Mimi siwezi kuangalua mechi yoyote ya AfrikaSoka la Afrika ni shida sana.
Haupunguzi chochoteMimi siwezi kuangalua mechi yoyote ya Afrika
Marefa wetu wa Afrika ni kama INEC tuMimi siwezi kuangalua mechi yoyote ya Afrika
Umemuona Yaccine Bono ?... Sio wewe kudaka Hadi uone wanawake.Soka letu kivyetu vyetu
Referee anafanana na jaji kipenyo Mwambengele.Marefa wetu wa Afrika ni kama INEC tu
Acha uzwazwaSenegal wamegomea kubebwa kwa Moroco wakaamua kutoa team uwanjani.
Iwapo wangekubali kuendelea ndio ilikuwa imetoka hiyo. Chadema msimamo uwe huo huo hakuna kushiriki chaguzi za kuhuni hadi haki ifuatwe.
CCM ndiyo wamekubaliana na CHADEMA kuwa kuna haki ya Senegal imeminywaLeo CHADEMA wameungana na CCM kushangilia Senegal 😂😂