Msikilizeni Waziri mwenye Dhamana

Mheshimiwa!!
Mwenyezi Mungu kawaamini muisidie hii Nchi,,,
Kemeeni vitu vya hovyo jamani,,,

Kuna wakati utafika mtatakiwa Kutoa hesabu kwa Mungu,,
Utaulizwa ulipokuwa Waziri ulinisaidiaje watu wangu?!!

Ulisimama kwenye zamu Yako?!!

Sidhani kama zamu Yako ni mapambio unayoimba wakati jamii inateketea !!
 
Uzuri kumbe nitakuwa namjibu Mungu aliyeniwezesha mafanikio kama hivi kwenye bango hapa chini. Halafu nitamwambia, nilikuwa naimba kukusifu kwa kuniwezesha na kesi itaishia hapo.

Kisha, atakuuliza wewe upi ulikuwa mchango wako kwenye mafanikio haya, nina hakika utabaki huna majibu. Kesi itabaki kwako, Hapo vipi sasa
 
Naona Madam kaita kikosi kazi,

Hay,Nijibubu wewe ndugu,wanaotekwa ni jamii ipi na wanao bakwa ni jamii ipi,Alafu Madam ni waziri wa ustawi wa jamii ipi?πŸ˜‚πŸ˜‚
Acha siasa kwenye mambo yasiyohitaji siasa.
 
Kama hujamwita mwambie asiingilie hii maada,

Alafu nikuulize wapi nimekutukana au nimekuvunjia heshima?
Ukiandika upuuzi nitaingilia. Huwezi kumkosea adabu waziri tukakuchekea. Wewe ukiulizwa umelifanyia nini taifa una cha kujibu?
 
Sasa kama swali hili linakushinda itakuwaje Madam,Bora usingejibu,

Umenipeleka CBE nikakuambia nimemaliza ukakimbia,Basi saiv unanipeleka TengeruπŸ˜‚πŸ˜‚

Uko Sawa wewe kweli?
Wewe ukikaa kimya utapungukiwa nini? Fake ID isikufanye uvuke mipaka.
 
Hiki ni kipengele kidogo sana kwenye Wizara kubwa kama Yako..
Ya Mimi kwa uelewa wangu mdogo ndio msingi wa Taifa lolote imara kwa sababu kwenye jamii Bora ndio Kuna Taifa bora.


Maandiko yanasema kusifu kunawapasa wanyoofu wa moyo Zaburi 33:1

Wewe hujanyooka Mama,,.kwa sababu Kuna vitu hukemei ,,jamii inazama.
 
Hiyo ni ufupi. Vipengele kwa upana zaidi ingia www.jamii.go.tz kasikilize hotuba zetu za utekelezaji.

Aidha, Nitaendelea kufanya kazi ndani ya wigo wa maandiko ya majukumu yangu yaliyoko mezani hata kama kuna wengine kama wewe hawataelewa. Na kutoelewa kwako inatokana na kutosikiliza na kufahamu majukumu gani yako wizara gani, sasa hilo mimi haliniondoi kwenye mstari ninaotakiwa kupita. Itabaki kuwa changamoto yako ya kuifanyia kazi.
 
Your browser is not able to display this video.

πŸ‘†πŸ‘†Nimeshangaa sana, una Bibilia kubwa sana,,Ina Kila kitu lakini huoni,, Mheshimiwa mwenye Dhamana ya jamii....
Mi nakwambia kuleni hayo mafao ila Siku zinakuja ambazo mtatamani kutapika kwa sababu mlichagua kujinufaisha bila kusimama kwenye zamu zenu.
 
Mwenye haki huwa imara nyakati zote, soma maandiko ya tangu kuumbwa dunia tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…