Msimamo binafsi: Mabadiliko (Yes) Lowasa (Big No)

msimamo wako baki nao wewe na mume wako nyumbaniiii....eti unaweza kusema napenda mashindano ya magari,ila sipendi magari ya mashindano yakimbie....ushindi ni lazimaaa...

Bado hujitambui....narudia tena " WENGI WAPE hata kama wataambulia patupu".
Kada wa CCM Lowasa hawezi kuwa na jipya la Kimageuzi. Yeye kwake ni URAIS ndiyo first priority MABADILIKO hayapo kwenye damu yake.
Just wait and see UNABII UTATIMIA.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Imepitwa sana na wakti hii gia..ungeongezea ile kawaida yenu Urais upinzani bado sana.

LOWASA mpinzani???? Hii ni kali ya karne. Wewe mchague ila mimi ni big NO.
 
Huu ni msimamo wangu binafsi simlazimishi mtu yoyote kuufuata maana waswahili wanasema" Wengi wape".
MUNGU akipenda tarehe 25/10/2015 siku ya uchaguzi nitafanya ifuatavyo.
1. Ubunge: Nitampigia kura ya ndiyo mbunge toka UPINZANI.

2. Udiwani: Nitampigia kura ya ndiyo diwani toka UPINZANI.

3. URAIS: Kura itaharibika maana Lowasa simkubali hata kidogo. Siwezi shiriki dhambi ya kumkabidhi nchi hii Edward N. Lowasa.
Hata ikitokea ENL akashinda binafsi sitamtambua kama Rais wangu (atakuwa rais wa hao waliompitisha).
HUU NDIYO MSIMAMO WANGU MIMI. Naomba msimamo wangu uheshimiwe

Mkuu unataka kutujazia kina Martha Mlata na Irene UWoya Bungeni?Kura yako ya Urais ina thamani zaidi ya uifikiriavyo..
 
Kura yangu ilikuwa inamsubiri Jemedari Wilbroad Slaa; sasa ndiyo hivyo tena. Genge la wanyang'anyi kutoka CCM limevamia CDM. Siwezi mpa kura yangu kiongozi mkuu wa MAFISADI.
 
Huna ushahidi unasimamia umbea, kura yako itafidiwa na yangu,wewekampigie john.
 
Mahaba dhidi ya Magufuli yamekufunika, Acha kutuinjoi hapa! Lowassa ndiye Rais wako, Watanzania walio wengi wameshaamua badala yako, maana hukujaliwa busara ya kujua jema na baya!

Kula like.

SWISSME
 
Lowasa anawarubuni kinafiki machinga,mamantilie na bodaboda.
 
Hebu tunaomba utusaidie sisi ambao hatujaamua bado kutuambia aliibaje kwa mfano, maana kama wale wa EPA na ESCROW iko wazi jinsi walivyoiba.

Ninahisi unawaita wenzio nyumbu kumbe nawe ni nyumbu tu
Msaada mkubwa utaweza pia kuupata kutoka kwa hawa watu hapa chini
Atakayemuunga mkono Lowasa apimwe akili - Msigwa

CCM wamempa fomu kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jela, wametudharau watanzania - Lipumba.

Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani - Mbowe

NI heshima KWA Mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa - G.Lema

Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) - Slaa

Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika
 
MIDFIELD, naona unaitaja listi ya mafisadi PAPA 11 lakini sina hakika kama unaijua listi. Ngoja nikumbushe kidogo hiyo listi;

  1. Dr. Daudi T.S. Balali
  2. Andrew J. Chenge
  3. Basil P. Mramba
  4. Gray S. Mgonja
  5. Patrick P. R. Rutabanzibwa
  6. Nazir Karamagi
  7. Nimrod Mkono
  8. Rostamu Aziz
  9. Edward Lowassa
  10. Benjamin W. Mkapa
  11. Jakaya Mrisho Kikwete
Miaka mitano baadaye hii listi iliweza kuongezeka ikijumuisha wafuatao;

  1. Dr. John Pombe Magufuli
  2. John Samwel Malecela
  3. Philip Mangula
  4. Fredrick Sumaye

MIDFIELD, kwa kukufahamisha tu ni kwamba kilichowaunganisha hawa mafisadi papa ni kitu kimoja tu, UCCM wao. Katika orodha zote mbili hakuwahi kutajwa kiongozi yeyote wa upinzani. Lowassa hayupo tena pamoja na hao mafisadi, kalihama kabisa hilo pango la wezi, sasa yuko UKAWA kwa wasio na doa.

Mag3 sio wewe bali na mahaba yako ndiyo yamekusukuma kuchakachua na kuhakikisha unaleta list yako mpya ambayo Dr Slaa hajawahi kuitoa lengo lako ni utafute tu upenyo wa kuingiza jina la Dr John Magufuli.
Hii si akili salama.

Nakuomba tu mahaba niuwe wako tukimkata sie wananchi tar 25 oct mtulie tuliiii ili watu tuendelee na kuijenga nchi yetu pendwa.

Watu tunataka mabadiriko yasiyoongozwa na jizi la aina yoyote kwa mujibu wa takwimu.
 
Huu ni msimamo wangu binafsi simlazimishi mtu yoyote kuufuata maana waswahili wanasema" Wengi wape".
MUNGU akipenda tarehe 25/10/2015 siku ya uchaguzi nitafanya ifuatavyo.
1. Ubunge: Nitampigia kura ya ndiyo mbunge toka UPINZANI.

