Msimamo binafsi: Mabadiliko (Yes) Lowasa (Big No)

Mahaba dhidi ya Magufuli yamekufunika, Acha kutuinjoi hapa! Lowassa ndiye Rais wako, Watanzania walio wengi wameshaamua badala yako, maana hukujaliwa busara ya kujua jema na baya!
Hao watanzania ulikaa nao mkakubaliana lini?hata mm simuungi mkono Lowasa
 
Huu ni msimamo wangu binafsi simlazimishi mtu yoyote kuufuata maana waswahili wanasema" Wengi wape".
MUNGU akipenda tarehe 25/10/2015 siku ya uchaguzi nitafanya ifuatavyo.
1. Ubunge: Nitampigia kura ya ndiyo mbunge toka UPINZANI.

2. Udiwani: Nitampigia kura ya ndiyo diwani toka UPINZANI.

3. URAIS: Kura itaharibika maana Lowasa simkubali hata kidogo. Siwezi shiriki dhambi ya kumkabidhi nchi hii Edward N. Lowasa.
Hata ikitokea ENL akashinda binafsi sitamtambua kama Rais wangu (atakuwa rais wa hao waliompitisha).
HUU NDIYO MSIMAMO WANGU MIMI. Naomba msimamo wangu uheshimiwe
Hakika nitapiga kura kama wewe, msimamo wangu kama wako.
 
Amia Burundi kwa Ngurunziza ndo atakuwa raisi wako. Na kura yako ya ubunge kuwapa wapinzani
hatuitaki maana tunazo nyingi tutakazopewa kutoka CCM.
 
Unataka madiliko alafu unajipinga mwenyewe. Hivi El alipokuwa PM hukuona uchapakazi wake kiasi kwamba hata Mr President hakuwa anasikika? Tunataka mtu wa kutuvusha tupeleke sera zetu, katiba ya wana nchi, serikali tatu, tulete maendeleo. Sasa bila serikali mabadiliko hayo utayapataje ewe mdau? "Mimi sikuelewi elewi !!
 
Amia Burundi kwa Ngurunziza ndo atakuwa raisi wako. Na kura yako ya ubunge kuwapa wapinzani
hatuitaki maana tunazo nyingi tutakazopewa kutoka CCM.

Lowasa atakapo katwa mwezi october tar 25 atahamia SOMALIA kwenda kugombea urais.
 
umesema mabadiliko YES lowassa NO, hayo mabadiliko utayapata kwa kumchagua kiongozi wa kuleta mabadiliko kutoka chama gani? kama ni ccm hamna mabadiliko yoyote zaidi sana ni muendelezo wa yaleyale kwa miaka mingine 10 labda kwa mawazo yako hayo uchague kiongozi kwa ngazi ya uraisi kutoka vyama tofauti na ccm na ukawa na ni kitu ambacho sijui kama utakifanya,,, nadhani ungeweka tu wazi kuwa unamkubali magufuli na humkubali lowasa kuliko kuzuga watu kwamba hutachagua raisi.Lengo ni kuondoa mfumo fisadi ccm sasa kama mabadiliko unayataka ndani ya ccm pole

Umeelewa nilicho kiandika?
 
So you are telling us ili? Ni decision tayari umefanya, wether ni nzuri au mbaya umeamua na wala hatuhitaji kujua sasa badala ya kutangazia familia yako huko unakuja JF ndiyo unalipuka?

Kikwete "alishinda" na wengi "hatukumtambua" kama Rais baada ya uchaguzi 2010, lakini tulimheshimu. As you said 'wengi wape', It's just the matter of time till when you will take a bow!

Na wewe hujalazamishwa kuchangia.

Ungepita kimya kimya tu.
 
Huu ni msimamo wangu binafsi simlazimishi mtu yoyote kuufuata maana waswahili wanasema" Wengi wape".
MUNGU akipenda tarehe 25/10/2015 siku ya uchaguzi nitafanya ifuatavyo.
1. Ubunge: Nitampigia kura ya ndiyo mbunge toka UPINZANI.

2. Udiwani: Nitampigia kura ya ndiyo diwani toka UPINZANI.

3. URAIS: Kura itaharibika maana Lowasa simkubali hata kidogo. Siwezi shiriki dhambi ya kumkabidhi nchi hii Edward N. Lowasa.
Hata ikitokea ENL akashinda binafsi sitamtambua kama Rais wangu (atakuwa rais wa hao waliompitisha).
HUU NDIYO MSIMAMO WANGU MIMI. Naomba msimamo wangu uheshimiwe

Huu msimamo wako tu, ni uamuzi Wa waengi tunao jitambua na wenye nia ya dhati ya mabadiliko
 
Mkuu kura yako/ zenu hazipunguzi lolote ndani ya UKAWA ...!! Lowassa ni Rais wako tu.
 
maabadiliko si lazima yaje kwa kupitia lowasa {BIG NO} MABADILIKO YANAANZIA KWANGU NA KWAKO,
binafsi pia NAHITAJI MABADILIKO lakin si kwa kupitia lowasa.
 
Huu ni msimamo wangu binafsi simlazimishi mtu yoyote kuufuata maana waswahili wanasema" Wengi wape".
MUNGU akipenda tarehe 25/10/2015 siku ya uchaguzi nitafanya ifuatavyo.
1. Ubunge: Nitampigia kura ya ndiyo mbunge toka UPINZANI.

2. Udiwani: Nitampigia kura ya ndiyo diwani toka UPINZANI.

3. URAIS: Kura itaharibika maana Lowasa simkubali hata kidogo. Siwezi shiriki dhambi ya kumkabidhi nchi hii Edward N. Lowasa.
Hata ikitokea ENL akashinda binafsi sitamtambua kama Rais wangu (atakuwa rais wa hao waliompitisha).
HUU NDIYO MSIMAMO WANGU MIMI. Naomba msimamo wangu uheshimiwe

We ni Intellectual unajua kuona mbele, achana na wafuata upepo waendelee kuburuzwa kwa sababu1 ndogo "mabadiliko" apo apo ndio watanzania tunatiwa kitanzini kwa kupreach mabadiliko bila kujihakikishia km hayo mabadiliko tunayoyataka sisi tutayapata au tunaingizwa mkenge.
 
Back
Top Bottom