Msigwa nae kaja na kijembe cha mwaka

Msigwa nae kaja na kijembe cha mwaka

Wapinzani wa awamu ya Rais Magufuli kwa sasa wamebaki ku-recyle hoja zile zile kutokea wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Mbaya zaidi hata hoja hawana na walichobaki nacho ni vijembe vya kupitishia siku kwa wafuasi wao wenye akili za kudeki barabara.

Hii hoja ya Traffic light imekuwepo tokea kipindi cha kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015.

Hizi ni hoja za kupitishia siku ambazo ukiamka kesho unakuwa umesahau jana alisema/aliandika nini?

Upinzani wa awamu ya Rais Magufuli unasikitisha sana!

Kwa sasa neno ufisadi katika midomo yao ni kama Paka na panya.
Wewe una hoja gani ya kudumu?
 
Hivyo vitaa viliosimamia chuma ni shilling ngapi? Mie naona hata milion 20 havili hivyo vitaa vinavyobebewa bango
Aisee! Kwa hiyo ni sawa kufuja pesa za umma kwa sababu ni milioni 20? Na hatupaswi kuhoji na kulizungumzia hili kwa sababu ni milioni 20 tu? Kuna nchi moja ya Ulaya, kiongozi wa serikali alijiuzulu baada ya kubainika katumia pesa ya umma (kama dola 20) kufanya manunuzi binafsi! Tena alitumia credit card aliyopewa na ofisi kwa bahati mbaya tu!

Lakini sisi tunaona ufujaji wa milioni 20 haupaswi kubebewa bango! Yaani akili zetu watanzania, Mungu atunusuru!!
 
Wapinzani wa awamu ya Rais Magufuli kwa sasa wamebaki ku-recyle hoja zile zile kutokea wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Mbaya zaidi hata hoja hawana na walichobaki nacho ni vijembe vya kupitishia siku kwa wafuasi wao wenye akili za kudeki barabara.

Hii hoja ya Traffic light imekuwepo tokea kipindi cha kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015.

Hizi ni hoja za kupitishia siku ambazo ukiamka kesho unakuwa umesahau jana alisema/aliandika nini?

Upinzani wa awamu ya Rais Magufuli unasikitisha sana!

Kwa sasa neno ufisadi katika midomo yao ni kama Paka na panya.
Mbong'oaji at your best! Akisemwa kidogo tu JPM ndhani hata na baba yako mzazi lazima povu likutoke.
Mahaba niue!
 
Ukweli kuhusu Kiongozi huyu Wa wanyonge TARATIBU unaanza kudhihirika , Chato hapa,Punda wakipata Huduma ya traffic lights
View attachment 531203
Kuanzia leo hizi taa za kuongozea magari za Chato nimewapa Jeshi la Wananchi wa Tanzania. Yoyote atakayeendeleea kuandika kuhusu taa hizo ajue anaandika kuhusu kifaa cha jeshi na kitakachompata asilaumu mtu.......Hahahhahha magu bana
 
Katika mada ya transport ana communication, huo usafiri kwa namna nyingine unaitwa land transport na vijitawi vyake ni road transort, railway transort, animal transport n.K
 
Wapinzani wa awamu ya Rais Magufuli kwa sasa wamebaki ku-recyle hoja zile zile kutokea wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Mbaya zaidi hata hoja hawana na walichobaki nacho ni vijembe vya kupitishia siku kwa wafuasi wao wenye akili za kudeki barabara.

Hii hoja ya Traffic light imekuwepo tokea kipindi cha kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015.

Hizi ni hoja za kupitishia siku ambazo ukiamka kesho unakuwa umesahau jana alisema/aliandika nini?

Upinzani wa awamu ya Rais Magufuli unasikitisha sana!

Kwa sasa neno ufisadi katika midomo yao ni kama Paka na panya.
Unachekesha ww ucye jitambua uko within ze box na ndo nyie mnatakiwa kuwashiwa taa mchana ili muone
 
Wapinzani wa awamu ya Rais Magufuli kwa sasa wamebaki ku-recyle hoja zile zile kutokea wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Mbaya zaidi hata hoja hawana na walichobaki nacho ni vijembe vya kupitishia siku kwa wafuasi wao wenye akili za kudeki barabara.

Hii hoja ya Traffic light imekuwepo tokea kipindi cha kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015.

Hizi ni hoja za kupitishia siku ambazo ukiamka kesho unakuwa umesahau jana alisema/aliandika nini?

Upinzani wa awamu ya Rais Magufuli unasikitisha sana!

Kwa sasa neno ufisadi katika midomo yao ni kama Paka na panya.

Kwa sababu mnatumia mitutu ya bunduki kuwazuia wasiseme?

wewe kwa kichwa chako, hii hoja unaona haina maana?

Siyo kila jambo linaisha kwa muda isipokuwa ya ccm tu. Mambo ya wenye uelewa huwezi kuyafuta bila utekelezaji kwa kuwa ni ya muhimu mno! Mkiwaua waliopo, wanatoa hoja, kama punda wataendelea kutengenezewa trafic lights huku sehemu zenye uhitaji huo zikabaki bila miundo mbinu, vizazi vingine vitaona na vitapiga kelele.

Wewe hata kama huna uwezo wa kuzaa watoto, vyema kichwa chako kifikirie hata watoto wa muuguzi anayekupa dawa ukiumwa!. INGAWA NI DHAHIRI KWAMBA CCM NI MBADALA WA NENO WENDAWAZIMU!
 
So unamaanisha kuwa punda haruhusiwi kupita kwenye mitaa ya barabara???
 
Aisee! Kwa hiyo ni sawa kufuja pesa za umma kwa sababu ni milioni 20? Na hatupaswi kuhoji na kulizungumzia hili kwa sababu ni milioni 20 tu? Kuna nchi moja ya Ulaya, kiongozi wa serikali alijiuzulu baada ya kubainika katumia pesa ya umma (kama dola 20) kufanya manunuzi binafsi! Tena alitumia credit card aliyopewa na ofisi kwa bahati mbaya tu!

Lakini sisi tunaona ufujaji wa milioni 20 haupaswi kubebewa bango! Yaani akili zetu watanzania, Mungu atunusuru!!
Kafuja wapi? Taa hizo zipo zaidi ya miaka 10 na ziliwekwa na halmashauri ya chato kwa kukusanya mapato ya uvuvi ziwani na sokoni
 
Back
Top Bottom