Msimamo wa wahisani juu ya Zanzibar leo

Msimamo wa wahisani juu ya Zanzibar leo

..shida za zenj ndio zinaanza sasa... Hawa jamaa watawaminya mpaka wakome...Shein atapumua kupewa urais wa chee ..lakini atatawala kwa taabu mpaka...kila tendo haram lina gharama zake...na gharama zake sasa ndio zitaanza...haya marudio ya uchaguzi yatawagharimu sana watawala hawa...zenj inaweza kurudi nyuma kimaendeleo kwa miaka kadhaa...hivi ndivyo nionavyo zenj ya shein..lakini wao hili hawalioni.. Maana wamelewa madarakani..hawajali..
 
Misaada ikianza kufutwa kwa malengo ya kulazimishwa kutii matakwa ya wakubwa wa Dunia ujue hata mikopo mipya kutoka taasisi za kifedha za kimataifa kama IMF na World Bank pia itazuiwa mpaka tukidhi matakwa yao.
Mwaka juzi Uganda ilianza kufutiwa misaada kwa kupitisha sheria kali juu ya mashoga kilichofuata ni kukataliwa kupewa mikopo mipya kutoka mashirika ya kifedha ya Dunia
Wakubwa hao hufikia malengo yao hata ikilazimu kwa kutumia nguvu zao za kijeshi pale vikwazo vya kiuchumi visipofanikiwa kufanya kazi

Magufuli kazi anayo na hivi alivyogoma kujipendekeza kwa kutowatembelea wakubwa hao huko majuu
 
Halafu SHEIN anajiita muislamu; huku MAGUFULI akijiita mkristo tena mpenzi wa Mungu.
 
Mbona marekani sisi hatuendi kuwa watazamaji wa uchaguzi wao? Mbona hata aibu hawaoni!? Nini lakini ,sisi mbona hatujasema chochote kuhusu wanavyomlushia mabango mgombea wao wa urais Donald Trump kiboko yao. Go Zanzibar Go shein Go Magufuli Go beloved Tanzania


Unachokizungumza unakijua?
 
Hakuna haja kuendeleza majadiliako kwa watu waliosusa majadiliano kwani pesa zitaendelea kutumika tu,uchaguzi umeisha la msingi tupige hatua mbele za kimaendeleo. Matamko ya kichochezi kila siku tumeyachoka wakayatoe kwa Trump


Bila misaada ya wahisani znz isahau maendeleo
 
Tanzania ni nchi huru watuache wala wasithubutu kutuingilia kama wamekaa kimya Burundi au Uganda kwetu watukome kabisa
 
Wamezoea kuamrisha nchi za watu wengine hadi kuziingiza kwenye machafuko, hilo haliwezekani kwa Tanzania. Sheria, taratibu na kanuni lazima zifuatwe. Kama kweli wanapenda haki na demokrasia basi wangekuwa mstari wa mbele kupinga kitendo cha Maalimu Seif kujitangangazia matokeo mwaka jana. Katiba ya nchi wanaijua vinzuri sana, sheria za uchaguzi wanazijua vinzuri sana sasa hiyo reconciliation wanayoitaka nje ya box la kura ni nini kama siyo kutaka kutengeneza mianya ya wao kuingiza mikono yao? Kwa sasa wamechelewa sana, wakitaka wakate hata hiyo misaada yao. Hatuwezi kuwa na misaada inayotutaka kupindisha katiba, sheria na kanuni.

Hivi unaweza kunipa kifungu ndani ya katiba kinachosema ukijitangazia ushindi basi mwenyekiti wa tume ya uchaguzi afute uchaguzi
 
Wazungu wazungu wazungu!
Si wapendi, si wafagiliii!!!
Kama vp watimke tu!!!
Acha ubwege, Bila wazugu wewe na wazazi wako msingekuwepo, na kama mgekuwepo mgekuwa sawa na mifugo, hata simu unayotumia, nguo ulizovaa, viatu, ulizovaa, kila kitu ni mzungu, ninyi mmefanya jitihada gani ya kuvumbua vitu, zaidi ya uchawi, wizi ufisadi, na uroho wa madalaka, kenge wewe.
 
Tanzania ni nchi huru watuache wala wasithubutu kutuingilia kama wamekaa kimya Burundi au Uganda kwetu watukome kabisa
Emesema ukweli hapo. Hawaingilii Burundi kwa sababu hakuna maslahi yao. Hawa watu hawatoe msaada wowote bila ya maslahi yao tena msaada wa aina yoyote. Ukifatilia utagundua
 
These are just fliers
STATEMENT ON ELECTION RE-RUN IN ZANZIBAR

The High Commissioners and Ambassadors to Tanzania of Belgium, Canada, Denmark, the European Union, Finland, France, Germany, Ireland, Italy, the Netherlands, Norway, Spain, Sweden, Switzerland, the United Kingdom and the United States, today issued the following statement regarding the election re-run which took place in Zanzibar on March 20 th , 2016:

“We regret the Zanzibar Electoral Commission’s decision to hold a re-run of the 25 October 2015 election, without a mutually acceptable and negotiated solution to the current political impasse.

“In order to be credible, electoral processes must be inclusive and truly representative of the will of
the people.

“We reiterate our call on the Government of Tanzania to exercise leadership in Zanzibar, and to pursue a negotiated solution between parties, with a view to maintaining peace and unity in the United Republic of Tanzania.

“We commend once again the population of Zanzibar for having exercised calm and restraint throughout this process, and call on all parties and their supporters to re-start the national reconciliation process to find an inclusive, sustainable and peaceful resolution.”

For more information, please contact: Ms. Luana REALE, Head of Political, Press and Information Section- Delegation of the European Union to Tanzania

Email: Luana.REALE@eeas.europa.eu
Direct Line: +255 22 2164503
Website: European Union - EEAS (European External Action Service) | Delegation in Tanzania
Facebook: European Union in Tanzania
Twitter: EU in Tanzania (@EUinTZ) | Twitter

Dar es Salaam, 21 March 2016[/QUO
 
Hii nchi tuna viongozi hopeless kabisa! Hivi ina maana viongozi wote hawa tulio nao hawajui kuwa uchaguzi credible unatakiwa kuwa inclusive as much as possible? Na haya nayo mpaka tuambiwe na mzungu? Trump alikuwa sahihi kabisa kuwa mtu mweusi aliwahi mno kupewa uhuru. Hata tukikataa kwa maneno, matendo yetu yanathibitisha kuwa Trump is right.
 
Back
Top Bottom