Msigwa nae kaja na kijembe cha mwaka

Msigwa nae kaja na kijembe cha mwaka

Haya ni maneno ya kuhamasisha UJINGA tuu . . , elimu ni bure . . , tafuta elimu na maarifa kwa nguvu zako zote . . Ukishajua, hutakaa uongelee jambo kama hujui ukweli wake . . !

Nchi za watu wenye akili zinapiga kura kwa haki . . !
hebu nipe hizo nchi za watu kiongozi anaingia kwa kura za raia,usinambie US na FRANCE
 
Wapinzani wa awamu ya Rais Magufuli kwa sasa wamebaki ku-recyle hoja zile zile kutokea wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Mbaya zaidi hata hoja hawana na walichobaki nacho ni vijembe vya kupitishia siku kwa wafuasi wao wenye akili za kudeki barabara.

Hii hoja ya Traffic light imekuwepo tokea kipindi cha kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015.

Hizi ni hoja za kupitishia siku ambazo ukiamka kesho unakuwa umesahau jana alisema/aliandika nini?

Upinzani wa awamu ya Rais Magufuli unasikitisha sana!

Kwa sasa neno ufisadi katika midomo yao ni kama Paka na panya.
Chadema kichaa kimepanda.
 
Back
Top Bottom