Msimamo binafsi: Mabadiliko (Yes) Lowasa (Big No)

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,622
Reaction score
3,696
Huu ni msimamo wangu binafsi simlazimishi mtu yoyote kuufuata maana waswahili wanasema" Wengi wape".
MUNGU akipenda tarehe 25/10/2015 siku ya uchaguzi nitafanya ifuatavyo.
1. Ubunge: Nitampigia kura ya ndiyo mbunge toka UPINZANI.

2. Udiwani: Nitampigia kura ya ndiyo diwani toka UPINZANI.

3. URAIS: Kura itaharibika maana Lowasa simkubali hata kidogo. Siwezi shiriki dhambi ya kumkabidhi nchi hii Edward N. Lowasa.
Hata ikitokea ENL akashinda binafsi sitamtambua kama Rais wangu (atakuwa rais wa hao waliompitisha).
HUU NDIYO MSIMAMO WANGU MIMI. Naomba msimamo wangu uheshimiwe
 
We ni mwanaccm tunakujua Huwezi kutaka mabadiliko kwa sababu yakija Kula yako ndo itapote, ukishazoea maisha mazuri yanayopatikana katika mapato ya rushwa na ufisadi, Huwezi elewa maana ya mabadiliko.. ila baada ya October 25 utaelewa
 
Mahaba dhidi ya Magufuli yamekufunika, Acha kutuinjoi hapa! Lowassa ndiye Rais wako, Watanzania walio wengi wameshaamua badala yako, maana hukujaliwa busara ya kujua jema na baya!
 
Huu ni msimamo wangu binafsi simlazimishi mtu yoyote kuufuata maana waswahili wanasema" Wengi wape".
MUNGU akipenda tarehe 25/10/2015 siku ya uchaguzi nitafanya ifuatavyo.
1. Ubunge: Nitampigia kura ya ndiyo mbunge toka UPINZANI.

2. Udiwani: Nitampigia kura ya ndiyo diwani toka UPINZANI.

3. URAIS: Kura itaharibika maana Lowasa simkubali hata kidogo. Siwezi shiriki dhambi ya kumkabidhi nchi hii Edward N. Lowasa.
Hata ikitokea ENL akashinda binafsi sitamtambua kama Rais wangu (atakuwa rais wa hao waliompitisha).
HUU NDIYO MSIMAMO WANGU MIMI. Naomba msimamo wangu uheshimiwe

Huo msimamo wako Coartem binafsi nauheshimu, na nadhani wewe ni miongoni mwa wanaojitambua. Wewe utakuwa siyo nyumbu, maana wengi humu ni nyumbu (wanafuata mikumbo bila kuzifanya akili zao zitafakari kwa kina kwamba huyu Lowasa tunayemshabikia leo ndo miongoni mwa wezi wakubwa walokuwa ccm ameiba kwa kina na hela anazowapumbaza nazo hawa nyumbu na kumwona ndo mtu sahihi wa kuwaletea kile wanachokitaka kumbe la! Bora mkuu unajitambua
 
Kiroba si maji.Msimamo uheshimiwe na huwezi badilishwa na chochote,sasa umeshare na sisi ili iweje?Acheni viroba vijana.By the way sis poliss huwa tunatumia majambazi wakati mwingine kumkamata jambazi.Unaweza kuwa sahihi kuwa Lowasa na Magufuri wote ni majambazi ila tofauti ya hawa wawili mmoja wao yupo kwenye ule mfumo uliotengeneza mtambo wa kuzalisha majambazi,uliojenga ngome ya kulinda majambazi na uliochoka kabisa kabisa while lowasa ni mtu aliyekuwa humo ndani akatupwa nje ya mfumo kwa hila.
VITA YA PANZI FURAHA YA KUNGURU.VITA NDANI YA CCM NI OPPORTUNITY KWA MTANZANIA MASIKINI YAANI MIMI NA WEWE KUONDOKANA NA DUDE HILI CCM-Think twice
 
Mahaba dhidi ya Magufuli yamekufunika, Acha kutuinjoi hapa! Lowassa ndiye Rais wako, Watanzania walio wengi wameshaamua badala yako, maana hukujaliwa busara ya kujua jema na baya![/QUOwTE]

