Msimamo wa wahisani juu ya Zanzibar leo

Msimamo wa wahisani juu ya Zanzibar leo

Mkiitaji mikopo mnawakimbilia, wenzenu hanana rafiki wa kudumu wala haduwi wa kudumu ni makavu live. Wadhamini wa uchaguzi ni wao kwa nini wasiseme? nchi jirani kama Burundi wakiboronga mnakua wa kwanza kukosoa. Yamewakutata. je kuna tofauti gani kati ya Zimbabwe na Zenji?
Mbona Burundi hawajamtoa Nkurunzinza? Potelea mbali
 
6fbff4f023fde12f710195763b1e2f97.jpg
 
Acha kujitia wazimu, hapo ulipo hadi kunya unakunya kwa hisani ya hao wazungu😡

Choo kiwe cha kukaa au cha kuchuchumaa ujue kinatoka huko Italy au England🙄

Unawachukia kisa wanakemea kubakwa kwa demokrasia kuliko fanywa na CCM😱😱 jfunze kuwapenda tu popoma
Popoma ni baba yako!!
 
Huko kuongea kizungu inaonyesha kuwa bado wewe ni mtumwa wa wazungu tu,huna ujanja mbele ya wazungu wewe
NI sawa kabisa... lakini hiyo haininyimi fursa japo ndogo ya kutoa mawazo yangu

Vipi unataka translation??? tumia google translator kama huelewi
 
Daaa wewe jamaa unatia aibu sana na hujui dunia inaznguka vipi kama hujui hata burundi wanaishi vipi kiuchumi,mjiandae kuwekewa vikwazo
kama wewe unajua ya burundi tupe habari basi

Kuhusu vikwazo, hakuna kitu kabisa... Sipendi yanayotokea zenji lakini usitegemee kabisa hawa wanyonyaji ndio waje kukuokoa
 
ccm bhna wanajifanya wajanja,.........eti wanasema meya uendelee ila znzbar wamebaka demokrasia..........
 
Alichofanya Maalimu kina tofauti gani na alichofanya Makamba? Kwa nchi zilizoendelea hawasubiri Jecha atangaze, fuatilia uchaguzi wa mchujo USA utaona hilo.
Tofautisha General election na party elaction
 
Bila wafadhili mtaaza kupukutika kama nzi kwa kukosa huduma muhimu kama vile madawa na wataalamu
I dont think so... They still need our land, oil, gas, minerals, food and ignorance to survive.... wakitususia akili zitafanya kazi, na watashindwa kutucontrol
 
Kuhusu misaada, ikibidi sisi bara tusihusike na kunyimwa misaada kwa sababu sisi hatukupiga kura Zanzibar. Walipiga wenyewe, wabebe mzigo wao wenyewe. Jamani sioni sababu ya kuumia kimzahamzaha kwa mambo ambayo hatukushirikishwa. Tulifikiri ni ya Zanzibar kumbe ni ya Tanzanai, how?. Hata hivyo tutangulize amani na busara.
 
Back
Top Bottom