Msimamo wa Mheshimiwa Freeman Mbowe kuhusiana na mambo ya kusamehewa na Rais

Sijui kwanini naona umepoteza legitimacy kwa taifa lako, sijui wenzangu wanaonaje maana we perceive things differently, lakini nafikiri kwa mtu kama mimi ukiniuliza, huwezi kuwa huna ulterior motives behind whatever you do or say!

Whatever you will say siyo rahisi kuiamini dhamira yako....

May God keep and protect my country and its people!
 
Nimekuelewa The Palm Tree, ila ushauri ni hiari kufuata au kutofuata
 
Wewe Hata usifu na kuabudu kwa kiasi gani siku ukiingia bongo utajikuta ndani ya kile kisima cha pale Makumbusho.
 
I fully support Mbowe's bold stance on this unmerited and questionable case, he has spoken out his mind to protect his dignity
 
Yote sina shaka, tatizo langu ni ku compromize mambo ya taifa letu just for your own interests za kuchukua uongozi wa nchi hata kwa njia zitakazo tuingiza kwenye mitego ambayo tutashindwa kuivuka for generation...
 

Kwenye haya Mapambano wewe uko upande gani mkuu?
 
Vyama 19 vitajijenga vipi kama havifanyi shughuli za siasa.
Waliochaguliwa ndio wafanye mikutano maeneo yao.
Hivi vyama 18 vifutwe kwakuwa havitimizi majukumu yao.
 
Doh!!!Ila ni ukweli ujue...
 
Kibri,dharau,kujikweza,majivuno ndivyo vilivyoivaa hii sura.
 
Naamini kama atapatikana na hatia Rais kwa kutumia mamlaka yake atamsamehe. Kwa sasa hawezi kutoam msamaha kwa kuwa hajapatikana na hatia atasamehewa kwa lipi.
DPP afute kesi.. Ofisi ya DPP iko kwa katiba yetu.
 
Zitto alimfikishia ujumbe gani mama?? Na nini kitachofuata baada ya hayo?
Zitto ni pandikizi la CCM ndani ya upinzani.Anafanya mission za TISS.Kwani hujasoma huku JF kwamba Mbowe ametoa taarifa kuwa hajawahi kuwa na mpango wa kuomba msamaha?Sasa kama Mbowe hajawahi kuwa na mpango wa kuomba msamaha iweje Zitto alazimishe misamaha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…