Wewe Musa tambua kuwa wingi si hoja na pia elewa WaTZ wengi upeo bado mdogo sana wa kuchambua mambo. Leo hii unasahau kuwa Cdm ndo walikuwa mstari wa mbele kuwaeleza kwamba ENL ni fisadi lililokubuhu tena walimtaja pale mwembe Simba kuwa ni miongoni mwa mafisadi PAPA 11 walioifilisi nchi, na mlishangilia kweli. Kama haitoshi Cdm wakasema wana ushahidi na anayeona kaonewa aende mahakamani kwani ENL alienda kushtaki au hata kukanusha??? Leo watu haohao wanasema ENL ni msafi na nyie nyumbu bado mnashangilia tu. Tafakari kijana acha kupelekwa kama bendera fuata upepo. Ishughulishe akili yako
 
WEWE mwenye akili tueleze magereza ya Tanzania (Segerea,Ukonga,Keko,Mkono wa Mara,Bangwe na mengine mengi)yalijengwa kwa ajiri ya watu gani?Kama Lowasa ni Mchafu why yupo nje kiasi cha kukufanya ulale mitandaoni? Mlizoea kutuibia sasa mwaka huu mnalo-Mlafi wa Madaraka wewe
 
Uchaguzi wowote ule sharti uongozwe na 'doctrine' yake inayosadifu mazingiraa, zama na nyakati husika. bila shaka, hapa kwetu, "doctrine" inayopaswa kutuongoza katika uchaguzi huu ni " ondoa wakongwe weka wapya" tukiweza kujenga utamaduni huo hapa kwetu, ndipo tutakwenda kujenga mfumo thabiti wa kidemokrasia, kwa maana ya watu kuamua nani awaongoze, wakati gani na kwa muktadha upi
 
Huo msimamo wako Coartem binafsi nauheshimu, na nadhani wewe ni miongoni mwa wanaojitambua. Wewe utakuwa siyo nyumbu, maana wengi humu ni nyumbu (wanafuata mikumbo bila kuzifanya akili zao zitafakari kwa kina kwamba huyu Lowasa tunayemshabikia leo ndo miongoni mwa wezi wakubwa walokuwa ccm ameiba kwa kina na hela anazowapumbaza nazo hawa nyumbu na kumwona ndo mtu sahihi wa kuwaletea kile wanachokitaka kumbe la! Bora mkuu unajitambua

Kuna wengine ni wezi lakini skendo zaohazijawah kuskika hao unawachukuliaje
 
Safi sana mkuu na hapo ndo pamekaa vizuri ..jizi lijifie lenyewe
 
msimamo wako baki nao wewe na mume wako nyumbaniiii....eti unaweza kusema napenda mashindano ya magari,ila sipendi magari ya mashindano yakimbie....ushindi ni lazimaaa...
 
naheshimu msimamo wako ndio demokrasia mie diwani tu ndio atapata kura yangu...
 
Huu ni msimamo wangu binafsi simlazimishi mtu yoyote kuufuata maana waswahili wanasema" Wengi wape".MUNGU akipenda tarehe 25/10/2015 siku ya uchaguzi nitafanya ifuatavyo.1. Ubunge: Nitampigia kura ya ndiyo mbunge toka UPINZANI.2. Udiwani: Nitampigia kura ya ndiyo diwani toka UPINZANI.3. URAIS: Kura itaharibika maana Lowasa simkubali hata kidogo. Siwezi shiriki dhambi ya kumkabidhi nchi hii Edward N. Lowasa.Hata ikitokea ENL akashinda binafsi sitamtambua kama Rais wangu (atakuwa rais wa hao waliompitisha).HUU NDIYO MSIMAMO WANGU MIMI. Naomba msimamo wangu uheshimiwe
Imepitwa sana na wakti hii gia..ungeongezea ile kawaida yenu Urais upinzani bado sana.
 
Midfield said:
Wewe Musa tambua kuwa wingi si hoja na pia elewa WaTZ wengi upeo bado mdogo sana wa kuchambua mambo. Leo hii unasahau kuwa Cdm ndo walikuwa mstari wa mbele kuwaeleza kwamba ENL ni fisadi lililokubuhu tena walimtaja pale mwembe Simba kuwa ni miongoni mwa mafisadi PAPA 11 walioifilisi nchi, na mlishangilia kweli. Kama haitoshi Cdm wakasema wana ushahidi na anayeona kaonewa aende mahakamani kwani ENL alienda kushtaki au hata kukanusha??? Leo watu haohao wanasema ENL ni msafi na nyie nyumbu bado mnashangilia tu. Tafakari kijana acha kupelekwa kama bendera fuata upepo. Ishughulishe akili yako
MIDFIELD, naona unaitaja listi ya mafisadi PAPA 11 lakini sina hakika kama unaijua listi. Ngoja nikumbushe kidogo hiyo listi;

