Msimamo binafsi: Mabadiliko (Yes) Lowasa (Big No)

Huu ni msimamo wangu binafsi simlazimishi mtu yoyote kuufuata maana waswahili wanasema" Wengi wape".
MUNGU akipenda tarehe 25/10/2015 siku ya uchaguzi nitafanya ifuatavyo.
1. Ubunge: Nitampigia kura ya ndiyo mbunge toka UPINZANI.

2. Udiwani: Nitampigia kura ya ndiyo diwani toka UPINZANI.

3. URAIS: Kura itaharibika maana Lowasa simkubali hata kidogo. Siwezi shiriki dhambi ya kumkabidhi nchi hii Edward N. Lowasa.
Hata ikitokea ENL akashinda binafsi sitamtambua kama Rais wangu (atakuwa rais wa hao waliompitisha).
HUU NDIYO MSIMAMO WANGU MIMI. Naomba msimamo wangu uheshimiwe
Umewasilisha mawazo kama yalivyo, siipendi ccm ila sipo tayari kumpa kura yangu lowasa kamwe.
 
LOWASA mpinzani???? Hii ni kali ya karne. Wewe mchague ila mimi ni big NO.
hujitambui wewe..subiri utajibiwa kwa vitendo ..unajikomoza bure huna wa kukusikiliza tena..wenzako wameshajiandaa kufanya mengi zaidi ya kupoteza muda na huu ujinga upotoshaji wa kizamani sana.
 
NYUMBU unajitambua hongera
 
Huu ni msimamo wangu binafsi simlazimishi mtu yoyote kuufuata maana waswahili wanasema" Wengi wape".
MUNGU akipenda tarehe 25/10/2015 siku ya uchaguzi nitafanya ifuatavyo.
1. Ubunge: Nitampigia kura ya ndiyo mbunge toka UPINZANI.

2. Udiwani: Nitampigia kura ya ndiyo diwani toka UPINZANI.

3. URAIS: Kura itaharibika maana Lowasa simkubali hata kidogo. Siwezi shiriki dhambi ya kumkabidhi nchi hii Edward N. Lowasa.
Hata ikitokea ENL akashinda binafsi sitamtambua kama Rais wangu (atakuwa rais wa hao waliompitisha).
HUU NDIYO MSIMAMO WANGU MIMI. Naomba msimamo wangu uheshimiwe

Upige usimpigie wont change a hick! Kura yako ya HAPANA kwa EL ni drop in a bucket! Kuwa sehemu ya mabadiliko kwea niaba ya vizazi vya baadae.
 
Nani kakudanganya EL atakuletea mabadiliko positive?. Labda style mpya ya wizi warasilimali zetu.
 
Haileti mantiki jitu FISADI tulishabikie. Namkubali Dr Slaa kwa 80% lakini huyu Lowasa kwangu ni BIG NO.
Nipo tayari kuonekana mtu wa ajabu kuliko kuwa NYUMBU.

Hauwezi kueleweka na watu wanaotumia matumbo yao kufikiri..,

Narudia ten ahii kauli, omba maradhi ya aina yoyote, usiombe NJAA. yani Tumbo linauwezo wa kumfanya mtu mwenye heshima zake akaonekana JUHA na Kituko mbele ya watu.., ndio tunachoona kinaendelea CDM sasa hivi.

Kujua dhamira ya timu ya Lowassa n.k, ni kusubiri pesa zikate tu,hakuna jinsi nyengine.., maana huwezi kubishana na paid for loud mouths..,wewe waongea vya msingi mwenzako anatetea tonge.
 
Umewasilisha mawazo kama yalivyo, siipendi ccm ila sipo tayari kumpa kura yangu lowasa kamwe.

CDM na UKAWA wala wasiwe na hofu.., wasubiri October watujue vizuri wa TZ ni watu wa aina gani.., kama walidhani kila mtanzania ni -----.., imekula kwao...,kula za Lowassa watazisikia kwenye redio tu.Na kutoka kwa hao wanaohudhuria hiyo mikutano yao kuendelea kudanganyana..,wasiozidi hata laki 5 nchi nzima.Baada ya hapo,wataendelea kusubiri kura za sie watazamaji wa snema zao za kipuuzi.Kama wanategemea kuna mwenye akili timamu atampigia Lowassa, na genge lake la walanguzi(Karamagi, Masha, Kingunge etc) waingie Ikulu, huyo mtu anahitaji nyundo ya kichwa kuzinduliwa ndotoni.
 
