Huwezi kulalamika kubaguliwa katikadini ambayo imejengwa katika msingi wa kuwabagua watu wengine kwamba hawamjui Mungu na watu wa dini hiyo tu ndio wanamjua Mungu.We ndiyo mwenye kuokoteza vitu hewani. Kuvua kwa viatu msikitini kuna mahusiano gani na ubaguzi?
Kila sehemu kuna utaratibu wake,hata ofisini kuna taratibu zake. Sasa wewe unataka utaratibu wa sehemu nyengine ndiyo utumike pahala pengine.
We kama ulizoe utaratibu wa kuingia na viatu kanisani basi usitake kufanya na sehemu zengine kuwe na utaratibu huo huo.
Sasa kama having power to do something does not force god to do that something, kwa nini kawa na power ya ku allow evil iwezekane halafu akaiachia iwezekane wakati hakuwa forced kuachia evil iwezekane?Logical consistence inakujaje? usichoelewa ni kuwa having power to do smething hailazimishi kufanya kitu hicho. kuna several reasons behind doing or not doing s.thing, is not just a matter of power. uwe unaleta facts sio fallacies, sawa?
That is beside the question.When you are in Rome, Do as the Romans do.
Ujue katika somo la clinical psychology watu wanaoongoza kuona wenzao hawana kitu kichwani ni wale wasio na kitu kichwani.Ahaha Jamiiforums bwana. Yaani kuna watu wanaandika kama hawana kichwa.
Tunafuata mila ya Nabii Ibrahim, walio amini wote wanapswa kukata magovi ! ndio maana Wayahudi ni tofauti na Wakiristo !Sasa kumbe kuna UBAGUZI namna hiyo?
Msikitini mnaponya roho za watu au Dushe zao, mpk muwaexclude wenye magovi?
Hiyo ndiyo hasara ya kujiona unajua saana mwishoni unavamia mambo hata usiyoyajua na kujitia aibu.Huwezi kulalamika kubaguliwa katikadini ambayo imejengwa katika msingi wa kuwabagua watu wengine kwamba hawamjui Mungu na watu wa dini hiyo tu ndio wanamjua Mungu.
Msingi wa dini hii ni ubaguzi.
Utalalamika vipi kwamba dini ina ubaguzi wakati msingi wake ni ubaguzi?
Ina maana kila siku hujui kwamba ukisema tu "la ilaha illallah muhammadur rasulullah" ushakuwa mbaguzi umewabagua ma Buddhist na Wakristo na Wayahudi kwamba wanaabudu uongo?
Such hypocrisy!
Huyu Kiranga anajua ukweli ........basi tu ujeuri, siku moja afunge mkojo wiki nzima ndo atajua Mungu yupo au ni stori !Huwezi kulalamika kubaguliwa katikadini ambayo imejengwa katika msingi wa kuwabagua watu wengine kwamba hawamjui Mungu na watu wa dini hiyo tu ndio wanamjua Mungu.
Msingi wa dini hii ni ubaguzi.
Utalalamika vipi kwamba dini ina ubaguzi wakati msingi wake ni ubaguzi?
Ina maana kila siku hujui kwamba ukisema tu "la ilaha illallah muhammadur rasulullah" ushakuwa mbaguzi umewabagua ma Buddhist na Wakristo na Wayahudi kwamba wanaabudu uongo?
Such hypocrisy!
Tunafuata mila ya Nabii Ibrahim, walio amini wote wanapswa kukata magovi ! ndio maana Wayahudi ni tofauti na Wakiristo !Sasa kumbe kuna UBAGUZI namna hiyo?
Msikitini mnaponya roho za watu au Dushe zao, mpk muwaexclude wenye magovi?
Waarabu hawana Dini yao kwa maana ya Uislaam, ndio maana hauitwi Ukiristo kuwakilisha jina la mtu, au Uyahudi kuwakilisha kabila. Kuna mtu mweusi akiitwa Bilal ambaye alitangaza Uislaam bega kwa bega na Mtume Muhammad Saw. AzarelHahaha...wewe ni Mbantu tu mbele ya waarabu na dini yao
Kuna msikiti fulani upo maeneo ya posta jijini daresalaam huwa siwaelewi waumini wake?
Katika uchunguzi wangu nilipata kuambiwa kuwa watu weusi hawaswali katika msikiti huo, pia kuna ubaguzi wa rangi !!
Inawezekanaje wazawa wabaguliwe katika nchi yao ? Natamani kusikia shuhuda na adha za wenzangu walioweza kuhudhuria msikiti huu wa posta .
Hamna haja ya kuutaja wahusika wanaujua
Wewe ambaye hujaonesha sijui nini una hatari ya kuwa hujui ninachojua mimi wala unachojua wewe.Hiyo ndiyo hasara ya kujiona unajua saana mwishoni unavamia mambo hata usiyoyajua na kujitia aibu.
Ishia kubishana na yale mambo yako uliyoyakariri kinyume na hivyo ni mtupu sana Kiranga.
That is a logical non sequitur.Huyu Kiranga anajua ukweli ........basi tu ujeuri, siku moja afunge mkojo wiki nzima ndo atajua Mungu yupo au ni stori !
Una matatizo ya kisaikolojia.Wewe ambaye hujaonesha sijui nini una hatari ya kuwa hujui ninachojua mimi wala unachojua wewe.
Wataalamu wa Saikolojia wanasema kwamba dalili moja kubwa ya watu wenye matatizo ya kisaikolojia ni wao kuona wengine wana matatizo ya kisaikolojia.Una matatizo ya kisaikolojia.
And that is beside the AnswerThat is beside the question.