Msimamo wa wahisani juu ya Zanzibar leo

Msimamo wa wahisani juu ya Zanzibar leo

Maccm walio wengi ni walala hoi kila kitu wanahitaji kukipata serikalini kama vile matibabu na huduma nyingine hivyo wazungu wakiweka vikwazo ndio mmekwisha
Bila wafadhili mtaaza kupukutika kama nzi kwa kukosa huduma muhimu kama vile madawa na wataalamu
Huko kuongea kizungu inaonyesha kuwa bado wewe ni mtumwa wa wazungu tu,huna ujanja mbele ya wazungu wewe
Hakuna sapoti hapo kutoka jumuia ya kimataifa kama alivokua akiamini Maalim! Hiyo statement haina mashiko kwa wakati huu wala haimsaidii kutangazwa! Ni reconciliation process tu kama ilivokua mwanzo! Kwa kifupi hakuna maslahi yao hapa au chochote chenye interest nao! Hayo mafuta ni porojo tu! Ukiona wazungu wanampa sapoti mtu jua kuna maslahi yao au wanataka kuharibu tu
Nishawaonya chadema na ukawa na haya mambo ya kulilialilia wazungu, mara wahisani mara hili na lile. Mtakuja kuuza nchi na kudhalilisha utu wetu.

Mie nawauliza wapiga kelele wote waseme hapa. Hata Ben akikusanya 'tafiti' zake zooote...
Ni nchi gani ishapata maendeleo ya kweli kutoka kwenye hizo nchi unazozitaja?
 
Wazungu wazungu wazungu!
Si wapendi, si wafagiliii!!!
Kama vp watimke tu!!!

Acha kujitia wazimu, hapo ulipo hadi kunya unakunya kwa hisani ya hao wazungu😡

Choo kiwe cha kukaa au cha kuchuchumaa ujue kinatoka huko Italy au England🙄

Unawachukia kisa wanakemea kubakwa kwa demokrasia kuliko fanywa na CCM😱😱 jfunze kuwapenda tu popoma
 
Nishawaonya chadema na ukawa na haya mambo ya kulilialilia wazungu, mara wahisani mara hili na lile. Mtakuja kuuza nchi na kudhalilisha utu wetu.

Mie nawauliza wapiga kelele wote waseme hapa. Hata Ben akikusanya 'tafiti' zake zooote...
Ni nchi gani ishapata maendeleo ya kweli kutoka kwenye hizo nchi unazozitaja?
Kama unalijuwa hilo nikwanini husiwakataze viongozi wako wakome kutembeza bakuli huko kwa wafadhili?wacha kujitoa akili kwa mapenzi ya kijinga
 
Acha kujitia wazimu, hapo ulipo hadi kunya unakunya kwa hisani ya hao wazungu😡

Choo kiwe cha kukaa au cha kuchuchumaa ujue kinatoka huko Italy au England🙄

Unawachukia kisa wanakemea kubakwa kwa demokrasia kuliko fanywa na CCM😱😱 jfunze kuwapenda tu popoma
Mkuu salute sana kwa kumpa elimu huyo popoma anayejiondoa akili kisa tu kutetea ubakwaji wa demokrasia uliofanywa na ccm
 
Hakuna sapoti hapo kutoka jumuia ya kimataifa kama alivokua akiamini Maalim! Hiyo statement haina mashiko kwa wakati huu wala haimsaidii kutangazwa! Ni reconciliation process tu kama ilivokua mwanzo! Kwa kifupi hakuna maslahi yao hapa au chochote chenye interest nao! Hayo mafuta ni porojo tu! Ukiona wazungu wanampa sapoti mtu jua kuna maslahi yao au wanataka kuharibu tu
Kumbe unakiri wazi wazi kuwa kikwete alipokuwa anatembeza bakuli na kusaidiwa misaada kibao alikuwa anauza nchi yetu?
 
Usifikirie misaada.Ndio maana Mzee Ngosha kasema hapa ni kazi tu.
Asie fanya kazi Na asile. Hivi tusaidiweeeee mpaka lini?
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh, wewe akili naona umezisahau kitandani tanzania ijitegemee kitu gani?umesahau madabida alipewa kazi ya kutengeneza dawa za Arv kuwasaidia ndugu zetu wenye maambukizi ya virusi vya ukimwi akatengeneza Arv fake?na leo bado mnamkumbatia ndani ya ccm
 
Endelea kujifariji na ushindi wa kishindo chini mitutu ya vifaru na tume ya uchaguzi iliyokuwa inasikika sauti tu
wewe haupo Zanzibar tuulize sisi tuano ishi Zanzibar kuhusu jecha kuwa alikuwa anaonekana tena live pale bwawani
 
Kama unalijuwa hilo nikwanini husiwakataze viongozi wako wakome kutembeza bakuli huko kwa wafadhili?wacha kujitoa akili kwa mapenzi ya kijinga
Kumbe unakiri wazi wazi kuwa kikwete alipokuwa anatembeza bakuli na kusaidiwa misaada kibao alikuwa anauza nchi yetu?
Sio kujitoa akili ni ukweli uliowazi. Ukawa kila wakijikwaa au wakifinywa haooo mbio kwa wazungu.
Na wanaona fahari.
Ni jambo la kipuuzi na la hatari.
Ok, seriously, ni nchi gani iliyoletewa maendeleo na hao wazungu waliotajwa kwenye huu uzi?
Hakuna. Waache mbwembwe.
Hata hivo sishangai, historia inatufunza kuwa kuna watumwa walipinga sana kufutwa kwa utumwa.
Kuna wenzetu pia walipinga sana kufutwa kwa ukoloni. Walitamani saba kutawaliwa.
Historia za Zanzibar, Zimbabwe na Afrika Kusini zimesheheni watu walikumbatia ukoloni na utumwa badala ya kupigania uhuru.
Shida tupu.
 