Mkuu mimi nilishawaambia rafiki zangu wasikanyage kwangu kama wanakuja na hoja ya kumchagua LOWASA. Nimewaambia siwezi shiriki dhambi hiyo ya kuiuza Tanzania kwa Team Fisadi.
 
Hauwezi kueleweka na watu wanaotumia matumbo yao kufikiri..,

Narudia ten ahii kauli, omba maradhi ya aina yoyote, usiombe NJAA. yani Tumbo linauwezo wa kumfanya mtu mwenye heshima zake akaonekana JUHA na Kituko mbele ya watu.., ndio tunachoona kinaendelea CDM sasa hivi.

Kujua dhamira ya timu ya Lowassa n.k, ni kusubiri pesa zikate tu,hakuna jinsi nyengine.., maana huwezi kubishana na paid for loud mouths..,wewe waongea vya msingi mwenzako anatetea tonge.

Umenena vyema mkuu
 
NYUMBU unajitambua hongera
Then nitakuwa ni nyumbu ambaye hajawahi zaliwa ktk hii dunia ,pengine utakuwa una shida ya akili kudhani kiumbe kisicho kuwa nyumbu kuwa ni nyumbu.
 
Nani kakudanganya EL atakuletea mabadiliko positive?. Labda style mpya ya wizi warasilimali zetu.
Mbona unaumia sana mwingine akitaka EL amshaidie ktk mabadiliko ktk maisha yao binafsi?Ndio maana wananchi wamewachoka sana, Mgeja anasema siku alipojitambua kwamba wananchi wamewachoka tena sana,wananchi wanataka tuwondoke mapema iwezekanavyo bado akajua si muda tena wa kuaga ccm
 
CDM na UKAWA wala wasiwe na hofu.., wasubiri October watujue vizuri wa TZ ni watu wa aina gani.., kama walidhani kila mtanzania ni -----.., imekula kwao...,kula za Lowassa watazisikia kwenye redio tu.Na kutoka kwa hao wanaohudhuria hiyo mikutano yao kuendelea kudanganyana..,wasiozidi hata laki 5 nchi nzima.Baada ya hapo,wataendelea kusubiri kura za sie watazamaji wa snema zao za kipuuzi.Kama wanategemea kuna mwenye akili timamu atampigia Lowassa, na genge lake la walanguzi(Karamagi, Masha, Kingunge etc) waingie Ikulu, huyo mtu anahitaji nyundo ya kichwa kuzinduliwa ndotoni.

Hahhahahah mzee wa sizitaki mbichi hizi!!!

Leo umekua kigeugeu baada ya kumshawishi Lowassa aje ACT akakataa??

Nani asiyewajua mlivyo na chuki kwa mlivyovikosa??
 
Huu ni msimamo wangu binafsi simlazimishi mtu yoyote kuufuata maana waswahili wanasema" Wengi wape".
MUNGU akipenda tarehe 25/10/2015 siku ya uchaguzi nitafanya ifuatavyo.
1. Ubunge: Nitampigia kura ya ndiyo mbunge toka UPINZANI.

2. Udiwani: Nitampigia kura ya ndiyo diwani toka UPINZANI.

3. URAIS: Kura itaharibika maana Lowasa simkubali hata kidogo. Siwezi shiriki dhambi ya kumkabidhi nchi hii Edward N. Lowasa.
Hata ikitokea ENL akashinda binafsi sitamtambua kama Rais wangu (atakuwa rais wa hao waliompitisha).
HUU NDIYO MSIMAMO WANGU MIMI. Naomba msimamo wangu uheshimiwe

Ungebaki nao moyoni sio kupost humu ----- wewe
 
Mbona unaumia sana mwingine akitaka EL amshaidie ktk mabadiliko ktk maisha yao binafsi?Ndio maana wananchi wamewachoka sana, Mgeja anasema siku alipojitambua kwamba wananchi wamewachoka tena sana,wananchi wanataka tuwondoke mapema iwezekanavyo bado akajua si muda tena wa kuaga ccm

Sijui kinachowafanya wapoteze mda na vilio vingi ni nini wakati wameshaamua....
 
Back
Top Bottom