2. Udiwani: Nitampigia kura ya ndiyo diwani toka UPINZANI.

3. URAIS: Kura itaharibika maana Lowasa simkubali hata kidogo. Siwezi shiriki dhambi ya kumkabidhi nchi hii Edward N. Lowasa.
Hata ikitokea ENL akashinda binafsi sitamtambua kama Rais wangu (atakuwa rais wa hao waliompitisha).
HUU NDIYO MSIMAMO WANGU MIMI. Naomba msimamo wangu uheshimiwe

Hakuna mabadiliko bila kuitoa CCM na ili ccm ccm ivunjikr ni lazima ivunjwe na mwanaccm
nikuulize swali do go kama Una ufahamu wa biblia..... hivi kama kama waisraeli wangemkataa Musa kwa Sababu tu alikulia na kuishi kwa farao wangeokolewa kweli???
tunakubali kuwa Lowasa kama binadamu yoyote anamapungufu yake lakini Ana mvuto Ana mtaji mkubwa wa watu utajiri wa kisiasa si pesa ni watu
kama ubalipenda boga penda na maua yake
 
Tusitarajie mabadiliko yaletwe na malaika, fursa ndo hii hii Watz tusifanye kosa mwaka huu
 
Dah! Yaani mawazo yako kama yangu mkuu Lowasa kamwe hawezi Pata kura yangu bali ubunge, udiwani Sawa.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Huu ni msimamo wangu binafsi simlazimishi mtu yoyote kuufuata maana waswahili wanasema" Wengi wape".
MUNGU akipenda tarehe 25/10/2015 siku ya uchaguzi nitafanya ifuatavyo.
1. Ubunge: Nitampigia kura ya ndiyo mbunge toka UPINZANI.

2. Udiwani: Nitampigia kura ya ndiyo diwani toka UPINZANI.

3. URAIS: Kura itaharibika maana Lowasa simkubali hata kidogo. Siwezi shiriki dhambi ya kumkabidhi nchi hii Edward N. Lowasa.
Hata ikitokea ENL akashinda binafsi sitamtambua kama Rais wangu (atakuwa rais wa hao waliompitisha).
HUU NDIYO MSIMAMO WANGU MIMI. Naomba msimamo wangu uheshimiwe

Msimamo mzuri lakini jaribu kufikiria zaidi.
 
Mag3 sio wewe bali na mahaba yako ndiyo yamekusukuma kuchakachua na kuhakikisha unaleta list yako mpya ambayo Dr Slaa hajawahi kuitoa lengo lako ni utafute tu upenyo wa kuingiza jina la Dr John Magufuli.
Hii si akili salama.

Nakuomba tu mahaba niuwe wako tukimkata sie wananchi tar 25 oct mtulie tuliiii ili watu tuendelee na kuijenga nchi yetu pendwa.

Watu tunataka mabadiriko yasiyoongozwa na jizi la aina yoyote kwa mujibu wa takwimu.

MUNGU akubariki na ulindwe kwa damu ya YESU.
 
Hakuna mabadiliko bila kuitoa CCM na ili ccm ccm ivunjikr ni lazima ivunjwe na mwanaccm
nikuulize swali do go kama Una ufahamu wa biblia..... hivi kama kama waisraeli wangemkataa Musa kwa Sababu tu alikulia na kuishi kwa farao wangeokolewa kweli???
tunakubali kuwa Lowasa kama binadamu yoyote anamapungufu yake lakini Ana mvuto Ana mtaji mkubwa wa watu utajiri wa kisiasa si pesa ni watu
kama ubalipenda boga penda na maua yake

Kumlinganisha Lowasa na nabii Musa ni kosa kubwa sana.
Pia kukubali mabadiliko kuletwa na mCCM pia ni kosa la karne.
CCM wameharibu nchi, halafu hao hao CCM wajekuiokomboa nchi kwa kupitia mlango wa kushoto. Hapana hapa tutarajie NOTHING kwa kweli.
 
Huu ni msimamo wangu binafsi simlazimishi mtu yoyote kuufuata maana waswahili wanasema" Wengi wape".
MUNGU akipenda tarehe 25/10/2015 siku ya uchaguzi nitafanya ifuatavyo.
1. Ubunge: Nitampigia kura ya ndiyo mbunge toka UPINZANI.

2. Udiwani: Nitampigia kura ya ndiyo diwani toka UPINZANI.

3. URAIS: Kura itaharibika maana Lowasa simkubali hata kidogo. Siwezi shiriki dhambi ya kumkabidhi nchi hii Edward N. Lowasa.
Hata ikitokea ENL akashinda binafsi sitamtambua kama Rais wangu (atakuwa rais wa hao waliompitisha).
HUU NDIYO MSIMAMO WANGU MIMI. Naomba msimamo wangu uheshimiwe

wewe ni gambaa
 
Kura yangu ilikuwa inamsubiri Jemedari Wilbroad Slaa; sasa ndiyo hivyo tena. Genge la wanyang'anyi kutoka CCM limevamia CDM. Siwezi mpa kura yangu kiongozi mkuu wa MAFISADI.

Sawa unatakaje na sisi tumpigie kura Magufuli au?
 
Back
Top Bottom