!!
Wazungu wazungu wazungu!
Si wapendi, si wafagiliii!!!
Kama vp watimke tu!!!
nitasubiri tamko lao baada ya uchaguzi wa marekani eti wahisani wakati fedha zinazoibwa afrika ndizo zinaendesha uchumi wao mbona hawajawahi kutoa tamko kuwa malizote na pesa zilizoko kwenye mabenki yao zirudishwe ili zisaidie uchumi wa nchi zetu
Wewe unaijua hiyo katiba? Naona unaendekeza ujinga kwa kuwa lengo lenu limefanikiwa. Labda nikuulize kwa katiba ya Zanzibar inavyotamka ukomo wa Shein kama Rais uliisha lini? Na je ili uchaguzi urudiwe ni mambo yepi yakitokea yanalazimisha uchaguzi kurudiwa?Statement on Election Re-Run in Zanzibar
March 21, 2016
The High Commissioners and Ambassadors to Tanzania of Belgium, Canada, Denmark, the European Union, Finland, France, Germany, Ireland, Italy, the Netherlands, Norway, Spain, Sweden, Switzerland, the United Kingdom and the United States, today issued the following statement regarding the election re-run which took place in Zanzibar on March 20th, 2016:
“We regret the Zanzibar Electoral Commission’s decision to hold a re-run of the 25 October 2015 election, without a mutually acceptable and negotiated solution to the current political impasse.
“In order to be credible, electoral processes must be inclusive and truly representative of the will of the people.
“We reiterate our call on the Government of Tanzania to exercise leadership in Zanzibar, and to pursue a negotiated solution between parties, with a view to maintaining peace and unity in the United Republic of Tanzania.
“We commend once again the population of Zanzibar for having exercised calm and restraint throughout this process, and call on all parties and their supporters to re-start the national reconciliation process to find an inclusive, sustainable and peaceful resolution.”
Source Press Releases 2016 | Dar Es Salaam, Tanzania - Embassy of the United States
My take: Hawa mabalozi wanaijua katiba ya Zanzibar and ya Muungano kweli?
Hehehe leo umetisha mkuu,kikwete asingemuelewa sheinHii ingetokea wakati wa JK ingekuwa poa sana. Maana JK asingeweza kukubali kuweka safari zake at stake kwa ajili ya Shein!!
Wazungu wazungu wazungu!
Si wapendi, si wafagiliii!!!
Kama vp watimke tu!!!
siwaamini sana haoKaa utulie usome taratibu utaelewa..next step ni kwamba wanataka pande mbili kinzani zikae kwenye meza ya mazungumzo..
Mazungumzo baada ya uchaguzi?? wangekua serious uchaguzi usingefanyikaHujaelewa ni'i? Mbona wameeleza wazi kuwa wanataka mazungumzo yafanyike. Kwa maana nyingine huo uchaguzi wa Jecha siyo uchaguzi. Mazungumzo yafanyike kati ya CUF na CCM namna ya kuiongoza Zanzibar, na serikali ya JMT itimize wajibu wake katika kuyasimamia. Naona wapo sahihi sana kwa maana Zanzibar kimataifa haifahamiki, wao wanaongea na Tanzania.
Tunarudi kulekule.... merry go round and roundMbona wamesema mkuu,wanataka wakae meza moja ya mazungumzo wafanye maridhiano.
Lini walishawahi kufanya hivyo?? Hata burundi bado wanapeleka pesaHata kama huna macho ya kuona unashindwa kutumia nukta nundu?hapo ni vikwazo vya kiuchumi tu
Wakiamua kukata optical fibre yao tu Tanzania sijui hiyo JF uta access vipi na bank zitafanya kazi vipi bila ya kusahau TRA makusanyo yao. Hatuna jeuri hiyoo. Tanzania kama ingelikuwa binadamu basi angelikuwa infant hata nursery bado!
A very genuine and bold Position.
Ndo hao hao mabalozi waliohidi kumsaidia lowassa sio?Firigisi...hao mabalozi kabla ya matamko yao wanakuwa wamefanya analysis ya kutosha! Wana kila doc wanayoitaka kuweza kuichambua kabla kusema lolote! Katiba zote wanazo hata rasimu ya warioba wanayo!
Na sijaiona optical ya Tanzania pia. Ushawahi kuiona TT report? Sijaiona TT inayofika Samora ikatiwa OK. Ni lazima ivuke Pacific/Atlantic! Usitudanganye ukatwambia kuna operating system ilotengenezwa Tanzania, hakuna asiyejuwa kuwa hatuna utaalamu huo, ni domo kubwa tu hatuna jengine zaidi ya hilo.Wewe hujui kitu Banks zinafanya kazi kwa optical ya wazungu. Ha ha ha ha
Ndani ya Katiba ipi?
Wao wanakupenda?Wazungu wazungu wazungu!
Si wapendi, si wafagiliii!!!
Kama vp watimke tu!!!
Na sijaiona optical ya Tanzania pia. Ushawahi kuiona TT report? Sijaiona TT inayofika Samora ikatiwa OK. Ni lazima ivuke Pacific/Atlantic! Usitudanganye ukatwambia kuna operating system ilotengenezwa Tanzania, hakuna asiyejuwa kuwa hatuna utaalamu huo, ni domo kubwa tu hatuna jengine zaidi ya hilo.
Is that the best you can come up with? Never under estimate someone you don't know!Ha ha ha wonders never cease.