Msikilizeni Waziri mwenye Dhamana

Hao wakulima wenyewe wanalo jukwaa lao la wakulima na viongozi wao. Wewe umefanya CSR tu kama mimi hapa. Na huu ni upendo tu. Na kwa kutambua kuwa, mimi ba wewe tuna ukomo wa kukutana mahali hapa, ndiyo maana ili kuendeleza huduma ikaja hoja ya call center, wewe sasa wape wakulima wooote wa huko uliko ili nao siku ingine, moja kwa moja wajue kuna call center 😄, wenyewe wanaita eti uendelevu au sustainability
 
Sasa unataka nianze kufukuzwa kwenye vijiwe vyetu vya gahawa..., (by the way kutuita wakulima unatupa cheo hii Tanzania wengi wetu ni peasants na sio farmers) hapa wananiuliza kwanini wanakatazwa kutumia kuni eti watumie gesi ambayo pesa za kununulia hawana na wanapewa mitungi ambayo kuijaza ni mpaka watumiwe pesa na ndugu zao mijini ambao hata hawatumi tena kutokana na kwamba Tozo zimekuwa juu....., Sasa niwaambie mambo ya Call Center si wataona labda nimeanza kutumia sigara kubwa.... Anyway kuna mambo mengine yanahitaji political will kidogo sana ila impact yake ni kubwa...; case in point....


 
Haya sasa baada ya kumshushia mwenzio matusi umefaidika na Nini?
1. Faida niliyopata ni kutoa sumu mwilini ambayo ingebaki ingeniathiri mimi
2. Pili sijamtukana na kama kuna tusi sehemu nioneshe nimwombe msamaha mhusika.
 
Mbona yote tumefanya? Kipendacho roho tu. Ngoja na wewe nikupe mawasiliano ili unisaidie kuwa sehemu ya kupitia huko
By the way ushauri hao ambao wapo kwenye call centre na nina uhakika tunawalipa kwanini mara nyingine wakati hawajibu simu wawe na akaunti humu ya Ustawi Call Centre wawe wanajibu maswali ya watu na dukuduku.., ofcourse sitegemei wewe kujibu kila swali la Juma Hamisi, Shabani na James..., ila hao huenda wakawa wanajibu na mengine wanayachuja na kukuletea (Pia washauri wizara nyingine kwamba wakiweka hizi Contacts ziwe two way na kujibu maswali na sio kutumia kama platform ya kutoa matangazo yao bila malipo)
 
Akakutana na vichwa vya matakataka kama wewe, kuwa na akili za kipumbavu nayo imekuwa sifa kwako? Huna hekima hata kidogo pumbavu wewe. Kwa mwenye hekima hawezi kutumia hayo maneno uliyotumia, chunguza chats zote za leo aliyotumia maneno ya kipumbavu ni wewe tu peke yako hujihurumii?
 
Kuhusu call center za wizara ya maendeleo ya jamii pia, zinaruhusu kutuma sms ili, ikitokea changamoto labda hawajapokea, basi tujue pa kuanzia. Ndiyo maana na mimi kama rufaa ya mwisho kabisa, namba yangu iko hapo kwa sms. Wengi tumeshirikiana. Hatua inayoendelea ni kuwa na dashboard kabisa online kuona mwitikio na mwenendo. Ahsante kwa maoni.

Kwa upande wa wizara zingine, watafurahi sana kusikia sauti ya mwananchi moja kwa moja ikowashauri, naomba uwafikie tu tafadhali. Ahsante sana.
 
Pumbavu/kilaza wewe hujui kitu. Waziri ni binadamu na hapa pia tunamchangamsha siyo kila wakati afikirie kazi tu. Pia huyu ni waziri wa Jamii na Jamii yenyewe ndo hii. Hujui kitu nyamaza kilaza wewe. Yeye anajua huku anakutana na vichwa vyote na ana handle ndo sababu mpaka leo anakubalika na kupendwa sababu anapokea watu mbalimbali na wengine walipaswa kuwa milembe yeye ana deal nao. We umemwona analalamika? Au unaleta kiherehere chako na kujikomba?
 
Amen
 
Saana tu kwenye eneo langu 👇👇👇 ikiwemo namba yangu binafsi miaka yote sms moja kwa moja, imo humo, wape na wengine kwenye mtaa wako unakoishi🤗
Wewe ni kiongozi wa mfano. Tanzania itafaidika sana ikiweza kukupata wewe kama Rais baada ya Samia S Hassan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…