Hii definition yako ya kustaarabika niMimi Muafrika. "Kustaarabika" ni kuwa muarabu. Mzizi wa "ku sta arab ika ni kutaka kuwa muarabu.
Sitaki utumwa wa akili wa kutaka kuwa muarabu.
Ndiyo maana hata hizi habari za kuingia msikitini na kusujudu kwa waarabu sizitaki.
Kwa nini nitake kuwa muarabu wakati mimi Muafrika?
Etymological.Hii definition yako ya kustaarabika ni
Stylistic
Thematic
Denotative
Conceptual
Contextual au....
Kwanini afanye hivyo?Kwa nini Allah hajafanya hewa ya Msikitni iwe inasafisha uchafu wote automatically hata kama mtu akingia na viatu vichafu viwe visafi?
Alishindwa kufanya misikiti iwe hivyo?
That is why you are wrongEtymological.
Kwa sababu kama Mungu mwenye uwezo wote, ana uwezo wa kufanya hivyo. Kwa nini asifanye hivyo wakati anaweza kuwarahishia viumbe wake mambo?Kwanini afanye hivyo?
However wrong I am, you are more so.That is why you are wrong
Mhhh english hii balaa[emoji125] [emoji125] [emoji125]However wrong I am, you are more so.
Because you are just saying that I am wrong, you did not even show how.
Sasa utakua umeenda kuswali au kutafta shariWeka jina la msikiti nikajaribu...nione huyo atakayenizuia,patachimbika.
Kwanini umpangie afanye upendacho wewe.Kwa sababu kama Mungu mwenye uwezo wote, ana uwezo wa kufanya hivyo. Kwa nini asifanye hivyo wakati anaweza kuwarahishia viumbe wake mambo?
Kwa sababu kama Mungu mwenye upendo wote, ana upendo wote wa kufanya hivyo. Kwa nini Mungu mwenye upendo wote asifanye hivyo wakati anaweza kuwaonesha upendo huo viumbe wake?
Kwa sababu kama Mungu mwenye ujuzi wote, ana ujuzi wa kufanya hivyo. Kwa nini asifanye hivyo wakati ana ujuzi wote wa kuwarahisihia viumbe wake mambo?
Swali lenye mantiki hapa si kwa nini afanye hivyo.
Swali la mantiki hapa ni kwa nini hakufanya hivyo?
Hujalijibu swali hili.
Sikutemea ujenge hoja yako kwa kutegemea etymological meaning, you have seen the truth as it appears to you not the truth as it isHowever wrong I am, you are more so.
Because you are just saying that I am wrong, you did not even show how.
Mtoa mada mchochezi. Njoo huku nikuinyeshe mabasi ya njano, yameandikwa: INDIAN SCHOOL.Wewe kama sio muumini wa huo msikiti
unakuwashia niini?
mbona misikiti ipo mingi tu Tanzania?
Jamani faizaHahaa mdada una mikwara kumpita faizafoixy sijui kafia wapi.
Kwanini umpangie afanye upendacho wewe.
Halafu unatumia neno 'mantiki' bila ya kujua maana yake
Umesema tu.Sikutemea ujenge hoja yako kwa kutegemea etymological meaning, you have seen the truth as it appears to you not the truth as it is
Matusi ni kimbilio la mjinga mwenye gubu siyejua kujieleza vizuri.ha ha ha ha ha ngoja wakuone usubiri matusi
Kwa nini ubaguliwe kwenye ibada? ! Kama kweli nia ni kumwabudu mwenyezi MunguUlifuata nini msikiti wa Shia kama siyo mwizi wa viatu??
kaneno kengine kenye utata ni kizunguzungu, kwanini isiwe kiafrikaafrika? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umesema tu.
Hujatoa sababu za kuridhisha kuonesha kwamba uliloandika ni kweli.
Etymology inaonesha mzizi wa mwanzo wa neno lilivyotokea na saikolojia ya kuwepo neno hilo, kwamba uarabu ndio mzuri na uafrika si mzuri.
Ndiyo maana tunasema "ustaarabu" na si "ustaafrika".
Hiki ni kitu ninachokataa, kwani ni utumwa wa akili mamboleo kama vile kusema watu waswali kuelekea Mecca au watu waseme Wayahudi ni taifa teule la Mungu.
Ni ujinga ule ule tu.
Si kweli ,waafrika wanaswali katika msikiti na Mimi pia nimeshaswali Mara nyingi tu,labda walikushtukia wataka uibe viatu,though I doubt kama wewe ni muislamuHuu ni Msikiti wa Shia Ithinasharia katika Itikadi hii waswahili huwezi waoma wengi kutokana kuwepo kwa tofauti ya mapokeo. Waswahili ni wachache na wengi wao husalia kwenye Msikiti wao uliopo kule Kigogo.
HUO MSIKITI UPO JILANI NA LILIPODONDOKA LILE GHOROFA...NAZANI NI MTAA WA IDRAGANDI;
ULE MSIKITI KWAKWELI WANAOSALI NI WEUPE TU; NA WALIUJENGA SPECIAL KWA AJILI YAO! RANGI NYEUSI NI MARUFUKU! NAUJUWA