Msihangaike wanajamii kuwagoogle mapacha

Msihangaike wanajamii kuwagoogle mapacha

mkuu, hata daily news now waliandika hiyo habari.
 
mkuu ungejaribu kumtafuta mtu ambaye yupo hata massachz akueleze kidogo kuliko kukurupuka kama uko usingzi
 
True say, I looked for their details never found one!

Kuna walakini sana katika hiyo story......
 
Nipo makini mkuu, mapacha hao walimaliza form 4 skuli moja kule Arusha 2007. Kwa hiyo nawafahamu kabisa, hata hayo majina wanayotumia si ya kwao.
mkuu si utueleze na sisi tuwafahamu kwa jinsi unavyo wafahamu!!
 
maliza story yako ww unawajuaje id yako haiendani na maelezo yako
 
mapacha walioandikwa na mwananchi kuwa wanasoma havard si za kweli hata kidogo.Watu ambao hawajapata elimu ndio wamezoea kudanganywa na mapacha hao. Vijana hao hawatumii majina yao halisi ili waendelee kudunda bila sisi kuwafahamu. Ila mwandishi wa mwananchi hajafanya uchumbuzi yakinifu kabla ya kuandika umbea uliokithiri kama huu. Kwa hiyo ingetokea mapacha hao wangesema wamekwenda mbinguni na kurudi angeandika?

Mkuu umenena, hawa jamaa mi mwenyewe nilifanya nao kazi kwa muda kama waalimu kule Arusha. Pia wanajiita Hassan na Hussein. Hawa jamaa nina wasiwasi watakuwa wapelelezi flani hivi wa serikali.
 
maliza story yako ww unawajuaje id yako haiendani na maelezo yako

Hawa wanaweza kuwa wapelelezi flani hivi, wanatumia majina tofauti tofauti kutokana na mahali walipo. Mi nimewahi kukaa nao kwa vipindi vwili tofauti, awali walikuwa wanajiita Hassan na Hussein. Awamu ya pili(2011) walikuja shule flani hivi kule Arusha inaitwa Moita Bwawani kama walimu wa muda, hapa wakawa wanajiita Salvanus na Sylvanus. Matapeli watupu.
 
Si niliskia wanaenda kupiga picha na msanii mkuu ndipo na nyie wengine ndo mtapata nafasi ya kuwapiga hata picha, wizi mtupu
 
True say, I looked for their details never found one!

Kuna walakini sana katika hiyo story......

Mkuu, you are looking for imagination, there is nothing like that. Hawa ni matapeli, kama upo Arusha unaweza wapata, au angalau ukapata details za kutosha.
 
hasa luten roc .si ufunguke unavyowafahamu....?
 
Kama upo Arusha useme nikuambie jinsi ya kuwafahamu zaidi.

...Wewe unamlaumu muandishi wa habari kwakutofanya utafiti wa kutosha kuhusu hao mapacha...halafu wewe unajikanyaga kanyaga katika kutueleza jinsi unavyowafahamu, mpaka kwanza tuwe Arusha!! Are you Serious, supposedly Great Thinker?? :dizzy:
 
...Wewe unamlaumu muandishi wa habari kwakutofanya utafiti wa kutosha kuhusu hao mapacha...halafu wewe unajikanyaga kanyaga katika kutueleza jinsi unavyowafahamu, mpaka kwanza tuwe Arusha!! Are you Serious, supposedly Great Thinker?? :dizzy:

Mbona mimi nimefunguka sana ninavyowafahamu? Labda mtoa mada afunguke zaidi, au kama kuna ambacho hujaelewa zaidi ndo uniulize. Acha kublame wakati hujasoma coment zangu zote. Tangu hii mada iletwe kutoka Daily news nilishafunguka. Nilimwambia kama yupo Arusha ili nimwelekeze mahali pa kwenda na angepata details zaidi.
 
mkuu nipo Pandagichiza!kwani hiyo issue ni ya siri hadi isiwekwe hapa!

sijamaanisha kwamba ni siri, nilikuambia hvyo ili nikuambie pakwenda na ungepata details zaidi ya nilizofunguka hapo. Kama nilivyosema, hawa jamaa kma sio mashushu wa serikali, basi watapeli tu kwasababu hawatumii jina 1. Leo Hassan na Hussein , kesho Salva na Sylva.
 
mi nilishangaa tu waandishi wanaambiwa msitupige picha hadi tuongee a mukulu. nikajua manabii wapya wamekuja.
 
mkuu si utueleze na sisi tuwafahamu kwa jinsi unavyo wafahamu!!

Mkuu ndio natafuta namba za classmates schoolmates wao wawathibitishieni humu humu Jamiiforum kama supporting evidence kwenu waheshimiwa. Nami nikipata simu zao nitawapandia niwaungamishe dhambi hii ya uongo.
 
Mwenye id yake awe wa kwanza kurusha jiwe kwa mapacha jumapili njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom