Msigwa nae kaja na kijembe cha mwaka

Msigwa nae kaja na kijembe cha mwaka

Road yenyewe haina hata magar kwa inavoonesha ila ina trafic light
 
Hivi Mh.Peter ni mchungaji wa dhehebu gani wakuu?
 
Wapinzani wa awamu ya Rais Magufuli kwa sasa wamebaki ku-recyle hoja zile zile kutokea wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Mbaya zaidi hata hoja hawana na walichobaki nacho ni vijembe vya kupitishia siku kwa wafuasi wao wenye akili za kudeki barabara.

Hii hoja ya Traffic light imekuwepo tokea kipindi cha kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015.

Hizi ni hoja za kupitishia siku ambazo ukiamka kesho unakuwa umesahau jana alisema/aliandika nini?

Upinzani wa awamu ya Rais Magufuli unasikitisha sana!

Kwa sasa neno ufisadi katika midomo yao ni kama Paka na panya.
Haina jinsi inabid iwe hivyo Mkuu.
 
Sawa mweny akili za makinikia,maana c kosa lako
 
Ila ukisoma wachangiaji kwenye tweet yake wengi wamemponda sana
 
Wapinzani wa awamu ya Rais Magufuli kwa sasa wamebaki ku-recyle hoja zile zile kutokea wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Mbaya zaidi hata hoja hawana na walichobaki nacho ni vijembe vya kupitishia siku kwa wafuasi wao wenye akili za kudeki barabara.

Hii hoja ya Traffic light imekuwepo tokea kipindi cha kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015.

Hizi ni hoja za kupitishia siku ambazo ukiamka kesho unakuwa umesahau jana alisema/aliandika nini?

Upinzani wa awamu ya Rais Magufuli unasikitisha sana!

Kwa sasa neno ufisadi katika midomo yao ni kama Paka na panya.
Shujaa nani mkuu, nialie tengeneza formula mzee au mbunifu. Haya mambo tulimwomba Mungu atupe jasiri wa kuvunja miiko ya ccm na atekeleze yote WAPINZANI wanayoyalalamikia wewe unarukaruka kwa lipi, nyumbu hajitambui kama wewe.
 
Wapinzani wa awamu ya Rais Magufuli kwa sasa wamebaki ku-recyle hoja zile zile kutokea wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Mbaya zaidi hata hoja hawana na walichobaki nacho ni vijembe vya kupitishia siku kwa wafuasi wao wenye akili za kudeki barabara.

Hii hoja ya Traffic light imekuwepo tokea kipindi cha kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015.

Hizi ni hoja za kupitishia siku ambazo ukiamka kesho unakuwa umesahau jana alisema/aliandika nini?

Upinzani wa awamu ya Rais Magufuli unasikitisha sana!

Kwa sasa neno ufisadi katika midomo yao ni kama Paka na panya.
Sasa hivi ni muhimu sana kutumia akili badala ya nguvu
 
Salary slip = fred lowsa alihama na baba yke kutoka ccm kwenda CDM kwa hiyo anajitahidi kumchafua rais ili awe sawa na baba yake
Maana richmundi inafufuliwa upysa
 
Msigwa=Ni mtu anaye sengenywa kwa kisukuma, maana yake wakati anazaliwa walimpatia jina la kisengenyaji na ndiyo maana usengenyaji na unafiki na uongo ni jadi yake, na diyo maana alikimbia hata kuhubiri kwa sababu alikosa waumini kwa sababu ya kusengenya kwa sababu yeye ni msengenyaji.
wakianza kutafsir maana ya majina utavumilia? unajua maana ya pombe na madhara yake?
 
Wapinzani wa awamu ya Rais Magufuli kwa sasa wamebaki ku-recyle hoja zile zile kutokea wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Mbaya zaidi hata hoja hawana na walichobaki nacho ni vijembe vya kupitishia siku kwa wafuasi wao wenye akili za kudeki barabara.

Hii hoja ya Traffic light imekuwepo tokea kipindi cha kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015.

Hizi ni hoja za kupitishia siku ambazo ukiamka kesho unakuwa umesahau jana alisema/aliandika nini?

Upinzani wa awamu ya Rais Magufuli unasikitisha sana!

Kwa sasa neno ufisadi katika midomo yao ni kama Paka na panya.
Hujawasikia wakisema kuhusu ufisadi wa mv dsm, nyumba ya serikali, uwanja wa ndege chato?!
 
Hivyo vitaa viliosimamia chuma ni shilling ngapi? Mie naona hata milion 20 havili hivyo vitaa vinavyobebewa bango
kumbuka baada ya taa kuna umeme wake wa kila siku, pamoja na services zake ... upo hapo Nyonyo!!!
 
Ukweli kuhusu Kiongozi huyu Wa wanyonge TARATIBU unaanza kudhihirika , Chato hapa,Punda wakipata Huduma ya traffic lights
View attachment 531203
"Tunamuenzi Muasisi wa Taifa letu". Jamani oneni huruma na hayo matamshi yenu. Matendo yenu na maneno yenu ni kama mchana na usiku au magharibi na mashariki.

Hata Mungu hapendi. IPO SIKU TU
 
Back
Top Bottom