Msimamo wa wahisani juu ya Zanzibar leo

Msimamo wa wahisani juu ya Zanzibar leo

Wewe ndiye usiyezijua katiba za jamhuri na zbr. Pole sana!!
Wewe u nadhani ile serikali ya umoja wa kitaifa zbr iliundwa kwa katiba gani??
Hawa wanataka waone mutual understandings siyo vitishovya magwanda na bunduki mitaani.
 
Hujaelewa ni'i? Mbona wameeleza wazi kuwa wanataka mazungumzo yafanyike. Kwa maana nyingine huo uchaguzi wa Jecha siyo uchaguzi. Mazungumzo yafanyike kati ya CUF na CCM namna ya kuiongoza Zanzibar, na serikali ya JMT itimize wajibu wake katika kuyasimamia. Naona wapo sahihi sana kwa maana Zanzibar kimataifa haifahamiki, wao wanaongea na Tanzania.

Tangazo halina mashiko... liko vague na halisemi kinagaubaga wanataka next steps zipi
 
wao walitaka makubaliano gani wakati uchaguzi wa marudio umefanyika? aliyesusa kasusa sisi tunasonga mbele
 
Hapo Shein alipo hata nafsi inamsuta utagombeaga uchaguzi pekee yako halafu unajipongeza kwa ushindi wa kishindo hii kujitoa ufahamu sasa imezidi hili tamko litakuwa limeharibu hali ya hewa kabisa kwa wenzetu.
 
Wahenga husema "yakhe ukisusa siye twala". Hawa jamaa wamalize kwanza migogoro waliyoichochea katika mataifa ya kiarabu
 
Hujaelewa ni'i? Mbona wameeleza wazi kuwa wanataka mazungumzo yafanyike. Kwa maana nyingine huo uchaguzi wa Jecha siyo uchaguzi. Mazungumzo yafanyike kati ya CUF na CCM namna ya kuiongoza Zanzibar, na serikali ya JMT itimize wajibu wake katika kuyasimamia. Naona wapo sahihi sana kwa maana Zanzibar kimataifa haifahamiki, wao wanaongea na Tanzania.
Wasepe zako. Mbona yao yanawashinda afu wanajifanya kufuatilia yetu. Mi Hao wanzungu nishawapuuza
 
Aliepeleka vifaru na silaha nzito nzito kuwatisha watu ilikuwa Zanzibar??
Wakiwekea vikwazo JMT Zanzibar inaendelea kupeta maana na yenyewe ni nchi. Vinginevyo vikwazo viwe kwa nchi zote mbili. Tanzania - Zanzibar
 
Mbona marekani sisi hatuendi kuwa watazamaji wa uchaguzi wao? Mbona hata aibu hawaoni!? Nini lakini ,sisi mbona hatujasema chochote kuhusu wanavyomlushia mabango mgombea wao wa urais Donald Trump kiboko yao. Go Zanzibar Go shein Go Magufuli Go beloved Tanzania
Wewe ukatazame uchaguzi wa USA...??? Tanzania hii??? Kwanza nauli yenyewe ya kwenda huko utawaomba wao... Hahahaha
 
Kiukweli hawa wazungu ni wanafiki sana sema hata viongoz wetu wa Africa wamezid Kwa uroho wa madaraka ndo maana Trump alisema watawaliwe tena ili wajifunze utawala Bora.
 
Hii nchi lazma tusonge mbele, hawawezi kuturudisha kwenye ukoloni, kama hawakuona katiba ilivyovunjwa hapo awali na maalim seif watakua wamejiunga na malofa wa ukawa
Wakiamua kukata optical fibre yao tu Tanzania sijui hiyo JF uta access vipi na bank zitafanya kazi vipi bila ya kusahau TRA makusanyo yao. Hatuna jeuri hiyoo. Tanzania kama ingelikuwa binadamu basi angelikuwa infant hata nursery bado!
 
Tangazo halina mashiko... liko vague na halisemi kinagaubaga wanataka next steps zipi
Kaa utulie usome taratibu utaelewa..next step ni kwamba wanataka pande mbili kinzani zikae kwenye meza ya mazungumzo..
 
nitasubiri tamko lao baada ya uchaguzi wa marekani eti wahisani wakati fedha zinazoibwa afrika ndizo zinaendesha uchumi wao mbona hawajawahi kutoa tamko kuwa malizote na pesa zilizoko kwenye mabenki yao zirudishwe ili zisaidie uchumi wa nchi zetu
 
Back
Top Bottom