Msimamo binafsi: Mabadiliko (Yes) Lowasa (Big No)

Msimamo binafsi: Mabadiliko (Yes) Lowasa (Big No)

hili la kueleza dhambi ya lowasa hata maprofesa limewashinda.unapozungumzia kutokumpigia kura lowasa bila kuainisha sababu za msingi inanifanya niwadharau watoa mada wa aina hii maana na mimi nataka nielimike juu ya madhambi ya lowasa kwa ushahidi wa kutosha.

na leo kaweka ule mkataba wa richmond peupeee
 
Usijali.
Wapo watu ambao hawakumtambua JK kama Rais ila ndo amekula nyundo zake 10 na mijihela aliyojichotea kwa style mbali mbali ndo anaondoka nayo hivyo kuelekea zake kileji kwao kupumzika.
 
Back
Top Bottom