  1. Dr. Daudi T.S. Balali
  2. Andrew J. Chenge
  3. Basil P. Mramba
  4. Gray S. Mgonja
  5. Patrick P. R. Rutabanzibwa
  6. Nazir Karamagi
  7. Nimrod Mkono
  8. Rostamu Aziz
  9. Edward Lowassa
  10. Benjamin W. Mkapa
  11. Jakaya Mrisho Kikwete
Miaka mitano baadaye hii listi iliweza kuongezeka ikijumuisha wafuatao;

  1. Dr. John Pombe Magufuli
  2. John Samwel Malecela
  3. Philip Mangula
  4. Fredrick Sumaye

MIDFIELD, kwa kukufahamisha tu ni kwamba kilichowaunganisha hawa mafisadi papa ni kitu kimoja tu, UCCM wao. Katika orodha zote mbili hakuwahi kutajwa kiongozi yeyote wa upinzani. Lowassa hayupo tena pamoja na hao mafisadi, kalihama kabisa hilo pango la wezi, sasa yuko UKAWA kwa wasio na doa.
 
Huo msimamo wako Coartem binafsi nauheshimu, na nadhani wewe ni miongoni mwa wanaojitambua. Wewe utakuwa siyo nyumbu, maana wengi humu ni nyumbu (wanafuata mikumbo bila kuzifanya akili zao zitafakari kwa kina kwamba huyu Lowasa tunayemshabikia leo ndo miongoni mwa wezi wakubwa walokuwa ccm ameiba kwa kina na hela anazowapumbaza nazo hawa nyumbu na kumwona ndo mtu sahihi wa kuwaletea kile wanachokitaka kumbe la! Bora mkuu unajitambua

Safi sana umeeleweka vizuri
 
Huu ni msimamo wangu binafsi simlazimishi mtu yoyote kuufuata maana waswahili wanasema" Wengi wape".
MUNGU akipenda tarehe 25/10/2015 siku ya uchaguzi nitafanya ifuatavyo.
1. Ubunge: Nitampigia kura ya ndiyo mbunge toka UPINZANI.

2. Udiwani: Nitampigia kura ya ndiyo diwani toka UPINZANI.

3. URAIS: Kura itaharibika maana Lowasa simkubali hata kidogo. Siwezi shiriki dhambi ya kumkabidhi nchi hii Edward N. Lowasa.
Hata ikitokea ENL akashinda binafsi sitamtambua kama Rais wangu (atakuwa rais wa hao waliompitisha).
HUU NDIYO MSIMAMO WANGU MIMI. Naomba msimamo wangu uheshimiwe

So you are telling us ili? Ni decision tayari umefanya, wether ni nzuri au mbaya umeamua na wala hatuhitaji kujua sasa badala ya kutangazia familia yako huko unakuja JF ndiyo unalipuka?

Kikwete "alishinda" na wengi "hatukumtambua" kama Rais baada ya uchaguzi 2010, lakini tulimheshimu. As you said 'wengi wape', It's just the matter of time till when you will take a bow!
 
Uchaguzi wowote ule sharti uongozwe na 'doctrine' yake inayosadifu mazingiraa, zama na nyakati husika. bila shaka, hapa kwetu, "doctrine" inayopaswa kutuongoza katika uchaguzi huu ni " ondoa wakongwe weka wapya" tukiweza kujenga utamaduni huo hapa kwetu, ndipo tutakwenda kujenga mfumo thabiti wa kidemokrasia, kwa maana ya watu kuamua nani awaongoze, wakati gani na kwa muktadha upi

Very good...."ONDOA WAKONGWE WEKA WAPYA". Je huyo Lowasa ni mpya?
Pole sana Dr Slaa mwanamapinduzi wa kweli.
 
msipende kuwa bendera fuata upepo

ENL MLAF WA MADARAKA
Haileti mantiki jitu FISADI tulishabikie. Namkubali Dr Slaa kwa 80% lakini huyu Lowasa kwangu ni BIG NO.
Nipo tayari kuonekana mtu wa ajabu kuliko kuwa NYUMBU.
 
Back
Top Bottom