Msikilizeni Waziri mwenye Dhamana

Yan Watz mna Nini lakn mtu akiwaonesha ushirikiano mnataka kumchokonoa kila siku
Mm nafikiri kila mtu ajitambue kwa nafasi yake usishindwe kuwakanya wanao arf ukaja kumpigia kelele mtoto wa mwenzio ili aje kukulelea
 
Leo umeamka vibaya hadi kwangu? Si sawa hata kidogo. Ulichelewa kulala? Au mjomba hakukugusa kabisa usiku? Usiwe hivyo aunt. Muwe na ninyi sometimes mnaomba game.
Yaani kukuambia edit replace continue ndiyo umebadilisha mwelekeo wa hoja kabisa.... sasa huko elekea mwenyewe tafadhali πŸ‘‹, ufike salama.
 
Yan Watz mna Nini lakn mtu akiwaonesha ushirikiano mnataka kumchokonoa kila siku
Mm nafikiri kila mtu ajitambue kwa nafasi yake usishindwe kuwakanya wanao arf ukaja kumpigia kelele mtoto wa mwenzio ili aje kukulelea
Mkuu vijana wa Tanzania wamekuwa kama matilatila fulani hivi waka hatujui tusimamie lipi. Waziri anasakamwa mpaka kwenye kazi za mambo ya ndani eti aifanye yeye kwa vile tu wizara yake ni ya maendeleo ya jamii. Jitu linaibuka kulalamikia mmomonyoko wa maadili unajiuliza yeye kwake kafanya nini kuyadhibiti hayo? Eti waziri wa maendeleo ya jamii akadhibiti betting? My foot!!
 
Siyo kauli sahihi hii kwa waziri! Hebu tuwe na adabu aiseee! Leo waziri kakesha na watu mtandaoni watu mnaona tena vibaya? Nimeamka saa 9 nikakuta waziri yupo anaijibu hoja za watu! Huyu mama Mungu amjalie kila hitaji la moyo wake! Angekuwa na jimbo ningemwombea kwa Mungu apewe hata ya Uwaziri Mkuu!
Leo umeamka vibaya hadi kwangu? Si sawa hata kidogo. Ulichelewa kulala? Au mjomba hakukugusa kabisa usiku? Usiwe hivyo aunt. Muwe na ninyi sometimes mnaomba game.
 
Ni upumbavu tu maana yapo mambo kweli yanatakiwa yasimamiwe na serikali lkn yapo ambayo yanatakiwa kutendwa ngazi ya familia
Kwa mfano suala la ulevi ni la kutaka serikali nayo ije kuzuia kwako?
Mimi kwa upande wangu baraza la mawaziri linalo maliza muda wake Mh Dorothy Gwajima ni the best one kwangu
Kwasababu amekuwa simple ukiwa na shida anapatikana tena anakupa ushirikiano mzuri sana
Kwahy mwachen apumzuke kazi yake ilikuwa njema sana
 
Ndgu zipo familia ambazo huwezi ona watoto wanaona upuuzi wa aina yoyote.

Wewe mzazi ushajua taarifa ya habari wanatoa matangazo ya pombe, kwani una channel moja kwenye king'amuzi chako?? Au huna hela ya kulipia kuangalia channel nyingine basi hasira zako unazimaliza kwa wizara??

Kuna njia nyingi mno za kukwepa hayo matangazo, watoto wala sio wapenzi wa mambo serious kama taarifa ya habari.
 
Mkuu ni vituko na uvivu wa kufikiri uliokithiri.
Yaani mtu aanze ulevi na kubeti mwenyewe halafu ailaumu serikali.

Mwisho watasema watu wafunge bar kisa udhaifu wao wa kulewa hovyo.
 
Yaani shangaa wewe sasa. Binafsi, nafasi hii ya siasa imenipa faida ya kuijua sehemu kubwa ya jamii yetu kuwa, kumbe kutoa ushirikiano kwa wengine huona kuwa ni kufanya ujinga ujinga tu na kukosa kazi na ndiyo maana kumbe, walio wengi huamua nusu shari kwa kutokuwa na account hai kabisa kuliko shari kamiliπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…. Ila, mimi acha niendelee tu kuwepo hadi mwisho maana, nina hakika ni mbingu tu ndiyo zitaongezea hesabu ya faida.

Ila, watanikumbuka kwa mazuri hayo hayo machache wakati unakuja mbio sana.
 
Yaani kukuambia edit replace continue ndiyo umebadilisha mwelekeo wa hoja kabisa.... sasa huko elekea mwenyewe tafadhali πŸ‘‹, ufike salama.

Sawa utanikuta nimeshatangulia. Natumaini hujambo lakini? But nge edit wapi wakati mwandishi ni wewe? Anyway isiwe kesi sisi sote ni kitu kimoja. U hali gani lakini?
 

Pumbavu wewe hujui kitu. Waziri ni binadamu na hapa pia tunamchangamsha siyo kila wakati afikirie kazi tu. Pia huyu ni waziri wa Jamii na Jamii yenyewe ndo hii. Hujui kitu nyamaza kilaza wewe. Yeye anajua huku anakutana na vichwa vyote na ana handle ndo sababu mpaka leo anakubalika na kupendwa sababu anapokea watu mbalimbali na wengine walipaswa kuwa milembe yeye ana deal nao. We umemwona analalamika? Au unaleta kiherehere chako na kujikomba?
 
Jibu hutegemea muundo wa hoja? Kama goja inalazimisha kuwa, hili liko hivi na siyo vile, wakati jambo lenyewe ni ka kiufundi, na mimi nipo na mafundi wenyewe na hawasemi hivyo, ili nichukue hoja yako, si inabidi nikuulize uthibitisho wa ufundi wako?
Kauli "Upo na mafundi na mafundi hawasemi hivyo" - inamaanisha maamuzi unayotoa si kwa uelewa wako bali kuna watu wako nyuma yako.

Kwanini wewe na mafundi wako mnafikiri kwamba hoja ikija na mantiki bila cheti, huwa haifai?
 
Kweli hii ni Kula chuma hicho 🀣🀣🀣
 
Kauli "Upo na mafundi na mafundi hawasemi hivyo" - inamaanisha maamuzi unayotoa si kwa uelewa wako bali kuna watu wako nyuma yako.

Kwanini wewe na mafundi wako mnafikiri kwamba hoja ikija na mantiki bila cheti, huwa haifai?
🀣🀣🀣 Mtamuua
 
Hatarii,Serikali inafungia taasisi ya kidini ,Mama anakuja kuzindua jengo la taasisi ya kidini,Mawaziri wanatuelekeza kuwa kutumia vitabu vya Dini,

Mwaka huu tutachanganyikiwa sisi
Smh πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…