Msimamo wa wahisani juu ya Zanzibar leo

Msimamo wa wahisani juu ya Zanzibar leo

Tangazo halina mashiko... liko vague na halisemi kinagaubaga wanataka next steps zipi
Hata kama huna macho ya kuona unashindwa kutumia nukta nundu?hapo ni vikwazo vya kiuchumi tu
 
Wakiwa peke yao wanawahi kutangaza matokeo.......ngoja sasa wawe na wenzao.......wiki
 
Wamezoea kuamrisha nchi za watu wengine hadi kuziingiza kwenye machafuko, hilo haliwezekani kwa Tanzania. Sheria, taratibu na kanuni lazima zifuatwe. Kama kweli wanapenda haki na demokrasia basi wangekuwa mstari wa mbele kupinga kitendo cha Maalimu Seif kujitangangazia matokeo mwaka jana. Katiba ya nchi wanaijua vinzuri sana, sheria za uchaguzi wanazijua vinzuri sana sasa hiyo reconciliation wanayoitaka nje ya box la kura ni nini kama siyo kutaka kutengeneza mianya ya wao kuingiza mikono yao? Kwa sasa wamechelewa sana, wakitaka wakate hata hiyo misaada yao. Hatuwezi kuwa na misaada inayotutaka kupindisha katiba, sheria na kanuni.
 
Hivi ni akina nani wale walitishia kwamba wamekwenda kufungua kesi ICC sijui ICJ na picha zikatumwa... ha ha ha haaa. ...wamesahau kwamba Baba wa Taifa alishatukomaza tunaweza kumaliza wenyewe.. kwani huo muafaka wa awali, waliuleta wao? Kwendeni...
 
Hakuna haja kuendeleza majadiliako kwa watu waliosusa majadiliano kwani pesa zitaendelea kutumika tu,uchaguzi umeisha la msingi tupige hatua mbele za kimaendeleo. Matamko ya kichochezi kila siku tumeyachoka wakayatoe kwa Trump
Hapa hakuna cha mswalie mtume ni kula ban ya kiuchumi
 
Kwa kumbukumbu zangu zisizo rasmi siku 25 kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana utawala wa kikwete ulipatiwa mamilioni ya dola kwa ajili ya umeme vijijini lakini mara tu utawala huu mpya kuingia madarakani haukukaa hata mwezi mmoja watoa msaada wakauzuia msaada huo kwa maelezo ya kutoridhika na uchaguzi wa zanzibar na sasa kwa tamko hili tukae mkao wa kukaza mikanda huenda vikwazo zaidi vya kiuchumi vikatuhusu

na hivi mvua zilivyogoma kuivisha mazao mashambani mwaka mbona utakuwa mgumu kwa sisi walalahoi mungu tuokoe na balaa hili
Ningefurahi kama huyo sheeni angeburuzwa kwa bi bensouda
 
Wazungu wazungu wazungu!
Si wapendi, si wafagiliii!!!
Kama vp watimke tu!!!
You have nothing to loose but women, children and the needy whi depend on these countries for medicine, education, technology and development aid are touched because they are the one to be affected. Wewe kula kuku na bata lakini kipindupindu, TB, Tetanus ikijaa nchini usilalamike. Uwezo wetu ni kununua washa washa kwa wingi siyo dawa za watoto.
 
jibu zuri lililo kwenda chuo!
 
Wanaijua sana. Wanatafuta mlango wa kumwingia Magufuli wanakwama kwa sababu hajaonyesha kiu ya misaada yao.
Hapo mpaka usikie china, korea na vietnam wamepiga kelele ndo ujue kimeumana.
Jamaa walishanyima pesa tangu wakati wa escrow, uchaguzi wa october umefanyika kimtego nao sasa wanatoa matamko kama ya jecha.
Kwahiyo unaunga mkono hoja au lah.??
 
Wamezoea kuamrisha nchi za watu wengine hadi kuziingiza kwenye machafuko, hilo haliwezekani kwa Tanzania. Sheria, taratibu na kanuni lazima zifuatwe. Kama kweli wanapenda haki na demokrasia basi wangekuwa mstari wa mbele kupinga kitendo cha Maalimu Seif kujitangangazia matokeo mwaka jana. Katiba ya nchi wanaijua vinzuri sana, sheria za uchaguzi wanazijua vinzuri sana sasa hiyo reconciliation wanayoitaka nje ya box la kura ni nini kama siyo kutaka kutengeneza mianya ya wao kuingiza mikono yao? Kwa sasa wamechelewa sana, wakitaka wakate hata hiyo misaada yao. Hatuwezi kuwa na misaada inayotutaka kupindisha katiba, sheria na kanuni.

Wewe ni Jecha mwenyewe au ni mke wake?
 
Hivi ni akina nani wale walitishia kwamba wamekwenda kufungua kesi ICC sijui ICJ na picha zikatumwa... ha ha ha haaa. ...wamesahau kwamba Baba wa Taifa alishatukomaza tunaweza kumaliza wenyewe.. kwani huo muafaka wa awali, waliuleta wao? Kwendeni...
Hahaha baba wa taifa anaijuwa vizuri IMF ndio iliomfanya awache nchi bila kupenda
 
You have nothing to loose but women, children and the needy whi depend on these countries for medicine, education, technology and development aid are touched because they are the one to be affected. Wewe kula kuku na bata lakini kipindupindu, TB, Tetanus ikijaa nchini usilalamike. Uwezo wetu ni kununua washa washa kwa wingi siyo dawa za watoto.
Wavivu wa kufikiri hawawezi kukuelewa,upo vizuri mkuu.
 
Back
Top Bottom