Hauna unachokiandika zaidi ya uharo mtupu
 
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh, wewe akili naona umezisahau kitandani tanzania ijitegemee kiu gani?umesahau madabida alipewa kazi ya kutengeneza dawa za Arv kuwasaidia ndugu zetu wenye maambukizi ya virusi va ukimwi akatengeneza Arv fake?na leo bado mnamkumbatia ndani ya ccm

Kuitetea serikali ya CCM na watendaji wake kunahitaji kichwa kiwe na arosto ya bangikinyesi, Tanzania ingekuwa ni kujitegemea tungejitegemea toka enzi, ila tupo hapa kwaajiri ya upuuzi na uongozi dhaifu, mbovu na wakinyonyaji wa CCM.

Nchi ambayo viongozi wanamanage kukaa katika baraza la mawazi kwa zaidi ya miaka 15, wanabadilishwa tu kutoka wizara hii kwenda ile usitegemee mabadiriko chanya, watu hawa watafanya kazi kwa mazoea na viburi vitawajaa. Ebu angali Hussen Mwinyi, toka baraza la Mkapa, likaja baraza la Kikwete yumo na sasa baraza la Magufuli yumo, huyu katika serikali ni mwinyi zaidi hata jina lake.

Kuitetea CCM kunahitaji moyo.
 
Mkuu yaani nawashangaa sana hawa magamba kwa jinsi walivyo kosa aibu, eti leo wanawakandia wafadhili kisa wameikosoa ccm kwa kubaka na kunyonga demokrasia nchini mwetu,ni aibu sana
 
Mtu akiishiwa point, hasa zile za kukaririshwa anaishia kutoa kauli mbovu za aina hii.
Huna unaloju, Narudia tena huna unalojua na kuendelea kubishana na wewe ni kupoteza muda
 
Tamko La Pamoja Kuhusu Uchaguzi Wa Marudio Visiwani Zanzibar

Mabalozi na wawakilishi wa nchi za Ubelgiji, Canada, Denmark, Umoja wa Ulaya, Finland, Ufaransa, Ujerumani, Ireland, Italia, Uholanzi, Norway, Hispania, Sweden, Switzerland, Uingereza na Marekani wametoa tamko kuhusu uchaguzi wa marudio uliofanyika Zanzibar tarehe 20 Machi 2016:

“Tumesikitishwa na uamuzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wa kuendesha marudio ya uchaguzi uliofanyika tarehe 25 Oktoba 2015, bila kuwepo makubaliano ya pamoja baina ya pande kinzani na ufumbuzi wa mgogoro wa kisiasa visiwani humo uliotokana na majadilino baina ya pande husika.

“Ili uwe wa kuaminika na kukubalika ni lazima mchakato wa uchaguzi uwe jumuishi na unaowakilisha kwa dhati matakwa ya watu.

“Tunarejea wito wetu kwa Serikali ya Tanzania kuonyesha na kuchukua uongozi katika suala la Zanzibar na kujielekeza katika kupatikana kwa ufumbuzi wa mgogoro huu kwa kupitia mazungumzo baina ya pande husika kwa lengo la kudumisha amani na umoja katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

“Kwa mara nyingine tunawapongeza wananchi wa Zanzibar kwa utulivu na ustahimilivu waliouonyesha katika kipindi chote cha mchakato huu na kuvitaka vyama vyote na wafuasi wao kuanzisha tena mchakato wa maridhiano ya kitaifa ili kupata ufumbuzi jumuishi, endelevu na wa amani.”

JOINT STATEMENT ON ELECTION RE-RUN IN ZANZIBAR

The High Commissioners and Ambassadors to Tanzania of Belgium, Canada, Denmark, the European Union, Finland, France, Germany, Ireland, Italy, the Netherlands, Norway, Spain, Sweden, Switzerland, the United Kingdom and the United States, issued the following statement regarding the election re-run which took place in Zanzibar on March 20th, 2016:

“We regret the Zanzibar Electoral Commission’s decision to hold a re-run of the 25 October 2015 election, without a mutually acceptable and negotiated solution to the current political impasse.

“In order to be credible, electoral processes must be inclusive and truly representative of the will of the people.

“We reiterate our call on the Government of Tanzania to exercise leadership in Zanzibar, and to pursue a negotiated solution between parties, with a view to maintaining peace and unity in the United Republic of Tanzania.

“We commend once again the population of Zanzibar for having exercised calm and restraint throughout this process, and call on all parties and their supporters to re-start the national reconciliation process to find an inclusive, sustainable and peaceful resolution.”
 
uchaguzi ndo ushefanyika voo!!
 
wasituletee balaa kama walilolileta huko libya na Syria,hatuna mfano wa kufuata kutoka kwao katika mambo ya kidemokrasia
 
Mkiitaji mikopo mnawakimbilia, wenzenu hanana rafiki wa kudumu wala haduwi wa kudumu ni makavu live. Wadhamini wa uchaguzi ni wao kwa nini wasiseme? nchi jirani kama Burundi wakiboronga mnakua wa kwanza kukosoa. Yamewakutata. je kuna tofauti gani kati ya Zimbabwe na Zenji?
 
Back
Top Bottom