MNEKI
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 992
- 1,310
Mama unachokihubiri na unachokiishi ni vitu viwili tofauti wewe kama Waziri mwenye dhamana ya maendeleo ya jamii umechukua hatua gani :
Kabla ya kutuhubiria
Neno hilo lingeanza kukusaidia wewe Kuona vitu vinavyoharibu jamii....
Mfano
-Kuna matangazo ya pombe
-Betting
-Michezo ya bahati nasibu
Haya yote yanafanyika kiholela sana. Kuna vitu vinapandikizwa kwa jamii hasa watoto wetu mapema sana na ndio chanzo kikubwa cha mmomonyoko wa maadili kwenye jamii, Uvivu na kudumaza fikra za vijana wengi kutoona fursa.
Mmomonyoko wa maadili hauji ghafla kama chafya,, ni vitu Hivi ambavyo mnapuuza.
Mama haya ulipaswa kuyasimamia hata kwa gharama ya kujiudhuru kama ungekosa ushirikiano.
Vinginevyo , mtakuja kuulizwa maswali magumu sana kwa Mungu kwa nafasi za uongozi mlizopata hapa duniani.
"Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure." Kutoka 20:7